Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Imepita miaka 10 sasa,nilimpata mdada mmoja ni msomi kutoka mkoa wa kaskazini,nilimtongoza miezi 6 hatimae akanipa,siku hiyo tulinyanduana vibaya,gemu ilichukua saa moja hivi na intervals...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Haya ni maneno yanayojirudia sana kichwani kwangu baada ya kuambiwa na mwanamke anayejiweza kwa IQ na EQ miaka kadha iliyopita.
2 Reactions
8 Replies
541 Views
Wanawake wengi huwa hawajui ni kitu gani kinachowafanya wanase kwenye mitego ya wanaume. Hawajui kuwa wanaume wengi hutumia hizi njia kuwafanya wanawake wawapende kila siku. Hizi ndizo njia za...
10 Reactions
79 Replies
99K Views
Guys, Acha kumuliza Manzi kama yupo Single. Wewe mtoe out, mnunulie chakula, mfanye afurahi, mpe pesa, Then mwachie aamue kama yupo single au la. ✍
5 Reactions
7 Replies
615 Views
First, let me declare kwamba mimi ni member wa muda mrefu humu JamiiForums na nimependa kuja nah hii ID mpya ili kuweza kuficha utambulisho wangu wa hapo mwanzo, ili kuepeuka mambo kadhaa kutoka...
320 Reactions
1K Replies
127K Views
Mashosti, nawaaambia tu kwa uzoefu. Epuka sana mwanaume ambaye si mzungumzaji sana. Mwanaume ambaye yupo serious muda mwingi. Asiye na matani sana. Epuka aina hiyo ya mwanaume. Mwanaume wa hivi...
41 Reactions
165 Replies
13K Views
Rafiki yangu analalamika sana. Toka ameolewa mwaka 2004 kuna mambo anakosa kwa mumewe. Wakati mwingine anaenda kupata issue kwa mchepuko wake wa Kale sana. Nini tatizo? Anasema mumewe amepoa...
62 Reactions
272 Replies
30K Views
Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo. Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu. Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo...
0 Reactions
6 Replies
465 Views
Wanawake walio wengi wanapenda kuabudiwa , na kama wewe ni mwanaume ambae umeshaamua kuto abudu mwanamke yoyote, jua wewe ni mwanaume makini sana. Wanawake wengi wanahisi kwakua ni wanawake basi...
33 Reactions
98 Replies
15K Views
List ya wanawake anaotajwa kuwashughulikia Baltasar Mwaegonga ni kama ifuatavyo: 1. Wake wa mawaziri 20, 2. Mke wa mchungaji kanisa anakosali 3. Mtoto wa mdogo wake rais wa nchi 4. Mke wa mjomba...
20 Reactions
108 Replies
6K Views
Namshukuru Mungu sana baada ya kutekelezwa na mimba na Ex wangu nakumbuka hadi nilitamani kuitoa (Mungu anisamehe sana haya mawazo sijui yalitokea wapi) Nililea mimba mwenyewe hadi nikajifungua...
4 Reactions
25 Replies
917 Views
Kuna wanaume jamani hawalizoei bumunda kabisa. Mume wangu zaidi ya miaka 10 bado nikianza kuvua nguo kuvaa.au akiniona napaka mafuta nimeinama anachanganyikiwa kabisa. Inafikia hatua inabidi...
9 Reactions
92 Replies
10K Views
Wanaume wengine sijui wakoje. Huyu kaka nmefahamiana naye kwa mambo ya kazi tu na sikuwa na ukaribu naye wala mazoea. Katika kufahamiana huko kikazi tukawa tume exchange biz cards. Maana mimi...
18 Reactions
154 Replies
20K Views
Ni bora ukakaa na Mchawi kuliko kuwa na mtu ambaye sio mchawi ila muongo muongo na tapeli Nitoe ushuhuda tu wa matukio mawili yalio nikuta jana - Kuna sehemu nilikwenda kwenye pita huku na huku...
4 Reactions
0 Replies
197 Views
Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu habari. Wiki mbili nyuma katika pita pita zangu nilifanikiwa kukutana na mrembo wa kinyarwanda ambaye ni alikuwa jirani yangu zamani kidogo na pia ni mke wa mtu. Ambaye tulipiga story...
20 Reactions
81 Replies
8K Views
Ukweli wanaume wengi(80%) tunavutiwa sana na hivi vitumbo kuliko hayo matumbo yenu flat. Bahati mbaya hatuwaambii, leo nawasanua kuwa tunavutia navyo Sana. Wanaume wachache sana ambao watakataa...
11 Reactions
117 Replies
6K Views
Asilimia kubwa ya Wanawake ambao mwamba Baltazar amewapelekea moto ni wake za Vigogo , viongozi Mashuhuri na watu ambao pesa kwao sio tatizo. Sasa wale wanaosemaga pesa ndio Kila kitu Kwa...
4 Reactions
18 Replies
753 Views
Katika maisha yangu kuna Dada nilitokea kumpenda sana. Wahenga waliyonena mapenzi ni kama upofu, hakika hawakukosea. Niliamini huyu ndiye atakayekuja kuwa mke na mama bora wa watoto wangu hapo...
31 Reactions
151 Replies
15K Views
Nina mimba sasa ni miezi 6 kaamua kunitelekeza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Natamani hata ningetoa lakini ishakua kubwa Nifanyeje maana nahisi kuchanganyikiwa yeye yupo busy tu na watu...
10 Reactions
103 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…