Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana
Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani...
1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini.
2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope...
Au jinsi ya kuifichaficha isionekane kwa mtu ambaye hajaiweka yeye. Au kufikia Jioni itakuwa imeshafutika yenyewe?
NB:
1. Nasoma comment tu. Nita mquote mtu mwenye positive reply Tena pale...
Nimeiba namba za lishangazi zikaja kunitia aibu.
Mama mmoja kwa jina la Ms mwakalebela alimuelewa rafiki yangu Edga, huyu rafiki yangu alikua anauza duka moja maeneo ya Salasala ambako huyu mama...
Habari Kuna mwanadada mmoja anajiitwa Galaxy lady username telegram ni santie360.
Wadau kama umewahi kukutana nae naomba taarifa zaidi yupp na umemuonaje.
Tuseme tu ukweli kuna wadada wengi au wamama siku hizi wanaamua kuzaa tu....hasa umri fulani ukifika na wengine wanaamua kuzaa kabla hata wa kuzaa nae hajatokea...
Sasa kimbembe kinaanza...
Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu;
Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia...
Viva weekend JF
Kuna rafiki yangu jirani kabisa na napoishi na ameolewa na mume wake mtanashati swafi kabisa ambaye huwa anasema anafanya kazi kariakoo duka la simu. Na ndo huwa namuagiza yeye...
Hello,habari za leo.
Wapendwa naomba kuwakumbusha kuwa katika kutafuta mchumba, mume au mke Mruhusu Roho mtakatifu akusaidie ili uweze pata mtu sahihi. Watu wengi wamejikita katika kutoa vigezo...
Habari wakuu
Kuna msemo unasemaga mwanaume akipata Hela mawazo yake ni kutafuta mke mzuri kuwa na watoto lakini mwanamke akipata Hela anawaza kuwa huru haijalishi yupo kwenye ndoa au yupo single...
Wakuu habari,
Natumaini mko salama na mapumziko ya weekend ya leo.Leo nitapenda ku shere ushuhuda wangu kuhusu wanawake wanaosumbuka kupata watoto na wengine hambao wamekata tamaa kabisa ya kuzaa...
Ubahili unanifanya nitelekezwe na wanawake
Mimi huwa ni mzito sana kwenye kuhonga; ila kama ni kula, kunywa, kucheza mziki, na kutalii baadhi ya mazingira tutakuwa wote; muhimu katika shilingi...
Thats the truth..
Yani From Friday evening mpaka Sunday Evening kuna mahali mke/mume wa mtu anachepuka mahali😅😅
Kuchepuka kwa % kubwa hufanyika siku za mapumziko (weekend)
Hata zile video 400...
Miaka kadhaa nyuma niliwahi kuleta uzi hapa ni jinsi gani ndoa ni scam, ni jinsi gani ndoa iko pale kumnufaisha Mwanamke.
Siku za karibuni kumezuka matukio kadhaa ya mauaji ya wanandoa, au...
Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11
Baba...
Utakapokua umejipata wanawake watajisogeza kwenye maisha yako, sasa hiki ndicho kipindi ambacho hautakiwi kuwa na huruma kabisa kwa mwanamke.
Kumbuka walijiweka mbali na wewe kipindi...
Nataka nikiingia kwenye ndoa niwe mtu katili kweli kweli kwenye mali zangu hata kama bado sijazipata naamini nitakuja kumiliki tena nyingi sana. Je hati za nyumba na kadi za umiliki wa magari...