kwa niliyoyashuhudia weekend hii, nilisikitika sana
weekend niliingia Club moja, upande wetu kulikua na wadada wawili,mmoja anacheza (Msagaji), mwingine amekaa anakunywa REDS(msagwaji)
Kulikua...
Jamaa yangu hajamaliza ujenzi kwake huko Madale. Kwa hiyo bado anaishi nyumba za kupanga. Juz juz hapa kahamia nyumba ya kupanga maeneo flani hivi.
Anasema hakujua kuwa na mama mwenye nyumba naye...
As much as mwanamke ana mapungufu milioni mia nne haipotezi ukweli kuwa hakuna alie kulazimisha bro,
Haipotezi logic kuwa asilimia kubwa ya wanaume wana ushamba wa wanawake.
Na kama navyosemaga...
Ukistaajabu ya single maza kama yalivyo kwenye uzi wa Record Man
Unaosema: Ushuhuda mwanaume mwenzenu: Nilioa Single Mother yalioyonikuta ni haya. Nilichukua uamuzi huu...
Can Infidelity Ever Save a Marriage? One Man's Controversial Claim
We've all heard the advice: "Marriage takes work," "Communication is key," "Never go to bed angry." But what happens when the...
Asubuhi yote hii unamka umwache mtoto wa mtu mpweke amejikunyata kwa baridi hii unaenda wapi. Hali ya hewa ilivyo tamu kwa...
Hebu endelea kupata kumbato bana au huna uhakika ndio maana unataka...
KAKA ANGU mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anajua
Faida ya kuoga pamoja kunafanya ajiamini ajihisi kupendwa na mkaogeshane kwasababu kuogeshwa kuna...
Kuna vitaswira fulani hivi huja kichwani ukiwa unaenda kwa mtoto wa mtu uliyemiss sana💞
Unawaza hiki na kile, unawaza ukifika na....🙌🏿
Yawezekana na wewe muda huu uko njiani, unajiandaa kwenda...
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu..
Kaka sasa liko ihvi...
Unakutana na mwanamke amefwafwanzika hakuna anayemtamani na kitoto chake chenye utapiamlo.
Unamchukua mnaanza kufanya maisha, anaanza kupendeza na kuvutia wengine, baadaye anaamua kukusaliti...
Katika maisha ya kawaida binadam kusaidiana ni kitu cha kawaida. Haijalishi unamfahamu au humfahamu kama mtu anahitaji msaada msaidie tena bila kutegemea kitu chochote in return.
Kuna hii tabia...
KAKA hii siri ya mwisho kukupa nimechoka
Tangulia kitandani kavurunge alivyotandika jifanya umelala na umetawanya miguu yako maana akija kulala akute umevurunga shuka atakuambia umke atandike...
1. WADANGAJI hawajawahi kuwa na huruma na pesa zetu hata familia zetu.
2. WADANGAJI hawajawahi kuwa na upendo siku ambazo mifuko haina kitu.
3. WADANGAJI hawawezi kukuletea uji ukiwa hospital au...
Nisiwachoshe kwa salamu, moja kwa moja kwenye hoja. Kuolewa ni Kuolewa tu kwa mwanamke yeyote na ni Jambo Lenye heshima yake. Na kuoa ni kuoa tu kwa Mwanaume na ni Jambo Lenye heshima yake pia...
Habari zenu wana Jf. Naomba ushauri wenu great thinkers.. Mimi nimeolewa yapata miaka 9 sasa nina watoto watatu. Mume amenizidi umri kwa miaka mitano. Ana watoto wa nje ya ndoa wawili ambao...
Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika.
Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana...
1. Mimi hua sifuti namba za ma ex wangu, siwezi jua anaweza kua msaada mkubwa kwangu baadae (muongo, bado ana feelings na hao majamaa).
2. Siwezi kuacha kuwasiliana na ex/mzazi mwenzangu...
BARUA YA WAZI KWA DADA ANGU KIPENZI
Dada angu mwema, naipenda furaha yako nami sisiti kukuhusia katika yale niyafahamuyo mimi ambayo ni mambo mema kwenye maisha yako
1. DADA ANGU mwema mwanaume...