Kwa wanawake wote wajasiriamali wafanyabiashara na wengine walojipata ,mwanaume yeyote akija kukufata kukutongoza ukamuelewa ukaona kabisa maisha yako yanakwenda kubadilika kupitia huyo mwanaume...
Mwanaume kama wewe ni husband material tunza akiba tunza akiba!! yako dont restrain all your resource kwa ajili ya kusomesha watoto wako kwenye shule za ada ya juu au ufurahisha mke kwa kumpa 100k...
Salaam,
Neno linasema wapendanao hufanyika mwili mmoja(waefeso 5:31)
Ishara kuu ya kufanyika mwili mmoja na mpendwa wako ni kushare moment.
MIFANO
1. Wakati unataka kumjuza umemiss uwepo...
Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa.
Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi...
Wasalaam wana MMU.
Nyuzi kuhusu ndoa kuwa ni chungu, yenye mateso zimekuwa ni nyingi sana humu jukwaani.
Leo nimeona nitoe ushuhuda wa maisha yangu ya ndoa ndani ya miaka 14. Kwangu mimi ndoa...
Na Fred Putin.
Jambo moja ambalo mwanamume anayejiamini hawezi kamwe kufanya hadi kifo kitakapomchukua :
"KUFANYA PUSSY KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE BINAFSI. "
Wanaume wanaojiamini hawaabudu...
Huniambii kitu hata!
Mimi siingilii Uhuru wa maonî ya Watu walah!
Kûna waliniita Mario,
Kûna waliniita Serengeti boy,
Kûna waliniita kibenteni.
Basi kama mjuavyo Siku hizi Vijana Hawana Kazi, na...
Kataa ndoa naomba msome kwa makini sio kila mtu aliyepigwa matukio kwenye mapenzi anakata tamaa jumla.
Haya maisha bila kuwa na mwanamke wa kuelewaka mtu utajikuta unalala hadi na kuku au mbuzi...
Baada ya kuleta uzi ambao nilieleza ya moyoni na wengi walipiga mawe, wengine wali nifananisha na baadhi ya watu humu japo kuwa mimi hata kwaa id nyingine sijawahi kujibu au kueleza chochote au...
Mara umekaa zako, mpenzi wako anakuaga kuwa ana safari kwenda kusalimia ndugu.
Unamuaga vizuri, mara huna hili wala lile inaingia sms
Anasema eti, "ukiona sipatikani, ujue ni mtandao...
Wanaume wanaosema usioe Mwanamke mwenye mtoto siwapingi aisee think umeowa mwanamke umemkuta na watoto halafu inafika Jumapili anakwambia nampeleka mtoto kwa baba yake anahitaji kumuona...
Mpendwa Bachelor, Ikiwa sababu kuu ya kuwa mwanamke ni kwa sababu ana kifurushi kikubwa cha mbele aka Manchester united na kifurushi cha nyuma aka Arsenal, basi hauko kwenye MAPENZI. Haijalishi...
Mapenzi ya sasa hivi yamejaa utapeli mwingi, huna kitu hupendwi mtu.
Ukimtongoza tu mrembo, atakuuliza unafanya kazi gani, au unamiliki nini?
Kama bado unajitafuta, utakutana na fedheha.
Ila...
Wakuu nina swali ambalo nilishawahi kuwauliza watu mtaani lakini majibu waliyonipa hayajiniridhisha. Sasa kwa kuwa JF ni jukwaa lenye watu wenye profession tofauti tofauti natumai nitapata majibu...
Ivi ushawahi kukutana na penzi traaaaamu, traaaaaamu mpaka unashindwa kulielezea
Taaaamu unaishia kusema yum yum kama chocolate yum yum
Kama asali yum yum
Au kwako bado mpo season 10 ya magomvi...
Habari wana JF,
Ni asili ya mwanaume kuanzisha mahusiano na mwanamke ndio mwenye maamuzi ya kukubali au kukataa, hata kama mwanamke ataanza kumpenda mwanaume ni vema kusubili mwanaume aanze...
Naam wakuu. Baada ya kuelezea nilivyofanyiwa na watoto wa kike, kabla sijabalehe sasa nimekuja kumalizia visa nilivyofanyiwa baada ya kubalehe na hawa ndugu zetu wa upande wa pili.
Kama ulimiss...
Hii ndio sababu kuu inayowafanya wapenzi wenu watembelee maeneo ya starehe.
Utapambana sana kumzuia; lakini atasingizia anaenda kucheki mpira, mara kupata moja mbili tatu, mara kusikiliza mziki...
Wakuu Habari zenu. Nina kisa hiki siwezi kisahau muda mwingine nikikumbuka nacheka. Kuna Manzi mmoja ofisini tulikuwa idara tofauti katika tasisi moja muhimu Dar es salaam
Basi nilivutiwa nae...