Habari za asubuhi wana MMU.
Nafikiri hili ni suala linalozua gumzo sana, hasa hivi karibuni kwenye hiki kizazi chetu cha dijitali ambapo wanawake pia hawapo nyuma kwa kutaka kufanya mambo...
Nini maana ya Domo Zege? Utafanya nini uondokane na udomo zege?
Domo zege ni ile hali ya kushindwa kumtongoza manzi ambaye unamtamani ila huwezi kumwambia. Ni kama umefungiwa jiwe ambalo lina...
Kama Binti upo kwenye mahusiano na mtu ambaye unapenda na kutamani awe mume wako unapojaribu kutengeneza mazingira ili mwamba akuweke kwenye mipango yake basi unapokuwa chumbani punguza ufundi la...
Kuna mwanamke fulani hapa jirani, japo si jirani kivile nilitokewa kuvutiwa naye, na mpaka sasa navutiwa naye. Kwa mara ya kwanza kumuona nilijikuta namshangaa hasahasa macho yangu yalipokutana na...
Kwa kuwa nchi ina wakristo wengi basi ndoa nyingi huwa zinategemewa kuwa za kiksto, kupungua kwa kasi ya kuoa kumelenga zaidi kwa vijana wa kikristo.
Ndoa za kiislam na kitamaduni vijana...
Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa,
Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA"
Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu
Ndio maana we...
Asalamwaleko!
Kumetokea emergency ikalazimu wife kusafiri kwenda mkoani, atakaa wiki 2 huko. Sasa hapa home tuko mimi na housegirl tu, yaani wawili. Kwa kweli nategwa sana na huyu mtoto. Muda...
Kuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi.
Nimeona na kusikia sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani watu wakishangaa mwanamke fulani ni mzuri lakini...
Jumapili njema .
Katika nyakati tofauti huwa watu wanazungumzia uwezo wa uvumilivu wa mwanamke katika MAISHA.
Leo nitazungumzia kuhusu uwezo wa kipekee wa mwanamke unaitwa Incubation power...
Kwa nini mabinti wengi wadogo wanakubali kuingia kuolewa na wanaume wenye mtoto au watoto tayari(single fathers) na kuanza ndoa zao changa wakiwa mama wa kambo katika umri mdogo??
Hizi ndoa hapana wakuu!
Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa.
Mfano:-
Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na...
Katika hali is iyo ya kawaida nimejikuta nakata tamaa ya kuwa ktk mahusiano maana wanawake wa leo wamekuwa wabinafsi kupita kiasi.
1. Hupendwi kama hauna pesa au kama ulimshawishi kwa pesa...
Kama Ni kujamiana hata nzi wanafanya ngono.kama Ni kuongea hata tembo wanawasiliana.kama Ni kunya hata nyani wanakunya.kama Ni kula hata wadudu wanakula.kama Ni kuwaza hata nyoka wanafikiri.
me...
Hiiv hii habari ya kua ukifanya unapenda sana ngono unajiletea mikosi maishani yani mambo yako ya utafutaji yanakua hayaendi vizuri ni kweli? Na kama kweli kwanini? Humu ndani yupo imewahi mtokea...
Dah! Kuna watu wana roho ngumu, basi tu. Hivi, kweli, mwanamke anaejitambua, anawaza nini anapoamua kutelekeza vipacha vya miaka miwili na nusu? Baba ndo awe mlezi, awe mtafutaji, mama akale bata...
Hii ndoa inaenda kunishimda kwa kweli Na sijui nifanyeje wakuu kwasababu ninawawaza watoto Wangu hiyo inanipa mawazo sijui nifanyeje sijui maana kila siku mimi ni wa kupigwa na mke wangu tu kila...
Wakuu nilipata rafiki wa kiume, yeye ameoa na mimi nimeolewa ila familia zetu wote wapo mbali tumekutana mkoa mmoja, tukaanza urafiki mpaka ile stage ya kubebishana mara pika nije kula na...
Katika harakati za ujana nimejikuta nachapa sana papuchi.. ila juzi kati katika kushirikisha halmashauri ya kichwa changu nikajisemea ngoja nipime ngoma nikikuta niko poa basi naanza kujitunza...
Wasalaam wakuu.
Nimekuwa na ukaribu sana na watu wenye hulka ya upole, jinsia zote wa kike na wa kiume.
Ila hawa watu wapole wapo selective sana kwenye masuala ya kuchagua wenza au wapenzi wao...