Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

WANAUME TUKUMBUSHANE NGONO(SEX) ni Nzuri sana Ila inakuzwa ndivyo Sivyo. Wanawake wanaikadiria juu sana,nguvu ya ngono (sex). Wanaitengenezea mazingira ya kua kama mradi mkubwa sana. Kutokana...
1 Reactions
1 Replies
414 Views
Habari ya jumamosi wadau. Niko bongo kwa kitambo tuu, leo mchana niliingia gereji kukagua toyo yangu iko poa kuingia kitaa? Sasa wakati nachokonoa mavitu kwenye boneti nikakwama mahali...
14 Reactions
196 Replies
11K Views
Aisee sijui niseme ya kwamba Nina nuksi au sijui nisemaje sijui siku kadhaa baada ya kunusurika kuabika baada ya kutembea na mke watu nikasema poa haina shida nikasusa kutotembea na mke wake mtu...
10 Reactions
56 Replies
4K Views
Mwanamke anayeandika namna hii mimi huniondoa kabisa nguvu za kiume. Yaani napoteza hamu ya kuchat naye, napoteza hamu ya ku tianah naye. Kifupi ananikwaza. Namwona hana akili na pia nahisi...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Jamani mizigo ina raha yake jamani, haswa kuiangalia.... Vuta picha binti kapanda, kama futi tano point nane, Juu mwembambaaa...... Katikati ana bonge ya zigo, limewekwa ndani ya kipedo...
5 Reactions
57 Replies
8K Views
Habari za mchana vijana wenzangu, Nikiwa kama kijana mwenzenu nimeamua kuongea na vijana wenzangu wa umri wa miaka 14-25, kwenye kundi hili wengi hujiingiza kwa suala la punyeto au kujichua kwa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mtu mzima akilia hakika ujue kuna jambo. Majuzi nililia njia nzima mpaka kufikia kushindwa ku drive vizuri. Roho inaniuma mpaka muda huu ninaoandika hapa. Dada zetu wamechoka, dada zetu wana hali...
38 Reactions
111 Replies
15K Views
Kosa kuzaliwa mwanaume ingekewa saivi unahangaika magengeni na kikapu ukitafuta mapochopocho ya kumpikia mzee jioni au uko jikoni na kanga moja ukimuandalia mzee
6 Reactions
111 Replies
9K Views
Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu" Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja...
7 Reactions
11 Replies
421 Views
Waungwana na wasio waungwana nawasalimu. Ninaandika haya nikiwa na masikitiko mengi sana... Niko kwenye tukio moja la kifamilia ambapo imelazimu watoto wote wa mji husika kuwepo. Ni tukio kubwa...
22 Reactions
257 Replies
8K Views
Kwa mfano mtu anakupenda kabisa na anaonyesha kweli anakupenda na wewe huna muda nae utafanyaje? Yaani anakujali na muda mwingi anakuwa anakuhitaji muonane ila wewe moyo wako haupo kwake...
4 Reactions
10 Replies
264 Views
[emoji24][emoji24][emoji24]Siku zote maumivu ya mapenzi, huwa ni zaidi ya maumivu ya kitu kingine chochote kile... Yaani haya ni zaidi ya maumivu... Ama kwa hakika... Kwani haya ni maumivu ambayo...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Dear tatian, You know that I love you, Am there for you. Will never disrespect you forever and ever Your are a good wife and you know how much I love you Going to your birthday December month...
5 Reactions
90 Replies
2K Views
Habari wenzangu. Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana naye akaenda kwao nami nikabaki...
17 Reactions
122 Replies
10K Views
Habari wanaJF. Niende kwenye mada, kumekuwa na misemo humu kuwa wanawake wanapenda mwanaume smart, mcheshi na mtundu na sifa kede kede. Kwangu mimi ni tofauti kabisa, kwanza sina...
10 Reactions
215 Replies
12K Views
Kiukweli mpenzi wangu nilimpenda bali nilikuwa mbali naye. Ila nilichogundua sikuwa serious basi Leo kaenda na kilichoniponza ni kuwa humu nachat chat umbea, na umbea huu umeniharibia penzi la...
9 Reactions
50 Replies
4K Views
Si vibaya tukashirikishana na kukumbushana haya masuala kwa sababu ni jambo la kawaida katika maisha na ni jambo pendwa Sana baada ya pesa. Ukiona kilichosahaulika ongeza cha kwako KABLA YA...
24 Reactions
92 Replies
18K Views
Kuna siku humu kuanzia asubuhi mpaka jioni ni nyuzi za kutendwa tu. Wengine usiku...wanakuja na kataa ndoa. Ni mwendo wa kupigana matukio tu. Lakini tupo sisi tunaokula utamu wa mapenzi. Tunakula...
26 Reactions
70 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Andiko hili ni mahususi Kwa MTU mwenye umri wa miaka 18 kuendelea. Chini ya hapo asome Chini ya uangalizi wa Wazazi. Kutembea na Wanawake wengi kunakufanya uchukulie Sex kama...
13 Reactions
49 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…