Ndoa Ndoano
Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa
Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto
Mara zote mimi ndo nilikua napiga...
Habari za jumapili wana JF leo tarehe 17 June 2012 nafunga ndoa na mpenzi wangu ambaye tumekuwa na mahusiano since 2007 tukiwa chuoni. Ndoa itafungwa katika kanisa la SDA Njiro wote mnakaribishwa...
Umepata mapenzi kwa kuwa umejiwekea ka status mjini unaona aibu kumpeleka kwenu kutokana na hali halisi . Hii ni kukosa confidence ya maisha, utoto au ni utaahira?
Wakuu nina g.f wangu tumedumu kwa mwaka sasa,ambaye tupo mikoa tofauti na tunapendana sana.Jana asubuhi nlijaribu kumtext kwa namba nyingine ili nione kam nko peke angu au vp.Nikamwambia mamb ma...
Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada.
Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado...
Mwanaume au mwanamke anapofanya mapenzi je anabarikiwa au analaanika? Je, anapata uchungu, au furaha?
Je, anahisi upendo, je, anakupenda? Ngono ni ibada ya kubadilishana nguvu, mawazo, hisia, na...
Ni katika kukumbushana, wala hakuna ugomvi.
Kina Dada mliozaliwa miaka ya 80 utawala wenu umeisha muda wake, sasa ni zamu ya madogo waliozaliwa miaka ya 90.
Kama umezaliwa miaka ya 80 na bado...
Wadau habari ya muda Mimi ni kijana wa miaka 24 Niko hapa kuomba ushauri wenu na mawazo pia.
Kimuonekano Mimi ni mrefu Nina urefu wa cm 187 pia Mimi ni mkimya sasa baada ya kumaliza masomo yangu...
Wazee wa MMU acheni tu aisee kuna mambo mengine ni ya kijinga sana ila yana nguvu sana kwenye mapenzi.
Kuna mdada nilikutana naye umri around 35+ tukapelekana kwenye bed aisee nikaanza kumpigisha...
Natumai hamjambo wajumbe wa MMU
Wakuu nimekua nikishangazwa sana na hii tabia ya vijana wa mtaa walioishia form 4 na darasa la 7B, hawa vijana wakibahatika kudate na wadada wa chuo wanajisifia na...
Kwa miaka ya hivi karibuni matumizi ya neno dear yameongezeka sana, zamani ukimuita mtu dear maana yake kuna mapenzi kati yenu
Siku hizi dear linatumika kwa mtu yoyote yule hasa sisi wadada...
Habari wana JamiiForums
Nimekaa na kufikiria sanaaaa. 100% Mapenzi ni biashara, kila penzi unalogusa linataka pesa, kila ukijaribu upate wa kuishi naye milele usipokuwa na kipato endelevu...
Wakuu!
Heri ya Siku yenu Wanawake wote wa hapa JF, nyie ni wa muhimu sana, tunawapenda❤️❤️❤️
Leo ni siku ya kusherehekea wanawake wote na yale wanayotufanyia kila siku kwa nguvu, upendo, na...
Mi nakwambia ukweli kabisa
Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao...
Ipo siku yako nakwambia!
Mtoto wa...
Ki ukweli, kwangu mimi hakuna kitu kibaya kwa dada menye ngozi ya kiafrica akajichubua....
Najua Mtanichukia, na kunitukana ILA MUNGU ANAWAONA....
ACHENI KUJIHARIBU SURA
1. Most boyfriends will leave if sex is taken out of the relationship.
(Wapenzi wengi wa kiume wataondoka ikiwa mahusiano hayatakuwa na mapenzi/ngono)
2. Most girlfriends will leave if money is...
Hakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch
Inasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama...
Habari za muda huu wana MMU,
Nimefanya 'kautafiti kangu kasicho rasmi' nikagundua maneno haya kutoka kwa wanawake wakikwambia usiwaamini hata kidogo..
Karibuni mchangie mada, ukiwa na la...