Ndugu zangu kufuatia mwaka huu mpya mwanzoni kabisa ni bora kwa kifupi kuweka huu ukweli mchungu kabisa ili watu wajitafakari upya.
Nikweli tunawachezea na kuwaacha na kwenda kuoa na kuolewa na...
1. Usipojua thamani yako wewe mwanamke, utakuwa unaliwa kirahisi sana wewe mrembo na wanaume watakuozesha na ma UTI, Gonorrea na utaishia kulia wanaume washenzi wanaume wabaya
2. My dia, kuna...
Niliwaambia miaka ile kuwa acheni uzinzi mkawa mnashupaza shingo.
Mmchezea Sana watoto wa watu na kuwaharibia maisha n.k
Sasa tazameni watoto wenu wa 15-18+ ni hatari Sana Hiyo ni karma hamna...
Mwaka 2024 lengo langu lilikua ni kitafuta mwenza hatimae tufunge ndoa lakini mambo yalikua tofauti kulingana na changamoto nilizokutana nazo katika mahusiano kutoka kwa wanawake mbalimbali...
Itakuwa ni ajabu sana mwanamke kushinda tukilia na kufanya maombi kwakusubiri eti mwanaume muovu aje abadilikeππ, NEVER
Hawa watu wakiamua kufanya vituko ndio wanazamia hukohuko itakauka koo...
Habari wanajamii,
Ni muda mrefu sijaingia humu sababu ya pilikapilika zilizokuwepo pamoja na kuwepo kwa magroup ya whatsupp kumepunguza concentration ya kuchangia mada humu.
Naomba tupeane...
Najua mtashangaa sana,lakini mwenza wako ambae ndio mtaishi nae kwa amani na furaha na hatimae mtazikana, ni yule ambae hamkubaliani kwa mengi, lakini mnakubaliana machache ambayo ndio msingi wa...
Hey people,
Leo katika pita pita za hapa JF nimekutana na moja ya nyuzi nyingi za marehemu,mwanaJF mwenzetu Mpauko ambazo kwa namna moja ama nyingine alizianzisha kwa lengo la kupata msaada...
Nawahurumia hawa wanawake waliozaliwa 1980s na 1990s ambao mpaka leo hawajaolewa coz most of them by mwakani watakua wanahit 35yrs to 40yrs.
Mungu awakumbuke tu katika ukuu wake kwa kweli maana...
Habari zenu wakuu.
Niende kwenye mada kabisa.
Kuna ndugu yangu yeye ni mjasiriamali anaishi Dar es Salaam
Katika pilika za maisha kakutana na binti wa Kindengereko kutoka Rufiji ila naye anaishi...
Nasema ni kiherehere tu kutokana na utafiti nilioufanya kwa zaidi ya miaka 10,baada ya kutoroka toka Tanga kwa yule shankupe aliyetaka kuniteka wakati nipo kwenye workshop now nipo Darisalama...
Sio mpenzi sana wa kuanzisha mada za kikabila, ila ukiona kabila au jamii yako yoyote, iwe ukoo, kabila, nchi, au race inashmbuliwa unfairly lazima uweke mambo sawa
Kuna mada imeanzishwa hapa...
Mimi binti wa miaka 24, sijaolewa ila nina mchumba wangu ambaye tuko kwenye mahusiano huu ni mwezi 9, ananipedna na mimi nampenda, shida inakuja hivi, wakati tunaanza mahusiano aliniambia kuwa...
Kati ya mwanaume na mwanamke nani mwenye hilo jukumu
Hili jambo Linaniwazisha sana.. mmepanga out na rafiki/ mpenzi nani anaukuwa na jukumu la kumkumbusha mwenzake kwamba Leo ndio ile siku...
Natuamaini hamjambo wana JF?
Niende kwenye mada sasa.
SIGMA MALE NI NINI?
Hawa ni wanaume Tiger. Wanafananishwa na Tiger sababu ya sifa zao kama: kujitegemea (hawana vizinga), hawana maneno...
Juzi nimempigia simu aje tusherehekee pamoja mwaka mpya amegoma mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti, cha ajabu Leo anasema yupo kwenye basi nakuja najiuliza kwa nini aje ghafla au kuna kitu nyuma...
Kwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani.
Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na...
Wanaume tutafte pesa, wanawake wazuri wapo tu miaka yote ya maisha yako.
Larry Ellison mmiliki wa kampuni ya mifumo ya Oracle ana miaka 80, ameoa kimwana wa miaka 33, tofauti ya umri wa miaka 47...
Hii habari nimekuwa nikiisikia tu, ila juzi kati imenitokea live bila chenga π π π π π π.
Mnara ulikua kama upo ndani ya maji wazee, ile piss ikabidi tu inipe pole. na kuondoka zake
Nilijisikia...