Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hello Waungwana Nilikuwa kwenye Mahusiano na binti mmoja hivi cheupe toka January mwaka huu Tulianza date taratibu na mwisho penzi likakolea nikasema,sasa hapa nimefika na kamwe sitoweza kutoka...
24 Reactions
92 Replies
3K Views
🏆🏆🏆 Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote💜💜💜. Najua ni ngumu kwani kuna kausha damu, lakini...
1 Reactions
10 Replies
537 Views
Ulishawahi kushikwa hivyo😀 hata siku moja au ndio unaona leo kwenye picha hujawahi😀
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Jamani eeh! Mwenzenu ktk pitapita zangu wiki iliyopita nilibahatika kumpata bikra. Sasa leo, siku ya sikukuu ya Krismasi ndiyo fursa ya huyu bikra kuniruhusu nichane bahasha ili niisome barua...
4 Reactions
15 Replies
563 Views
Nyumba zote zilizo imara,ujue mchango wa mwanamke ni mkubwa sana,na kila nyumba zinazotetereka mchango mkubwa ni wa mwanaume
1 Reactions
2 Replies
178 Views
Poleni na changamoto za hapa na pale, wanajamii wenzangu. Naomba kupewa mwongozo kwenye hili suala (ruksa kunifokea). Ukiachana na changamoto nyingine, suala la ngono nalo linaongoza kuharibu...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Mwaka Fulan niliwah ishi sehem , Sasa pale nikafahamiana na Jamaa Mmoja darasa la Saba ila ana helaaa ( jamaa wa migodini). Hivo tumekua washikaji tu wa salaam na mastori ya Maisha. Muda...
13 Reactions
24 Replies
986 Views
Habarini wanajamvi Aisee ofisini kwangu wamekuja waschana 4 field watatu ni waremb ila mmoja ni mrembo sana. Sasa wakati wanafika nlikuwa safari kikazi kwa mwezi mzima hivo alikuwepo officemate...
14 Reactions
84 Replies
6K Views
Ewe Sikio la kufa usipite bila ya kusoma hapa! Kunyonyana sehemu za siri kitendo hiki hutokea pale mwanamke anapoweka uume wa mwenza wake mdomoni mwake na kuanza kunyonya kama pipi, au mwanaume...
16 Reactions
121 Replies
26K Views
Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi? Na joto lote hili watu wananyonyana tu. Kuna maumbile tofauti tofauti yenye tabia...
51 Reactions
573 Replies
35K Views
Du jamaani wanaume kama bandiko linavyosema mwanamke akishaolewa wewe ndie mwalimu wake hivyo vyovyote atakavyokuwa akiwa malaya akiwa na tabia mbaya yeyote wewe mumewe ndie umemfanya awe hivyo...
2 Reactions
27 Replies
487 Views
Abari za muda ndugu zangu Nyumbani naonatu pamekuwa pabovu mno... Toka jana yani Jana nilinunua kilo mbili za nyama, nikamuambia mama mtu anitengee kilo anipikie supu ninywe, kisha inayobaki...
7 Reactions
21 Replies
670 Views
Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa. Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu...
2 Reactions
24 Replies
445 Views
Habari ya muda wazee Kuna mshikaji kankomba ushauri nimekosa jibu la kumpa Yeye anamke wake ila Mimba iliharibika baada ya muda Kidogo mke jamaa akataka show wakati wa tendo jamaa aliniambia uke...
4 Reactions
7 Replies
573 Views
Ni Mimi David Omujuni rekwanzila mjukuu wa kanyaitodi Tukogee ebu hatari ola ita NIWATAKIE CHRISTMAS NJEMA AND HAPPY NEW YEAR
8 Reactions
25 Replies
759 Views
Kama wewe si mmojawapo basi kwa vyovyote kuna mtu unamfahamu mwenye hili tatizo. Anaweza kuwa ndugu jamaa ama rafiki. Ni jambo baya na lenye kutatiza mno. Watoto wa mtaani wanasema KIMAVI. Mind...
105 Reactions
257 Replies
71K Views
Angalizo kwa Wanaume: Mapenzi ya Krismasi na Matokeo Yake kwa Afya na Mfuko! Wanaume, msimu wa Krismasi huleta furaha, mapenzi ya ghafla, na mara nyingine changamoto zisizotarajiwa. Ni muhimu...
2 Reactions
0 Replies
173 Views
Hello brothers and sisters... This is something very important you should know. When you have sex with another person, you exchange energy. If that person is carrying around guilt, shame or...
14 Reactions
109 Replies
4K Views
Maisha, furaha, na upendo ni vitu vinavyotufanya tuishi kwa maana na kujua mwelekeo wetu. Maisha ni safari inayobeba changamoto na mafanikio, na katika kila hatua, tunaweza kujifunza na kukua...
1 Reactions
0 Replies
217 Views
Kijana ambaye amefahamika kwa jina la Faida Deus (34) mkazi wa kijiji cha Bugalama kata ya Bugalama Halmashauri ya wilaya ya Geita ameuawa kwa tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu. Wakizungumza na...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…