Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati WOTE) 2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui 3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki...
1 Reactions
13 Replies
13K Views
pole tunajua unasoma thread ila unalala na mkeo mzungu wa nne yaani mnalala kama kaka na dada pole si ulitaka ndoa maisha ndio hayo wengine mnanyimwa mpaka mke analala na track na jeans na ww...
20 Reactions
200 Replies
3K Views
Mwanaume lazima utambue kwamba mwanamke ni taswira ya matatizo, from the first place a woman existed on the earth all she brought along is troubles. Angalia majanga aliyosababisha Hawa bustanini...
41 Reactions
172 Replies
4K Views
Mi nilisikia tu, unafanya nini na mke wangu baadae nikaona giza?
19 Reactions
38 Replies
2K Views
Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri. Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin...
18 Reactions
104 Replies
7K Views
Bravo maselaa, machalii na masistaa wa humu... Niende kwenye mada Katika watu waliotakiwa tuwe tumechanganya damu nao kisawasawa ni wahindi na wana miaka mingi tu hapa Tanzania ila cha ajabu...
3 Reactions
324 Replies
62K Views
Wakuu Salaam, Moja kwa moja kwenye mada. Mwaka juzi nilipata mtoto na mwanamke mmoja nilikuwa nikiishi naye wakati huo. Kipindi chote cha ujauzito alikuwa akiishi kwangu mara baada ya kujifungua...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Imetokea kuna binti 21 yrs, nilikuwa napunguza naye upwiru (siyo mchumba), akapata mimba na kujifungua mtoto. Wazazi wake hawanijui hata chembe maana miji (, hometowns) yetu ni tofauti na iko...
6 Reactions
121 Replies
6K Views
Hali hii husababishwa na wanawake wa dizaini hii kushindwa kuosha uke kwa ndani kwa kuhofia kucha zao zitawaumiza. Kwa hiyo kama mkeo au mchumba wako ana kucha ndefu jiandae kisaikolojia...
21 Reactions
177 Replies
28K Views
Tahadhari Tu kwa vijana. Usikamie sana mechi Kwa Lishangazi ukidhani atakupa hela. Hali mbaya. Usijichoshe.
2 Reactions
12 Replies
602 Views
MAJUTO KWA KWA VIJANA WENYE FIKRA FINYU WALIOZAMA NDANI YA PENZI NZITO KWA HISIA KALI ZA KIMA MAPENZI. Intro. Crazy winner. "nimekuja Doctor naomba unieleze majibu yangu naomba uniambie...
3 Reactions
0 Replies
281 Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kautafiti kangu kasiko rasmi nilikofanya mi mwenyewe ni kuwa masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri. Masikini anapenda sana ngono kwakuwa...
26 Reactions
141 Replies
23K Views
Habri za maulid wana Jf, Hivi ushawahi kupewa dedication ya wimbo flani na mpenzi wako au mtu wa karibu sana na ikatokea huo wimbo ukaupenda mno Nini hutokea ukiskiliza wimbo huo ukiwa...
9 Reactions
30 Replies
562 Views
Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe. Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
12 Reactions
226 Replies
14K Views
Ohaaaaa, Kwenye mapenzi kuna vingi vinanogesha ,Mojawapo ni suala la kuambiana maneno matamu. Huenda yakawa kwa maneno ya kusikika au hata ya kuandikika. Najua si kila mmoja wetu ni mwepesi wa...
10 Reactions
356 Replies
4K Views
Habari Siku hizi kuna mtindo umeingia sana bodaboda zinasanya kama daladala na mara nyingi mwanamke huwekwa kati huku dume likipumulia Kwa nyuma Mwanaume jipinde mnunulie mkeo au mpenzi wako ata...
8 Reactions
48 Replies
1K Views
Kama unaona ndoa yako maisha yako kiuchumii yanasuasuaa Angalia na fukuza hawa Panda Mende Mijusiiii Mapaka Kwa gharama zozote waondoke hapo kwako else utapigika mbaya yaana wanavyoendelea...
2 Reactions
9 Replies
358 Views
Kama Mwanaume unahitaji kuwa na uhakika na userious wa mwanamke kwenye mahusiano mnayoyaendea upendo na utashi wake wa kuyaendea/kuyalinda mahusiano yenu ni lazima uwe mkubwa kama au kuzidi ulio...
0 Reactions
4 Replies
726 Views
Ushauri nasahaa Tunapitia mengi sana makanisani ukisikiliza mmmh Kuna familia leo tulikuwa nayo wana tofauti kidogo kweli mwanaume kakiri mapungufu yake Baada ya yotee tukabidi tutafute chanzo...
5 Reactions
51 Replies
1K Views
Mna deal vipi na hawa watu maana kusafiri ni starehe pia. Yaani una chagua siti yako ya dirishani una lipia ili kesho usafiri kwa raha uki enjoy mazingira afu una kuta mtu kakaa kwenye iyo siti...
21 Reactions
132 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…