Hakuna ugomvi hakunaa shida yoyote… niliona mabadiliko yake Kama siku 2 hivi nyuma.. Leo from no where ananitumia hii sms
“Mama angu samahani sanaa si kwa ubayaa ila me naona haya mahusiano...
Habarini,
Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo.
Nimegundua kuwa watu...
Hello shalom
Wanaume bora katika jamii wapo, pia wanawake bora katika jamii wapo.
Ni vyema wahuni waoane wenyewe kwa wenyewe ili kupunguza hizi kelele za kutuhumiana usailiti, kuuana na...
Kuna mwanaume, tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano, nampenda natamani tuanze familia.
Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi. Nina kipato Kwa Sasa hata kusomesha...
Nimejiuliza sana mpk nikawauliza why wamedumu muda mrefu wakati kuna wenzao ndoa zao zipo chali…
Ninapokaa nipo kwa wazazi, mtaani tumezungukwa na wazaramo wengi na wagogo
Kuna majirani zetu...
Usifanye kosa la kupuuza historia yake kwa muonekano wake mpya wa leo, wengine ni maji tu yaliyopoa yamerudi ubaridi ila kwenye moto yatarudia hali yake ya umoto.
Usijifanye kipofu kupuuza...
Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu!
Hivyo, mara nyingi...
Koo zina siri nyingi sana, kuna siri ambazo hazitolewi kabisa nje ya koo husika, pia humo ndani ya koo kuna siri ya wahusika tu.
Nikimaanisha kua kuna siri ambazo zinafanywa na watu wa wawili au...
Kuna nyakati huenda ukajikuta una mkumbuka au kummiss sana ex wako ambaye alikuwa mtu wako sana na mshirika wako mkubwa
Kitendo cha kummiss inaashiria kwamba upo katika process za kupona na...
Kwa kuwa mimi ni wa koo ya simba, inakua ngumu sana kuelezea tukio (adventure), kwani nikitazama koo za simba inakua kila tunachokifanya kuhusu mahusiano ni tukio (adventure) kwa wengine.
Kuanzia...
Rafiki yangu wa kike ameniomba kumuwekea ombi hili.
Kaka yake anahitaji mwanamke wa kufanya naye maisha ya familia.
Aliwahi kuoa ila kwa sababu kadhaa ndoa yake ilivunjika na ilikuwa ya...
Khaaaaah..... Mi shahidi wallah. Wanaume wenye upara wana peleka sana moto....wanakuwa watamu sana. .niliambiwa na daktari mmoja kuwa libido ipo juu sana kwa wanaume wenye upara.
Wengi wao...
Balthazar’s videos are a nest of teachings. From these videos, I learned five important lessons about women:
1- A woman's faithfulness is just an illusion. She doesn't exist. At her place, we...
Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa kimojawapo , atakitafuta nje.
Sababu moja wapo kati ya hizi, inamfanya mwanamke kuchepuka:-
1. Financial support (Mpe Pesa na...
SIFA ZA NICE GUYS KWENYE MAHUSIANO
Katika muktadha wa mahusiano, "nice guy" anaweza kuwa na sifa kadhaa zinazomfanya awe mwenza mzuri na anayejali.
Hapa kuna sifa za "nice guy" kwenye...
Baada ya kuishi na lile kulumbembe kama ndugu na bado likaniletea dharau nilipata kabinti ka Kihangaza. Leo kanatimiza mwaka toka nianze kuishi nako!
Kabinti kanajitambua, kanachapa kazi...