Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Aisee Hii wakaka wabahili iwafikie habari za kulazimisha kuonana na mdada halafu mnaagana unashindwa kumpa hata elfu 2 ya nauli haipendezi tuna haribiana bajeti. Hiko hivi kuna huyo Kijana...
15 Reactions
103 Replies
2K Views
Older mnaokimbiliaa ndoa Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima Ni yule aliye na hofu na Mungu Haya makanjanjaaa...
20 Reactions
140 Replies
3K Views
Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama...
24 Reactions
238 Replies
4K Views
Wakuu, Kwa hiyo wanaume wa Daslam huyu anayejiita Diva The Bawse ndo mmeshindwa kabisa kumtuliza na kumuweka ndani? Na hapa unakuta kuna mwanaume anampa huyu dada kila kitu kuanzia mafuta ya...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Kumwaga mbegu kabla ya wakati (Prеmаturе ejaculation) ndio dalili kikuu ya upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume. Ni hali ya mwanaume kushindwa kuchelewesha msimamo wa tendo la ndoa ili...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Wakuu Naishi vipi na huyu mrembo wa kishua kama rafiki tu, naona haiwezekani. Nitumie njia gani huu urafiki wa kawaida unipe tunda hili. Wataalamu na wabobezi wa jf nijuzeni kwa niaba ya wadau...
4 Reactions
14 Replies
575 Views
Majizo anasema alikutana na Lulu kwenye klabu ya usiku. Mr. Blue anasema alikutana na mke wake yule mwarabu kwebye klabu ya usiku. Leo nataka na mimi nijaribu. Nitatembelea kwenye klabu na baa...
3 Reactions
24 Replies
599 Views
Mwanamke hana faida yeyote kwa mwanaume uzeeni zaidi ya kukulipizia kisasi na kukuwahisha kufa mapema Ndugu zangu kuna misemo na matisho wanayopewa vijana wa kiume huko duniani kuwa wewe...
15 Reactions
46 Replies
2K Views
Mimi ni introvert nisiyejichanganya sana na watu,huwa siendi club wala sehemu zingine za starehe muda wangu mwingi huwa natumia kuongeza knowledge sababu kazi yangu inahitaji creativity ya hali ya...
2 Reactions
32 Replies
547 Views
Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
3 Reactions
9 Replies
317 Views
Yaani utakuta mtu amekutoa out mtaongea weeee, sasa muda wa kuondoka anakusindikiza mpka stand ndo unakuta anatoa elfu Tano au elfu kumi anakupa mbele ya kadamnasi itakusaidia nauli. Khaa!! Yaani...
24 Reactions
136 Replies
3K Views
Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao. Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
16 Reactions
75 Replies
4K Views
Vijana wa mujini, wenyewe wanaita msingi kiuno, yaani unapata mwanamke mtu mzima kakuzimikia anaamua kukuchukua mkaishi wote kwake huku anagharamia bill zote ikiwemo kodi, umeme, maji, gharama za...
30 Reactions
276 Replies
43K Views
Wakuu Tukio la kushangaza kutoka Kenya limekuwa gumzo mitandaoni baada ya video ya CCTV kuonyesha mwanamume akifanya kitendo cha aibu ndani ya duka huku akimwangalia mwanamke aliyekuwa dukani...
7 Reactions
26 Replies
1K Views
Demu wangu hakuwa hata anajua kama duniani kuna jukwaa la JF, Nikamshawishi ajiunge na akajiunga, tokea ajiunge wanajukwaa wengi wa kiume wamekuwa wakimsumbua sana kwa pm, wakipiga mistari...
17 Reactions
283 Replies
17K Views
Zamani nilijua wanaume ndio tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikuwa wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati...
20 Reactions
231 Replies
17K Views
Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Hakuna mechi kali Kama Ile inayoanza saa tano na kuendelea watoto wameshalala, Aidha kama hamna watoto, basi mshamaliza task zote 👉Missionary style ndo iwe style ya mwisho, kutoa wazungu wenye...
16 Reactions
54 Replies
2K Views
Tumekuwa tunapokea changamoto mbalimbalai za ndoa hapa JF. Hata hivyo kumekuwa na wimbi ka vijana wadogo kuingilia kati na kuchangia kwa hoja yao moja tu; Hapo huna Ndoa au Muache mke/mume. Hii...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Yapata miaka mitatu nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu. Mpenzi wangu nilimuacha nikaenda chuo miezi sita. Narudi home baada ya kutoka masomoni namkuta ana mimba ya miezi kama miwili...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…