Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.
Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.
hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi...
Kiumbe mwanadamu amefanywa katika misingi ambayo inamgawasha katika category muhimu ambapo kila category ni complimentary au sub ya kundi jingine.
Mfano, Mwanamke na mwanaume ni category za...
Wadau wangu wa JF natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya kujitaftia mfumo wa mkono kwenda kinywani kama kawaida mixer maVibe ya mechi ya leo Simba na Yanga sipati picha hahaha...
Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto. Ninayasema haya nikiwa ni mmoja...
Leo asubuhi niliacha simu imezagaa zagaa bila kuifunga. Niliporudi nikakuta Afisa Upelelezi anaifanyia upekuzi wa kina bila kibali. Ikabidi nimtazame machoni kiwiziwizi kuona kama kuna chozi...
Wakuuu.
Dada yangu (mtoto wa mama yangu mdogo) alipewa ujauzito na mwanaume ambaye ameshaoa na wamezaa na huyo mke wake. Dada yangu alikuwa anajua kwamba huyo mwanaume ni mume wa mtu na...
ESababu Kumi Kwanini Usichungulie Na Kupekua Simu Ya Mpenzi Wako
4 hours ago
1. Kuna mwanaume ambaye kila siku anamtongoza na alishamkataa mara nyingi lakini jamaa hakati tamaa, kila siku...
Ni muhimu sana kwa mke na mme kuwa wabunifu kwenye sex kila siku kwa kuzingatia yafuatayo:
1.maandalizi ya sex yaanze mara tu mnapoaganabkwenda makazini
2.amsha amsha ya sex iwe inaendelea baina...
1. Mkeo si mkamilifu, msamehe
2.mkeo ndo UTI wa mgongo wako, usiuvunje
3.Mkeo ni timu, mthamini
4.mkeo ni kito adimu, mtunze
5.Mkeo ni rafiki yako, muweke karibu yako
6 mkeo ni furaha yako...
Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu...
MLIOZALIWA MIAKA YA 90 PUNDE ZAMA YENU ITAPITA IJE KWA VIJANA WA 2000π
Ni ukweli mchungu ila utumike kama chachu ya kutuamsha na kuelewa kuwa sasa ni zamu yetu TUSILALE
MLIOZALIWA MIAKA YA...
Jamani mimi niko huku ugaibuni ila kuna habari nimepewa na mtu wa karibu na familia husika kuwa majuma mawili yamepita sasa tangu jk azae na mtoto wa Rostam, vipi mlioko home, haya mambo yana ukweli?
Nimetoka mkoa a kwenda b baada ya kukaa geust miez miwili nikaona isiwe kesi ngoja nitafute dalali anitafutie chumba, chumba kikapatikana ila hiyo nyumba anaishi binti pekee, nyumba ina vyumba vi...
NDUGU,kaka Baba Babu Mimi Niko hapa kibosho jaman mke wa jamaa Jana kalipindwa na ex wake kwenye majani
Na Leo wale wanashuka kwenda lodge
Jaman WANAUME MLIO oa Kilimanjaro hizi SIKUKUU wake zenu...
Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single...
Leo mimi na mke wangu mkubwa,tuliamua kuupokea mwaka 2025 kwenye baa moja hapa mwanza uswazi,kwakuwa hatukuwa na kipato cha kutosha.Tumekunywa bia za Tanzania na kuku wa kienyeji na tumefurahi...
MICHEPUKO INAKUHARIBIA MAISHA NA KUKUCHAFULIA NYOTA YA KIZAZI CHAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Usijesema hili nalo sikukwambia.
Ikiwa umeoa, Mkeo anakusumbua Sana. Iwe anakunyima tendo...