Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake. "Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa...
17 Reactions
115 Replies
12K Views
Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu...
17 Reactions
72 Replies
6K Views
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
6 Reactions
159 Replies
4K Views
Anayekwambia ukweli, jua anataka upone. Maisha yetu yameandamwa sana na siasa kiasi kwamba sasa hata vitabu vya dini tunavipiga teke. Ndiyo! Tunataka kila mtu apewe usawa, watu wote wawe sawa...
3 Reactions
6 Replies
618 Views
Kwani hakuna namna ya kuenjoy silently ndrugu zangu? Mayowe ya nini sasa kama tumevamiwa na majambazi au kuna ugomvi? Hembu gugumia utamu kistaarabu tu my friends, ladies and gentlemen. Huo sio...
6 Reactions
20 Replies
731 Views
_Pesa zako unazotafuta ukipata unakula pekeako without mizinga _Ata ukidondosha hela ukirudi unaikutaa _Hutoi neti kila siku Ukichoka huogi _Ndoo ya maji ya kunywa ukiamua unaogea _Kujifuta Maji...
16 Reactions
233 Replies
4K Views
Very new couple mjini!! Sio siri tena. Baada yakuwa single kwa muda mrefu, imeamulika sasa. Usingle tupa kule. My darling love financial services, I want to declare to the world and whole JF...
48 Reactions
603 Replies
17K Views
Wanajukwaa Nakuja Hapa kwa Moyo Mzito Sana Na Umejaa Majonzi Makali Mno Hasa Watoto wa Kike kwa Kizazi Hiki Cha 2000. Mabinti wengi Karibia 85% waliozaliwa 2000 Wameshaharibika naongea nikiwa na...
15 Reactions
145 Replies
5K Views
Hivi wale wanawake ambao walikua wanawapenda washkaj wakati mshkaji hana kitu alafu huyo mwanamke ni wakishua unakuta anamsaidia mshkaj mpaka anajipata. Hivi wale wanawake bado wapo kweli?
2 Reactions
12 Replies
401 Views
Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi...
9 Reactions
99 Replies
3K Views
Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano. Leo hii...
23 Reactions
65 Replies
2K Views
Kabla ya yote..Picha haihusiani na story ni mfano tu wadau! Mungu alituumba wanawake na roho nyepesi na huruma sana, tupo simple sana sema wanaume mmefanya dunia kuwa sehemu ngumu ya kuishi...
36 Reactions
355 Replies
58K Views
Duh! Ila mabinti wa kishua hasa hawa wa 2000 wana matatizo gani lakini? Aliniambia atanipatia jibu, badala ya jibu akaniambia niingie WhatsApp, akanitumia picha, akaniambia kama kweli namtaka...
3 Reactions
13 Replies
745 Views
Kuna watu Fulani kwasababu ya kutumia akili za matakoni wanasemaga kuwa eti kumkataa mkewe kisa tu kakusaliti ni ushamba hata sisi wanaume tunachepuka kuliko wanawake My bro’s nataka niwaambie...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanaume ma HB hamjatulia hata kidogo yaani na sasa hivi ndio mmejaa sana Mnaringa then mnataka kila mtu mulale nae pu Bora nitafute mwenye sura personal sura ngumu hanogi kwa chumvi wala...
16 Reactions
91 Replies
6K Views
BARUA KWA KIZURI CHANGU MTARAJIWA Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa hakika ya maisha na afya hii niliyonayo. Niko mahala napambana ili kuhakikisha mimi nasimama kama mume wako na baba...
1 Reactions
26 Replies
567 Views
Unakutana na binti wa chuo unaamini labda atakuwa na mashine ndogo unaingiza unakuta borehole kabisa vagina kubwa haugusi kitu ndani bwawa sio bwawa tuseme bahari hii NI kwa sababu ya kutumika...
12 Reactions
93 Replies
8K Views
Kuna wanaume kweli hawajui kutongoza Kuna jamaa alikuwa ananionesha kabisa ananitaka ila ile kusema abc naona kama anakuwa muoga Zikapita siku nyingi siku moja akaniambia wikend tutoke kuna...
11 Reactions
77 Replies
9K Views
Nianze kwa kusema hili sio tangazo. Siwezi nikajitongozesha JF. Anyways tuende direct kwenye mada. I am newly single guys. Hakuna kitu nachukia kama kuwa single ila ndo ishakuwa nifanyeje. Huyu...
16 Reactions
156 Replies
12K Views
Wanawake hupenda wanaume machachari ambao hawajatulia hata kidogo. Sie walokole tutaishia kupendwa na mama zetu tu. Nilibakisha kamoja, nako kameyeyuka yeyu kisa tulikuwa tukiongozana kuelekea...
14 Reactions
33 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…