Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Vijana wenzangu wote ambao bado tunapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja...
18 Reactions
39 Replies
1K Views
Habari zenu, Nimeona uzi wa Mdau akilalamika kuwa Mtoto wa Single Mother anadekezwa sana na Mama yake na akitaka kuchukua hatua Mama mtu anasema anamnyanyasa mwanaye. Kiukweli suala la kuishi na...
9 Reactions
93 Replies
4K Views
Sabah al kheir, Naam, ni kuhusu yule mtu mzima mwenzangu ambaye nilimuomba ushauri. Wengi wenu mliniambia nijitose. Basi, nikampa maneno matamu ya kiutu uzima... lakini hakukubali wala hakukataa...
5 Reactions
50 Replies
2K Views
1. Kiufupi, hamna mjanja kwenye ndoa Lazima ikupe za uso. 2. Hii Ni kwa wote uwe na PhD au darasa la 4B, uwe Jaji Mkuu au Mkuu wa Majeshi. Lazima uchechemee kama umekanyaga kinyesi vile...
9 Reactions
12 Replies
886 Views
Usifanye hili kosa la kulazimisha uwe na vigezo ili ufae sehemu usiyo stahili ilihali kwa vigezo vyako kuna sehemu ungefaa tu na kufurahia. Madhara yake ni makubwa sana kwa sababu utalazimika...
2 Reactions
5 Replies
310 Views
On the off chance that you keep on alluding to your significant other by his most memorable name, you are not just showing him that you hold him in low respect, however it additionally can...
0 Reactions
5 Replies
593 Views
Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia...
3 Reactions
5 Replies
331 Views
Aloo dunia ina mengi! Mwamba alianza kwa kunyanyua vyuma, mwili ukawa jumba na mtaani akawa anatisha. Vijana wakamuogopa na vichuchu vikampenda. Kazi alikuwa nayo nzuri tu, hivyo kila mchuchu...
24 Reactions
205 Replies
11K Views
Habari wanaJF, Siku ya leo miaka 22 nyuma Dunia ilipata MBEBA MAONO. Nikiwa kama kijana wa makamo na mwenye mchango mkubwa kwa taifa hili nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa. Najua haiwahusu ila...
4 Reactions
65 Replies
816 Views
Habari yenu wa Jf, bila shaka kila moja anaendelea na harakati zake za kila siku.. It's Fine. Huu uzi wajuvi mbalimbali na wazee wa busara naomba mpitie kwa makini sana nahitaji maneno(mawaidha)...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu Kama swali linavyouliza hapo juu! Kwa upande wangu mim naona hii haijakaa sawa, awe ni mpenzi wangu au ni mke wangu, Kama amekaa kwenye mazingira yenye utimamu Basi ni lazima azingatie...
6 Reactions
54 Replies
1K Views
Yan mwanaume unatukanwa na mke wako alafu unamuangalia tu ningekua mimi stakshari ingenihusu aseeh-
4 Reactions
34 Replies
1K Views
Kama mtaumia wengine mi sijui, ila kwa haki kabisa wanaume wenye vipara ni wa moto, wa moto sana. Wanapeleka moto muda mwingi. Ni ngumu kumkuta mwanaume mwenye kipara ameishiwa nguvu. Ni ngumu kwa...
22 Reactions
86 Replies
3K Views
Kuna wanaume hasara taslimu. Mtu unawaza mpaka unajisemea tu "mwe hata huyu naye ananitaka.mwanzo wa mikosi" Mkaka anakuja INBOX na mbwembwe zooooote. Anasema yeye ana Mpini mkubwa. Nami nmemjibu...
34 Reactions
137 Replies
14K Views
Ukimwona adui anafuraha juu ya changamoto aliyokusababishia unaumia lakini adui huyohuyo akipata matatizo unaumia moyo hupendi kumwona hana furaha Ukimwona mwanayanga anafuraha Simba ikifungwa...
2 Reactions
27 Replies
744 Views
Kipimo cha akili na uwezo wa kifedha kwa Mwanaume ni namna anavyocontrol hisia zake za mapenzi. Duniani kote mwanaume mwenye akili hapendi migogoro kwenye ndoa yake wala maisha yake. Ndio maana...
8 Reactions
37 Replies
1K Views
Kama unavyo fahamika hswa viumbe hujigandisha kwa mtu yoyote ilimradi wastiriwe ili waolewe Sas mm kuna mmoja mmpare ameniganda balaa yaani hadi naona kero kwa jins anavyo niita mume, wangu, mume...
24 Reactions
128 Replies
3K Views
Kila mara ninapofikiria kuhusu wewe, moyo wangu hujaa furaha isiyopimika na shukrani isiyo na mwisho. Wewe ni zawadi bora zaidi ambayo maisha yamenipa, na uwepo wako umeleta mwanga na matumaini...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Ni dereva wa malori ya mchanga. Ni takribani siku kumi na moja zimepita tangu kutokewa na hili janga. Kwa mujibu wa maelezo yake, baada ya kutoka kwenye mishe zake moja kwa moja alirejea nyumbani...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
My sister, Mpenzi wako atakufanyia visa ili ukasirike hivi karibuni, Lakini usije ukagombana nae, ni mtego huo. Krismasi ipo karibu, dada. Siri ya kambi
2 Reactions
2 Replies
281 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…