Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nipo mbele yenu natafuta mwanamke ambaye yupo single ili tuweze kuwa wapenzi na hapo badae nimuoe nimechoka kuwa bachelor kwa muda mrefu nipo serious kwa mwanamke au mdada ambaye yupo tayari PM...
2 Reactions
33 Replies
783 Views
Lengo si kuhamasisha ulevi au kutumia pombe no! Ila ipo hivi: Imagine wewe na mpenzi wako mlikaa muda mrefu bila kuonana ile shauku ya kumuona tena mwenzako plus hamu ya ku-do! Kunywa tu juice...
8 Reactions
37 Replies
1K Views
Habarini! Nikiwa nina uhakika wabongo na masuala ya ngono hawatenganishiki kama kahawa na kashata, sijistukii na wala sina hofu yoyote ya kuleta Uzi huu asubuhi kama hii ya kazi. Siajabu...
4 Reactions
20 Replies
695 Views
Uyo mwanamke unaemtaka akikuweka kwenye friend zone jua kwamba hakupendi. Ukikubali kukaa hapo bila kunufaika na chochote utapata tabu sana. Usikubali kuwa nice guy ambao huwa wanakubaliwa dakika...
7 Reactions
15 Replies
925 Views
Amani iwe nanyi. Ndugu zangu nimeona vyema nije kwenu mnipe msaada wa kimawazo kwani nimechanganyikiwa kabisa hata usingizi sijapata usiku wa leo hii ni baada ya kupokea text kutoka kwa...
1 Reactions
141 Replies
18K Views
Jipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe. Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke. Ngoja nikwambie ukweli...
54 Reactions
112 Replies
3K Views
Kaka yenu nakuja tena nikiomba msaada. Unajua mazingira niliyozaliwa mimi tulizaliwa wawili tu wote wa kiume. Basi tumekua tukicheza wenyewe mpaka watu wakawa wanadhani mapacha. Mimi nmeanza...
7 Reactions
39 Replies
7K Views
Ewe mwanaume nisawa umepata likizo kazini ukaenda kwenu ukamucha mkeo Mjamzito Afya yake sio nzuri sana na watoto wadogo?? Hii imekaaje?
1 Reactions
8 Replies
360 Views
Habari. Ni nyakati zipi ngumu unapitia kwa sasa unatamani ufungue moyo upate mtu mmoja umueleze yanayokusibu ulie sana ,unyamaze halfu ije idea mpya yenye kusolve shida yako. Tuambie; Kipi...
1 Reactions
4 Replies
170 Views
Salaam, Shalom!! Thread hapo juu imejengwa katika Katiba ya Wana wa Mungu iitwayo Neno la Mungu.(Biblia). Kusema kuwa haupo urafiki kati ya Mwanaume na mwanamke haimaanishi kuwa Pana uadui...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani kuna mtandao unaitwa badoo, yani huko kuna malaya wa kutupwa, siku hizi ukitaka msichana wa fasta we jiunge huko tu, wamezagaaa kama siafu ila kuna kamtimdo wadada wa huko wamebuni kama...
36 Reactions
4K Replies
1M Views
Okay, let's make this as short as possible. Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down. Are those problems permanent? Je hayo matatizo...
32 Reactions
160 Replies
4K Views
Hello guys, There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lakini shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest utakuta...
11 Reactions
144 Replies
18K Views
Hii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake. Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu ngoja nikupe stori fupi kuhusu Mimi: Nina miaka 18 sasaivi nimemaliza form 6 this year lakini nimejiunga chuo mwezi wa 11 private najua mtajiuliza...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari za muda huu? Huyu mdada ni mtu niliyekuwa nae uhusiano Kwa years Toka 2019-2023 hapo ndipo ulikuwa mwisho wetu na aliyeniacha ni yeye na Mimi kwakua ni ALPHA MALE sijawahi shoboka nae sasa...
11 Reactions
234 Replies
5K Views
Utamuona msichana mbichi kabisa mrembo nadhifu anatoka out na mtu mzima ambaye kimtazamo ni baba yake au babu yake kabisa, watu wanasema labda ni kwasababu gold digger na hawana mapenzi kwa hao...
5 Reactions
114 Replies
14K Views
Shallom! Salamu baada ya salamu niende moja kwa moja kwenye Mada. Ndoa ya Mke mmoja ni Ukatiri wa kijinsia kwa Mwanaume. Kwanini? Kwa sababu Mwanaume hakuumbwa awe na Mke mmoja. Jana kuna Mama...
9 Reactions
57 Replies
2K Views
Wanaume wengi tunafunikwa na emotions/mihemko ya mapenzi na kukosea kuchagua, huwezi kuoa mtu mnae lingana umri na ukafikiri ndoa hiyo itakuwa na usalama labda kama lengo la ndoa yako ni tofauti...
36 Reactions
146 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…