Wajumbe mpoo....
Is Mr. Liverpool onces again na ileile kauli mbiu yake MSIOE MSIOE MSIOE ...!!!
Twende kwenye mada;
1. 2007
Nilianza kufanya Kazi za ajira 2007 baada tu ya kumaliza form four...
Iko hivi, mwaka jana mwezi wa 12 nilienda mkoani nikakutana na mama wa mwanangu ambaye naweza kusema kama mahusiano ya kimapenzi yalikuwa yameshaisha tulibaki kulea mtoto...
Sasa, nilifikia lodge...
Thamani Inamasharti
Watu huonyesha kupendezwa na wewe unapokuwa tajiri, unapokuwa unawavutia katika kitu furani au haupo tena duniani.
Madhara ya Hasira
Maamuzi yanayofanywa kwa hasira...
Wakuu Leo nimeenda kula mgahawa Moja Stendi ya Arusha wali maharage wa 1500 jumlisha soda ya 1000.
Baada ya hapo Mimi na rafiki tukarudishiwa Chenji yeye 2500 baada ya kutoa 5000 na Mimi 7500...
Ukishakua mwanaume tu, tayari familua wanakusubiri ukue uwakomboe, jamii inakuangalia wewe. Ukiwa na mwanamke au ukioa unategemewa kwa vitu vingi hata kama huyo mwanamke anajiweza. Wengi wetu...
Wadau mko poa!!
I am doing well.
Mtaa nilohamia mwaka huu mwishoni kuna ki sistaa flan, hiki ki sistaa kwao ni wafanya biashara wanamaduka ya vyakula na maduka ya dawa za binadamu...
Kama head inavosoma.....
Binafsi juzi kuna mmama flani wa so Mzee ni kama mshangazi alikuja ofisini kwangu akihitaji nimrekebishie swala fulani.
Sasa swala lenyewe lilikuwa ni app ya mesej...
Wazee kwema!
Kuna shemeji/wifi yenu ukiachana na huyo bikra anayebana kutoa uroda ila yeye anataka kuhudumiwa.
Huyu mchumba bhana anamalizia chuo mwaka huu nafikiri mwezi wa 8 au wa 7. Huyu...
Copy na kupaste.👇
MUME WANGU, SIWEZI KUSHINDANA NA MABINTI WADOGO WA MJINI.
Alikuwa akisoma article fulani kwenye mtandao huku amekaa kwenye kiti kilichopo chumbani mwao..
"Darling...."...
1.Kuelewa chanzo cha hofu: Jaribu kuelewa chanzo au sababu inayosababisha hofu yako. Unapojua kinachokusababisha wasiwasi, unaweza kukabiliana nayo moja kwa moja.
2.Kujifunza mbinu za kupumua...
Hofu ni hisia ya kisaikolojia ambayo mtu huipata anapokabiliana na hali inayotishia usalama, afya, au ustawi wake. Ni majibu ya asili ya mwili na akili kwa hali zinazochukuliwa kuwa za hatari au...
Wataalam wa mambo... twende kazi....
Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu.
Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka...
Natumaini ni wazima ndugu zangu
Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu
Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako.
Hadi sasa...
Ilikua siku ya ijumaa kuamkia jmosi, kjana nikavuta pisi moja ina makalio makubwa hivi bas bhana ikafika home tukapiga story mbili tatu kama mnavyojua kweny jinsia mbili bas tendo la faragha...
Kuna jamaa yangu Ni mkandarasi serikalini, mkewe Ni mtendaji. walijenga hapa Dar baadae jamaa kaja kuhamishiwa mkoani kikazi, ikabidi mkewe nae kikazi ahamie huko huko mkoani wilaya alipo Mumewe...
twajibiii
mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana
anaongea na nani?
wanaongea nini?
inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea...
Habari za sasa wanachama wa Jamiiforums natumai wote ni wazima wa afya, nilikuwa na jambo lini kereketalo moyoni mwangu liitwalo “MAHARI”
Nilikuwa na tatizo na huu utamaduni ulio zoeleka hapa...
Naandika uzi huu huku nikiwakumbuka wengi waliokufa na gonjwa la hatari la UKIMWI kule kwetu Iringa Mafinga kwenye misitu mbao mji wa biashara mji wenye viwanda vidogo vidogo vingi vya mbao mji...
Nianze kea kuwapa pole wote mnaoteseka na maisha ya ndoa,
Pia natoa pongezi kwa yeyote alie single kea kusema hongera 👋👋👋
Niliishi maisha ya ndoa KABLA ya kurejea katika ubachela tena ndio...
Ewe mwanamke Agnes kwa nini umeyafanya haya? Yani nimekukaribisha na kuwasululisha vizuri maugomvi yenu alafu nilipoondoka ukafanya haya? Uliomba msamaha wa nini sasa kama bado ulikuwa na...