Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Babe... I disappeared for a reason.. I appeared back for a reason.. You didn’t come for a reason... It was cancelled for a reason... You stay quiet for a reason... I text for a reason...
4 Reactions
13 Replies
767 Views
Mwaka 2002 nilikutana na bint mmoja pale mitaa ya Nyasa Nzega mjini jina lake akiitwa Shinuna, Kutokana na umbo lake nilitokea kumuelewa nakuingiza mistari haikuwa bahati mbaya yule binti nae...
11 Reactions
7 Replies
784 Views
Hello hello JF family Ukiwa mkweli raha sana, mimi niwe mkweli nshakuwa na wapenzi kadhaa na kupita kimtindo na wanawake wa makabila kiasi najua kuna wanawake wa pwani mfano wadigo, wakwere...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika utafiti wangu nilioufanya kwa wanawake wengi.wanawake wanaotumia condom ,wengi wao wanatembea na wanaume wengi. Wanajiona wajanja kisa eti wanatumia condom.oooh nilimtosa Yule jamaa kisa...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu salama? Acha niwahi kwa mada, nakumbuka mwaka jana December niligegeda mdada flan kwenye gari japo nilisema siji fanyia huu uchafu kwenye gari kwasababu ni kama kujitafutia mikosi na laana...
7 Reactions
114 Replies
22K Views
Wale vijana kwenye ile idara kwanza ni wapole na sio wazungumzaji Sana Ila vikao vyote top vya DC au DED wanakuwepo. Na huwa hawaongei Sana ni wakimya Ila wenye nguvu za kimamlaka hatari. Kama...
17 Reactions
180 Replies
19K Views
Hivi hii imekaaje? Mke wangu ni mlokole, ananibania mno wakati wa show, anasema kushikwa kalio ni uhuni, yaani hata kupiga tule tukofi hataki. Sifuraii kabisa, yaani tunasex kama mazee ya miaka...
24 Reactions
108 Replies
8K Views
Wamasai, hii ndio jamii pekee ambayo ukiingia nayo kwenye mahusiano ya kimapenzi, haina historia ya kuvunja mahusiano Kwa mmasai ni kufa na kuzikana
13 Reactions
172 Replies
14K Views
Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona. Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi...
25 Reactions
119 Replies
3K Views
I might seem crazy for what am about to say.... Heheheheheeee wooooyooooo.... Naanza na cheko kubwaaa na kelee miingiiii aahahhahaahahaaaaa looh, ngoja nijaribu kuwa mtulivu na mpole kama hulka...
25 Reactions
122 Replies
8K Views
Habar zenu wadau, samahani kwa kuwasumbua kusoma chapisho hili. Kuna mwanamke niko nae kwenye mahusiano sasa hivi yapata mwezi na kitu, ana mtoto mdogo wa miezi kama 7 hivi. Yeye anakaa na dada...
23 Reactions
157 Replies
7K Views
Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu. Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya...
6 Reactions
15 Replies
689 Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
117 Reactions
587 Replies
24K Views
Nikitizama huku naona mashoga wanaongezeka.... Nikigeuka kule wasio na nguvu za kiume nao wanaongezeka.... Naamka napiga pushups.. Nikicheck tena kwa mbali kule wacheza pool au wazee...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Ishi na watu vizuri Sana, usikubali kuwa chanzo cha migogoro Katia Maisha yako ya kila Siku. Ila usiweke matumaini kuwa watu wako wa karibu ndio msaada wako kamwe usifanye hivyo. Wanakuja...
5 Reactions
7 Replies
294 Views
Hivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee. Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini. Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano. Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado...
14 Reactions
98 Replies
6K Views
Vijana vyuoni hii inaweza kuwa funzo kubwa sana kwenu, lakini pia hata raia wengine kuna cha kujifunza hapa. Ni stori ya kweli ni mkusanyiko wa visa vilivotaka kuchukua uhai kama siyo akili...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Kuna vitu Dem anaweza kufanyia ukahisi kama umeigiziwa movie. Ipo hivi Kuna Dem nilikuwa ktk mahusiano nae kwao anapoishi(Kwa mamdogo wake) siyo mbali San na mim nilipo panga. Nimedate nae kama...
21 Reactions
75 Replies
6K Views
NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO. Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo...
5 Reactions
13 Replies
853 Views
Wazazi wengi ukiwadokeza, unataka kuoa single maza, reaction yao hua si nzuri hata kama wao ni single parent. Rafiki yangu karibuni, alinambia aligombezwa na wazazi wake, baada ya kuwaambia...
14 Reactions
116 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…