Hivi hamuoni aibu jamani dada zetu.
Unamuona mtu kwenye picha yaani ni mzuri mpaka unasema waaaaaooooh. Lakini kumbe kaji edit. Kote huko ni kumchanganya mwanaume tu. Tuoneeni huruma basi.
Copy and paste kutoka kwenye page ya HIV living postive instagram.
"Naitwa XXX naishi iringa naomba msaada napitia kipindi kigumu sana sijui nianzie wapi nina stress nyingi sana nimeolewa na...
Habari za jioni.
Yaani si ofisini si kwenye lift si kwenye sehemu yoyote msichana akiomba msaada anasaidiwa haraka sana.
Balaa kwa madume hata litoe machozi halipewi msaada.Mwenye gari anaweza...
Normalize kutokuwa muhitaji kiasi kwamba uhitaji wako ukaifunga akili na hekima yako na kukufanya ukawa mwehu kuweka mwili wako rehani sababu ya shida za kupuuza na kupita. Ishi kwa kutokutegemea...
Hua nashangazwa sana na kauli isemayo "kuolewa ni bahati" toka kwa wanaume na hata wanawake. Kauli hii hua inatoka kwa watu wanaoamini kwamba kwa kuolewa, mwanamke anakua amefanyiwa FAVOUR...
Kwema Wakuu!
Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru.
Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye...
Salaam,
Mwanamke akikupenda atakupa cheo cha baba katika maisha yake, kwako atatarajia upendo na malezi toka kwako.
Kama mwanaume, ni wajibu wako kumfanyia yafuatayo:
1. Mdekeze kadri...
Good morning wakuu.
Natumaini tumeamka salama. Naomba kwa kila mmoja vile anavyoweza kumuombea, dada etu Leejay49 leo anaingia chumba cha upasuaji, kwaajili ya jicho na sikio.
Usiku...
Imetokea jana.
Dada ananiambia kuna hutuma dhidi yetu hapa mtaani. Anasema ameshutumiwa muda mrefu sana lakini aliamua kupotezea tu ila alipanga kuna siku atapata sababu ya kusema na siku yenyewe...
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa
Ila naombeni...
Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka...
Mmmh,
Hivi majuzi yalinikuta, nilikutana na mdada kwa basi. Tukajuana nikamkaribisha sehemu majuzi akala mbuzi yangua na ka kvant.
Kumaliza nikaomba mzigo nkakagoma kakaachia twende kwangu...
Sehemu ya 1.
sina budi kuendeleza hii stori.
Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti...
Kulingana na tafiti mbalimbali, nchi zinazoongoza kwa viwango vya juu vya usaliti zinaweza kutofautiana kulingana na vigezo kama vile tafiti za mahusiano, viwango vya talaka, na utamaduni wa...
Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa...
Mwaka fulani huko nyuma, kama matani hivi kuna mwanaume mmoja alianza kunitongoza lakini nikawa namkatalia kwa sababu mbili
1,Alikuwa na mke na familia yake
2,Alinizidi umri kwa mbali mnoo kama...
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli
Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye...
The New Culture – does a woman need to solicit for a marriage? Effects of globalization in Present Tanzania
Globalization has made Tanzania culture to be compromised in many ways. I am...
What you think of yourself is reflected
in the way you treat others.
A very effective way to raise your own level of confidence
is by acting positively toward the people around you...
Amri za Allaah (Subhaanahu wa Taala) tumeziacha nyuma ya migongo yetu na kuyafanya matashi yetu kuwa ndio muongozo wa maisha yetu.
Uzinifu tumeufanya kuwa ni ada yetu na pombe ndio muongozo wa...