Wapendwa nawasalim.
Katika hali ya u serious natafuta binti makini kwa ajili ya urafiki na ikipendeza kua nae kwenye mahusiano yenye future. Itapendeza sana muhusika akiwa na miaka 24 - 29. Na...
Marry Christmas to everyone in here..
Jamani mwenzenu nilikuwa siamini kama biashara ya ngono huwa hipo.. Karibu na hapa napoishi kuna sehemu maarufu sana kwa biashara hiyo ya ngono basi...
Nilitandika vibinti enzi hizo,na vikazaa hovyo tu,.
Mi nikaendelea tu kibabubabu na kibibibibi.
Mi ndoa nilishakataa.
Sasa X zaidi ya saba wanataka kurudi ntawapeleka wapi?
Huku nna x wa mwisho...
Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao.
Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu.
Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto.
Big up kwa...
Kama kuna watani wa jadi wengine wasiotajwa sana basi ni hizi mbari mbili
Mabinti under 25
Wamama( mashangazi) over 40
Kesi ya binti under 18 aliyebakwa na kulawitiwa na vijana under 30
Refer...
Mwenzenu Mangi nimepigwa na kitu kizito. Yaani siamini. Nimekuwa na kiherehere cha kuwatetea wanawake kwenye karibu kila nyuzi zinazomponda mwanamke lakini hivi karibuni nimepigwa tukio hadi...
Nikweli kabisa ni % chache sana ya wanaume wanao ongozana na wake zao hata kama wanaenda kanisani. Utakuta mwanaume anajifanya anajua kutembea haraka haraka na Kwa hatua Ili mradi tu amuache mke...
Habari wadau
Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa
Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira...
Simple as that. Tusilaumiane . Watu tunaoa tulio kuwa nao. Enzi hatuna kitu, and we still don't have enough , they still love and support us to this day. Mtu anashinda hotelini, Anashituka 30s...
Kuna maeneo ukipita usiku ni kama yamehalalishwa kwa ajili ya biashara ya ukahaba (Ngono) na mida ya saa mbili ukipita nyuma ya stand ya Nyegezi iliyopo Mwanza utadhani kuna shule ya wanafunzi wa...
Huyu mshikaji wangu wa pili ana oa mtoto wa kibopa. Yani pisi ya kawaida sana to the point tunajua amefata life completion na connection.
Wakwanza alioa pisi moja ni zaidi ya kawaida ila sherehe...
Kuna ujinga unakuta mtu anasema naoa au naolewa sababu namhurumia huyo mtu ninayemuoa au ninayeolewa naye.
Usioe au kuolewa sababu unamhurumia huyo mtu, oa au olewa sababu unampenda huyo mtu...
Umaskini haufai, na kama ukiwa maskini ukaishi kwa misemo kama hii, ni ishara kuwa umeamua kuukubali, na kwa hakika utateseka.
Hakuna cha kusema “maisha ndiyo haya haya tu” - kuna mazuri zaidi ya...
Binafsi demu wa mwisho kumtongoza ana kwa ana [jicho kwa jicho] nilimtongoza 2007
Ila mpaka sasa natongozea vidole kwa msaada wa simu
wewe bado unaendelea kutongoza/kutongozwa ana kwa ana?
Kuna vitu vinachosha sana.
Mtu anakuona anasema “ Una macho mazuri” au una vidole vya kike (sababu ni vizuri),
Au anakuangalia anasema unanywele laini lama za mwanamke.
Sasa kwani wanaume ndo...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine.
Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada...
Habari zenu wadau natumai siku kwenu inaenda vizuri.
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu sisi wadada warefu ambao tupo wachache Tanzania. Binafsi mimi nina urefu wa 5'10 1/2 (178cm) na hii...