Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Naongea na wewe kaka tuliyekutana Katoro enzi za usichana wangu! Mbona ghafla sana? (GaFRA mno). Nakujua vema ndani na nje, na tulipokutana ukaniahidi utaenda CHINA kupasuliwa kojoleo ili...
14 Reactions
36 Replies
1K Views
Nipo kwenye mahusiano na huyu Dada kwa mwaka mmoja na nusu sasa. Hatuishi pamoja lakini muda mwingi nipo kwake, ananihudumia kwa kila kitu. Mimi nafanya kazi lakini kipato changu ni kidogo sana...
8 Reactions
70 Replies
2K Views
Mwali ni msichana ambae hajaguswa Ukimpiga ziwa lake ni gumu kama skonsi Huyo ndio mwali wa kike Mwali wa kiume ni nani? Mwali wa kiume ni mwanaume ambae bado hajaguswa Hata ukimwuliza gololi...
2 Reactions
24 Replies
660 Views
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa watoto ukitaka kufilisika jifanye umependa utapewa majukumu hadi ya wazazi wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hakuna madem wenye njaa kali na wasanii kama...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri. Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo. Changamoto nyingine zinaweza...
9 Reactions
196 Replies
2K Views
Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako. Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si...
7 Reactions
22 Replies
866 Views
Nimepigwa na bumbuwazi wadau! Natoka safari zangu naingia ndani namkuta mama mkwe (ana siku ya tatu Sasa hapa akiwa amekuja kututembelea) amejiinamia flani. Nikamuuliza, "mama vipi mbona...
2 Reactions
11 Replies
840 Views
Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁 Wanangu wa kataa ndoa back up yenu...
20 Reactions
190 Replies
5K Views
If you turn around I'll plant a tender kiss on you that will remain true right out of the blue just to say, I was thinking about you! mwah! A kiss from a son to his mother, The one that is not...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Scientists have discovered that people can have a love that lasts a lifetime. Using brain scans, researchers at Stony Brook University in New York have discovered a small number of couples respond...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Za leo wa ndugu, naomba kuuliza je ni fanye nini na tabia ya mume wangu kuhusu simu(mobile phone) Kwa kweli ni jambo lililokuwa likinisumbua kwa mda mrefu sana. My hubby anatabia ya kutopokea...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
Polygamy Is the Key to a Long Life – So Says New Research News Report from (NewScientist and newsru) New research shows that polygamists live on average seven years longer. Ecologist Virpi...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Scientist reveals what men REALLY think of when they look at a girlie calendar By Fiona Macrae Last updated at 5:37 PM on 17th February 2009 Sexy calendars and pictures of topless models in...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Touch Yourself I understand the why Yet I cannot grasp the how; But if this is the way you must handle us I will try to understand somehow. There is one thing that I ask As you...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Lips are a visible body part at the mouth of humans and many animals. Lips are soft, movable, and serve as the opening for food intake, as an erogenous organ used in... kissing and other acts...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
hey good friends how can i get a god girl for married and not for fun! pls help me i'm at hot time
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Yule msichana wa Romania Alina Percea aliyatangaza kuiweka bikira yake kwenye mnada nchini Ujerumani miezi michache iliyopita amefanikiwa kupata mteja baada ya mnada huo kuisha na mwanaume mmoja...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Ukisalitiwa ufanyeje?
1 Reactions
49 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…