Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mwanaume kamati hii... Ikiwa mpenzi wako ni mzigo kwako, basi haumpendi. Na ikiwa unampenda, lipa bili. Mtoe out kwa chakula cha jioni angalau mara moja kwa wiki. Mnunulie losheni...
18 Reactions
83 Replies
2K Views
Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni. Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila...
18 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika hii dunia watu wenye chuki na Matajiri ni masikini mafukara yaani masikini anatamani kuniona Mimi tajiri nikianguka Sasa nataka niwaambie nyie mafukara Mimi sitoanguka milele tena siwataki...
2 Reactions
43 Replies
805 Views
Vijana wengi wa kileo ni wajinga. Cha ajabu ni kwamba wameenda shule ila ujinga bado ungali vichwani mwao. Sijui tuwaite wapumbavu au tuishie kwenye level ya ujinga tu. Mahari 3.5 ml, 4.5, 3ml...
33 Reactions
51 Replies
2K Views
Maisha ya mwanaume ni mbio za marathoni, ukiwa unaanza kwenye starting line, wanawake hatawakuona watakaa mbali na wewe, mpaka utashangaa hivi wengine wanapata wapi mademu au wake wa kuoa...
93 Reactions
177 Replies
6K Views
Wakuu, Jana usiku kuna namba ngeni ilinicheki. Sikupokea. Leo asubuhi naitext 'Hello', ikafuata 'Hi City Owl, I miss you' Akili ikanipeleka moja kwa moja kwa dem mmoja nilipita naye mwezi...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Rafiki yangu ameniambia amesave jina la mpenzi wake kwa simu yake jina la Yohana Mbaatizaji, je hii ni haki? Nimejiuliza sana kwa nini!!!
0 Reactions
78 Replies
13K Views
Salaam, Wanawake wengi huvutia wakiwa na mavazi, bt si kila mwanamke huvutia akiwa tupu. Mwanamke anaevutia akiwa tupu husababisha mizimu ya hisia kureact non-stop kama vile umekula viagra...
15 Reactions
80 Replies
3K Views
Ilikua siku ya juzi maeneo X,,, mpenzi wangu aliniaga analala baada ya mimi kumwambia starudi nyumbani kwa sababu nina emergency,, kwakua alihisi namdanganya na ninaenda kwa mchepuko na ilikua...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi. tujitahidi
31 Reactions
144 Replies
10K Views
Hakika fahari ya mwanaume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja ambao wana mpenda yeye na kumuheshimu.Ile feeling ni kubwa na nzuri sanaa kiasi kuwa wanao ipata ni wachache sana kwenye hii Dunia...
24 Reactions
79 Replies
2K Views
Naitwa Mr. Brian (Sio jina langu halisi). Umri wangu ni miaka 35 kwa sasa. Nilioa miaka mitano iliyopita na mke wangu hivi sasa anayo miaka 28. Kusema kweli naipenda familia yangu na kama...
18 Reactions
205 Replies
20K Views
Habari wapendwa, Naomba kwa wale wanandoa mnisaidie hapa kama ni kawaida kwa wanandoa ama ni nini? Namshukuru Mungu tulipata kuoana na mume wangu, kweli maisha ni mazuri tunafurahia ndoa yetu na...
63 Reactions
709 Replies
54K Views
Happy Easter Monday MMU Family. Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow. Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, and a mother of four kids, miaka hiyo Nilikuwa...
42 Reactions
472 Replies
30K Views
Natanguliza salamu kweny wanaJF. Nipo kwenye wakati mgumu mno kwenye maisha yangu kwani maamuzi yangu ndio yataamua future yangu. Nilikuwa na boyfriend wa tangu chuo, kwa miaka miwili na miezi...
9 Reactions
70 Replies
2K Views
4 Reasons Why You Should Not Marry A Pakistani Man (Warning) lovedevani.comDec 5, 2023 7:20 AM Marriage is not something to look down on. It's very serious and requires quite a lot of efforts to...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba NIONGEE hili jambo moja kwa moja hata kama sijatoa salamu.. Eeeenyiiii wazazi wa kike Kuna baadhi yenu mnapenda sana kuondoka/kutoka majumbani kwenu huku umebeba mtoto mgongoni au kumshika...
4 Reactions
16 Replies
531 Views
Mmeachana / kupeana distance Mmeshusha mahusiano yawe urafiki Mapenzi yanaendelea imya kimya
2 Reactions
9 Replies
313 Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri Binafsi nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana hasa wa maswala haya yahusuyo ndoa lakini kwa upande wangu nimeona ndoa kwa mujibu wa dini ya kiislamu wapo vizuri sana...
51 Reactions
1K Replies
51K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…