Habari!
Mimi naona uwepo utamaduni kwenye jamii zetu za sasa wa kuwasaidia mabinti. Wanazalishwa kisha wanaachiwa jukumu zito la kulea watoto peke yao.
Wanazalishwa kisha waliowazalisha...
Nimefanya utafiti wa kutosha. Hivyo nina 100% na kile ninachokizungumza
(a) Fundi Simu
(b) Chipser (Mkaanga Chips)
(c) Bodaboda (Afisa Usafirishaji)
(d) Wasusi wa kiume na wapaka rangi kucha...
DADA ANGU KIPENZI NAKUKUMBUSHA TU
Dada angu mwema, naipenda furaha yako nami sisiti kukuhusia katika yale niyafahamuyo mimi ambayo ni mambo mema kwenye maisha yako
1. DADA ANGU mwema, mwanaume...
1.Katika Uislamu,
Mtu anayetaka kuoa anapaswa kuwa na sifa kadhaa ili kuhakikisha ndoa inakuwa yenye baraka, imara, na yenye msingi mzuri wa kidini na kijamii. Sifa hizo ni pamoja na:
1. Kuwa...
Mimi binafsi sijawahi kuvuka nafasi ya tatu tangu nianze darasa la kwanza
Chuoni sijawahi kusupp au kudisco japo niliwahi kudrop chuo kwa sababu ambazo sio za kitaakuma..
Watoto wa mke mkubwa...
Aman iwe juu yenu wakuu wa jukwaa hili
Kama kichwa cha cha habari kinavyosomeka hapo juu
Nishawahi kuleta uzi hapa nikielezea kwa masikitiko makubwa sana ni kwa namna gani namzimikia butogwa...
Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze.
Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani.
Jambo kubwa...
Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu...
Attracting a high-quality mate isn’t about luck or beauty – it’s about the behaviors you exhibit.
Certain actions can drive the right people away, while others act like a magnet, pulling them in...
Kama title inavyosema,
Wanaume wengi siku hizi mlio kwenye ndoa mnaongoza kwa kulala na wadada wenu wa kazi.
Sasa tunaomba kujua hawa wadada wa kazi wananini mpaka mnafikia hatua ya kuwakosea...
Kuna muda mwanamke yupo na wewe kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ni masikini hana chaguo lingine la ziada.
Ukweli ni kwamba wanawake wengi tunaotembea nao na wale mliowaoa wanashikilia...
Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na...
Naam naam, unaweza kutana na pisi kali ukaitamani. Hauna muda wa kuanza kuitongoza na kuidanganya unaipenda kwanza unakuta una manzi yako ambayo unaipenda kweli. Hivyo unataka zako showtime tu...
Iko hivi niko na demu huyoo sasa sijuii ushamba muda wote anata tuongee video call na mm huwa sifagiliii video huwa napenda chatting tuu sasa nifanyaje maana unakuta lipokwawat wengi sijuiii...
MWANAMKE SURA BANA! TABIA INATENGENEZWA!
Nimekua nikiwasikia watu wengi wakisema, "Uzuri wa mwanamke sio sura wala umbo bali ni tabia". Wengine wameenda mbali kiasi cha kuwaasa vijana...
1. Hakikisha unakuwa na good look
Tumia kioo chako kujiangalia ukoje , usijiache muda wote uko rafu, new haircut itasaidia pia kukuonyesha upo tofauti na jana, si mnajua wanaume wanapenda upya wa...
Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine.
Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja.
Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini...
Kuna kajamaa kananitaka niachie ngazi kwa mume wangu. Yaani niwe naye kama mke na mume nimuache mume wangu niliyenaye sasa hivi. Ni hivi nilienda supermarket kwa mkijana mmoja mzuri sana mrefu...