Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Sijui ni umaskini, ujinga, laana, au ni tamaa mbaya. Ijapokuwa sio wanawake wote, lakini asilimia kubwa ya wanawake (wengine ni Wake za watu) hawawezi kuwakataa kimapenzi wanaume wafuatao; 1...
0 Reactions
5 Replies
471 Views
Nimekutana nae kwenye gari natoka mikoa ya kaskazini mwa nchi hii, nimepanda Basi nimekuta kwenye siti kakaa peke yake kaweka begi lake alivyoniona kalitoa tukaa wote nikampa salaam akaitikia...
40 Reactions
144 Replies
11K Views
Bila shaka mko powa wananzengo wenzangu!! Nawapa visa vya kweli vya mke wangu ambavyo siwezi kumpa mtu yeyote isipokua nyie coz hatujuani✍️✍️ Huu ni mwaka wa nane tangu tuanzishe uhusiano na ni...
19 Reactions
75 Replies
3K Views
Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila...
45 Reactions
202 Replies
6K Views
Wakuu naomba mnishauri kwa hili tafadhalini sana, nipo chini ya miguu yenu. Ni hivi kuna binti nimetoka kufanya nae mapenzi asubuhi hii nikajikuta natoa boko bila kujua na binti yupo kwenye siku...
3 Reactions
66 Replies
5K Views
Nilienda kwa mke wangu baada ya kupta wiki kazaa, cha kushangaza ni kwamba mtoto wangu wakwanza mwenye miaka minne aliniuliza hivi baba jana usiku ulikuja? Nikamjibu hamna. Akanambia jana usiku...
14 Reactions
135 Replies
17K Views
Rejea kichwa cha habari na karibu katika utoaji wa mchango wako ambao Kwangu Mimi una thamani kubwa sana. Binadamu wengi sana tuna kinyaa katika kufanya mambo fulani au kuna vitu tukiviona huwa...
2 Reactions
76 Replies
8K Views
Wana MMU poleni sana kwa majukumu ya juma zima, weekend bado changa ndio kwanza inaanza. Leo nina confession moja ambayo sio nzuri. First lemme declare hiki nilichokiandika sio sifa, bali ni...
9 Reactions
62 Replies
7K Views
Habari wana JF, Kwa mwanamke au mwanaume yeyote kuna nyakati tunakaa na kuanza kuhesabu wapenzi ambao tekuwa na mahusiano nao. Na kuna nyakati tunawaza kuwa ni wangapi wameshaoa au kuolewa mpaka...
0 Reactions
47 Replies
2K Views
Wasalaam wakuu, Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro. Ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya...
14 Reactions
364 Replies
31K Views
Kwanini katika jamii huonekana jambo baya mke akiuza nyumba ya familia baada ya mume wake kufariki dunia? Nyumba kuuzwa huwa inaleta utata sana kuliko mali nyingine. Kama mwanaume amefariki...
4 Reactions
3 Replies
267 Views
Mwanamke Usiruhusu Mwanaume Kuhamia Nyumbani Kwako... Ukiamua kuolewa usimruhusu ahamie kwako, hata kama unamiliki jumba la kifahari katika soko la juu halafu huyo jamaa anaishi katika nyumba...
22 Reactions
186 Replies
8K Views
Jamani mwenzenu natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!! nasikiaga wenyewe wana mapenzi ya dhati,wakikupenda wamependa labda ushindwe mwenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ila mzungu mwenyewe...
13 Reactions
538 Replies
54K Views
Najua most of wanaume wanahusisha uanaume katika mahusiano na kuprovide a.k.a kuhudumia. Hii ni idea pandikizi ambayo ina elements mchanganyiko za kike na za kiume. Za kike kwasababu ni logical...
12 Reactions
29 Replies
911 Views
Anasema nimpe picha lakin nisiweke kichwa anataka shape, but am just normal
2 Reactions
70 Replies
13K Views
Nisamehe sana baba ,wakati ule nilikuwa bado mdogo sikujuwa jambo lolote! Wakati tunakuwa Mimi na ndugu zangu tulikuta mzee (baba) ameacha na mama,binafsi kwakuwa nilikuwa Nina shinda na mama...
26 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi sielewi, ni kwamba 1) Mnatukomoa 2)Mnatuuzia papuchi, Kama ni shida ya hela, kila MTU ana shida ya hela, mbona sisi tukiwatongoza hatuwaombi hela? Halafu utakuta mdada baada ya kumtongoza...
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Wadau haya mambo ya kuambukizwa ngoma nayo si ya kuumiza sana kichwa.kufa kupo tu.unaweza ukafa hata kwa malaria ukaambukizwa na mbu. Au unapita barabarani unapata kabang "unarara mbere" Sema...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Watu wengine sijui mapenzi wamejifunzia ukubwani! Yani hivi kwa akili ya kawaida unaweza kunilinda mimi mtu mzima tena tuliyekutana ukubwani wote tukiwa na meno 32 mdomoni? Jamani hivi na nyie...
7 Reactions
117 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…