Nimekua nasikia siku nyingi kua watu weupe mfano wazungu,waarabu n.k miili yao ina baridi kama barafu wakati wa tendo la ndoa tofauti na watu weusi,kuna ukweli juu ya nadharia hii?
WATU WA BLOOD GROUP O WALIO WENGI
Hawa ni watu wenye HASIRA na UBABE sana kwenye maisha yao hawa wwtu WATU WA O
Hawa watu nawaita watu hekaheka (masafa) ukikuta O mchovu basi anatakuwa na...
Wakuu,
Wanawake wa Kenya mnakwama wapi?
Ni excitement au despration ya kuingia ndoani?
Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.
Katika dunia ya leo, wasiwasi na mashaka mara nyingi huchanganywa na akili au hekima. Watu wengi wanaamini kuwa kuwatilia mashaka wengine, kuepuka kujitolea, na kukataa mahusiano yanayohitaji...
USIUMIZE WATU WENYE MIOYO HALISI YA UPENDO
: Unapowaumiza watu wenye mioyo halisi na ya upendo wa dhati
Kwanza hautagundua matokeo yake mapema kwa yale maumivu unayo watia🥵🧐🥺
: Hawatanyanyua...
Shalom,
Habari kwenu nyote wadau wa jukwaa hili, nimekuwa nikijiuliza sana haya maswali kwanini Yesu hakuoa, Kwanini Yesu hakuwa na mwanafunzi wa kike, kwanini Yesu pia hakuwa na ukaribu wala...
Najua kila mtu ana opinion yake ila tukiamua kusimama na facts wanaume hasa wazinzi na wale wakujichua wanaomwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha.
Wanaostahili kupiga 2, 3 na kuendelea ni...
Nauliza hivyo kwa sabab zifuatazo:
1. Pisi Kali wengi hawaolewi
2. Pisi Kali wengi wanapata wanaume wahuni wahuni tu ambao hawana nia ya kuoa
3. Pisi Kali wengi wanaishia kupigwa mimba tu bila...
SIRI YA MOYO
Katika Maisha Yetu Duniani nimegundua kwamba tunatumia muda mwingi kujirekebisha ili tuonekane wazuri, warembo, na ma-handsome 😍😎 — wajanja na watu makini.
Lakini nimegundua mambo...
Wanandoa mke au mumeo sio adui,huyo ndio rafiki yako,mwandani wako,msaidizi wako,kiburudisho wako,mnalala uchi,mna share liquids zenu ama kwa mdomo au kwa nyuchi zenu,na miongoni mwenu mnameza...
Habarini wadau,
Mara nyingi sana wanawake wamekuwa wanaposaliti au wanapoamua kujihalalishia dhambi ya uzinzi huwa wanaambiwa kabisa kuwa ukiwa kama mke na kuzini basi Biblia inatoa ruhusa ya...
MWANAUME MWENYE NGUVU NI YUPI.?
: Je ni yule anayenyanyua vyuma na kushinda gym?
: Je ni yule anayejua kunyanyua silaha za moto nakuelekea vitani,
Nakupigana vita vizuri?
: Je ni yule mwenye...
Natumai mu buheri wa afya. Nimeokota dodo la kishua pale Africa Sana. Katika chats za hapa na pale akadai sexual fantasy yake ni body massage kabla ya tendo la ndoa. Kwa kujimwambafy nikajikuta...
Abarini
Wanawake eengi hasa apa kibonfo bongo kuanzia 25 nakuendelea,wameferi au WAMECHEZEA maisha
Theyre desperate na mahusiao na nsoa,theyte desperwte nawnaume kwaujumla
Wengi uringa sana ktk...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania ,.
Kazii iendelee,?
Turudi kwenye topic yetu,...
Uzao wa abraham wa kwanza aliambiwa na Mungu apate mtoto basi wakajaribu na sara...
Habari za wakati huu wapendwa.
Naomba nitoe ujumbe mfupi kwa wanaume wote ambao mpo kwenye ndoa na wake zenu na umepata uhamisho au ni mtu ambaye kazi inakuweka bize sana.
Kama umepata uhamisho...
Habari wakuu?
Asee leo ndo nimehitimisha tafiti yangu kwa asilimia 100% kuwa wake za watu wanaliwa sana maofisini asee kama mke wako ni mtumishi mfanyakazi asee tambua brother unagongewa kwa...
Nimekua nikiangalia sana muvi na kizungu na nimeona sehemu nyingi mtu anajitoa kufa kwa ajili ya anayempenda(kupigwa risasi badala ya mwingine n.k)
Sasa natafakari sipati majibu kwasababu tunajua...
Aisee Mambo yanayoendelea Dodoma after marathon ni balaa.
Ni kama watu wenye ndoa wametoka kifungoni they want to experience everything.
Watu wenye Pete ndio wanaongoza kuingia double kwenye...