Wazee siongei sana lakini kifupi huyu ni mpenzi wangu anafanya kazi ofisi flani hapa mjini ni kampuni binafsi.
Mpka tunakubaliana kuanza mahusiano sikujua kama ni afisa ubashiri mbobezi (mbetiji)...
Amani iwe nanyi Wana JF, ipo hivi: nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hapa mtaani kwetu. Tumekuwa tukidate kwa wiki mbili sasa. Mwanzoni alionekana mgumu sana kunielewa, lakini baada ya kukaza...
First impression unamuwaza, unatamani ungepata nafasi penzi lako lote ulimalizie kwake,yaani hapa hata ATM card unaweza submit kwake. Ukishatupia swaga zako, kwa kujifanya very romantic, mtoto...
Ndoa ni moja ya agizo la Mungu kwetu wanadamu,lakini agizo hili limekuwa na changamoto kutimizwa nasi hasa Katika karne hii ya 21,kwani vijana wengi tumekuwa na kaulimbiu Ambayo inachochea kukataa...
Hii wanajf sijui imekaaje
Kwa watakao kuwa wamewahi kuwa na mahusiano na aina hizi mbili za wanawake huenda wameshakutana na hii kasumba
👉Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24...
Habari Yako kaka magical power Naomba ushauri kidogo kama unaweza kunishauri naitwa lea nina miaka 44 nimtu mzima😭💔, nilikutana na mkaka mtandaoni ambaye yy ana miaka 49.
Tukawasiliana hatimae...
Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony
Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa.
Lengo ni kufanya maandalizi maana shamra shamra zimeshaanza hamna Tena muda wa kuperuzi...
Wanawake hudhani kuwa akitumia mwili wake atapata chochote kile kutoka kwa mwanaume!!
Haka kasaikolojia sijui walikatoa wapi?
Mkuje hapa mtuambie ukweli,, Ni kwanini mnapotumia mitindo yote ya...
Siku hizi kundi la team kataa ndoa linazidi kukua kila kukicha lakini wengi hawajui kiini cha tatizo ni nini?
Lipo kundi la watu wachache ambao kweli ni halali kwao kususia/kukataa kuoa kutokana...
Tulipo ambiwa tuishi nao kwa akili haikuwa na maana kwamba wana akili nyingi kutuzidi, maana yake ni kwamba wao wana kitu kinaitwa Emotionalism, wanatumia na kuongozwa na hisia, ni wazito...
Wakuu, iko hivi:
Wife alikuwa na ratiba ya kwenda saloon, kitu ambacho alilazimisha sana. Sikupenda kumzuia, kwa hiyo nikamuelekeza kuwa atachukua ten kwenye hesabu ya mauzo dukani, lakini...
Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu!
Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni...
Kama kawaida yangu na mambo yangu ya kukata maji sio ya mtoni wala bahalini
Kuna kahudumu flani siku moja nilikakuta kananyanyasika na mzozo mwingi maeneo yake ya Kazi
Katika maneno ya shombo...
Habarini,
Ukichunguza vizuri mahusiano mengi sahivi,
Mdada akiwa na birthday atategemea kupokea outing, lunch, and gifts toka kwa boyfriend wake, ila boyfriend akiwa na birthday mdada hatompa...
1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani
Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana...
POLE SANA EWE RAFIKI YANGU MWEMA
Yawezekana ulilala mwili tu ila akili na nafsi yako zilikesha zikiweweseka juu ya hilo jambo unalokabiliana nalo. Moyo na nafsi zimeinama
Yawezekana ulilala...
Hey pals it's len again,
I know ni usiku lakini nataka kushare hi experience, I'm going through series of heart breaks right now and if I ever fail in life it's not me Iam failing but my beloved...
Wewe ni kaka au dada una mdogo wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
Wakuu,
Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya...
Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa
Maisha.
Imefikia hatua mpaka wanaume anapotaka kumsaidia mtu anambiwa unamapaje mtu hela hiyo mimi...