Wakuu habari!.
Iko hivi mwakajana mwezi wa pili niliingia kwenye mahusiano na Binti mmoja ambaye tulidum takribani miez miwili tukaachana. Na chanzo Cha kuachana ni Mimi nilikuwa na mambo mengi...
Hivi ndivyo ilivyo wakuu......
Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa)...
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.
Kisa kiko...
Hawa Mabinti wa 2000 bado akili zao ni ndogo sana,wana mambo ya ajabu ajabu na wivu wa kinaa sana.
Muda wote vinawaza mapenzi ,havielewi kama huu ni muda wa kazi,vinataka mchati muda...
Kimsingi ili watu wawe marafiki ni lazima wawe na vitu mfanano vya kuongelea, kwa maana kama hamna vitu mfanano vya kuongelea ni ngumu kutengeneza ile bond kati yenu kwa maana baada ya Salam...
Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
Mwanaume yeyote rijali, anapenda mwanamke mwenye shepu na sura nzuri.
Kutokana na urefu wa kamba zetu na uwezo wa kushawishi, tunajikuta tunaishia kuwa na mahusiano na watu wasiokuwa na sura au...
Mimi ni ME late 20s, nimekuwa kwa mahusiano na binti wa kaskazini kwa miaka 3 kasoro.
To cut long story short,
Nampenda sana na nilihope angekuwa wangu wa maisha, niliwekeza my time/everything...
Nimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa...
Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe.
Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au...
MKO WAPI MPENDAO ?
1. Hayapo tena mahaba
Ja alivyosema Kiba
kila mahali msiba
Mko wapi mpendao ?
2. Wasasa ni vibweka
Amani ni heka heka
Si mbwa ila wabweka
Mko wapi mpendao ?
3. Kupendwa ni...
Vijana wenzangu tubonge jambo, kidogo haya mambo nitakayo ongea nimeyapitia japo nilikuja nikashutuka mapema kabla sijachelewa nikabadilisha muelekeo na matokeo chanya nayaona.
Kama ww ni kijana...
Katika msimu huu wa Krismasi na Mwaka Mpya, niliamua kutumia muda wangu kwa njia tofauti. Katika pita pita zangu jijini, niliamua kutembelea "kijiwe" cha marafiki zangu maeneo ya Ubungo, mahali...
Habari ya weekend great thinkers?
Maisha yananipa experience tofauti, Sikuwahi kufikiria kama ningefika third floor bila kuwa na familia wala watoto, kuna muda nahisi kupanic nahofia watoto...
Kilio kilio! Kinakaribia kuwa musiba.
Msaada unahitajika wa kimawazo tiba na ushauri! Ni mwaka takribani wa 3, kidudu kinasinyaa, hamu inapotea!
Nilichukua vipimo nikaambiwa homornal balance...