Kila nikitazama hii video hapa chini inanitoa machozi, nawaza ipi ni future ya watoto na dada zetu kesho kama imefikia stage in Tanzania. Mdada anavalishwa pete na msagaji tena kwa wazi kama hivi...
Aug 26th, 024
Dar es Salaam, Tanzania
Saa 5:27 asubuhi
-------------------------------
Habarini madada, makaka, na wazee wenzangu!
Leo nivunje ukimya niongelee suala nyeti kidogo.
Umewahi...
Katikati ya mwaka 2015, Juma alikuwa amehamia Singida kwa ajili ya kazi yake. Alimuacha mkewe Iringa alipokua akifanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya wazungu. Baada ya mwaka Moja kupitia juma...
Habarini nyote na Amani iwe nanyi
Mimi Chief Wadiz muumini wa haki na uhuru nasema hivi kupotosha haki na uhuru si sawa
Sisi Wanaume tumeumbiwa hitaji na kiu ya wanawake wengi hivyo tuna haki na...
Habari zenu members wote was jamiiforum pia poleni na mahangaiko
Mimi nina swali hasa kwa wadada kuhusu wanavyojisikia wanapo tongozwa na mkaka ambaye humjui Wala yeye hakujui Ila ndio hivyo...
Mnaopenda mishangazi,
Kuna bwana abatoka na lishangazi fulani,kumbe miaka miwili iliyopita aliwahi kuwa kwenye mahusiano na binti wa hilo lishangazi,na hawakuachana kwa ubaya,
Bado ni marafiki,.
Leo atakwambia hivi kesho litatokea lile.
Leo atakuambia ubebe pochi yake, kesho atakuambia umuogeshe
Leo atakupiga kiatu, kesho atakunyima tendo.
Leo atataka kula hiki, kesho atataka kile.
Sasa...
hadi naandika hoja hii,
kuna kundi kubwa mno la waliowahi kua kwenye mahusiano, uchumba na ndoa, lakini wanasoma ujumbe huu mahususi wa urejesho sasa, wakiwa wamasambaratika si wamoja tena na...
Nimeanzisha huu uzi kutokana na hali ya ubachelor nayoipitia, sometimes mambo yananyooka ila wakati mwingine yanakua nisivyotarajia mabachelor mnakaribishwa tupeane experience za maisha ya ubachelor
Huu ni ushauri kwa wanaume wenzangu mliooa, jitahidini kadri ya uwezo wenu kutimiza wajibu wenu.
Naomba niwakumbushe, hakuna mwanamke rahisi kutongoza na kumla kama mke wa mtu, ni rahisi sana...
Kuna Taasisi zina Hali ambayo hairidhishi kwa kweli. Ziko hoi na zinaelekea pabaya. Sababu ndio nataka tuzijadili hapa, ila zinahuzunisha.
1. Taasisi ya ndoa - hii ndio ina hali mbaya sana
2...
Ananiletea sheria za kiwaki ambazo hata kwenye taurati hazipo. Eti kabla ya kufanya mapenzi ni lazima tukakate/ akakate kibali kutoka kwa Mchungaji wake ambacho kitakuwa na muda wa kuanza na...
nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha...
Habari wakuu mke wangu ana dada yake ambaye kazalishwa mtoto mmoja na Dada yake hayuko katika ndoa, hajaolewa na aliyemzalisha alikuja akaoa mwanamke mwingine
Sasa basi mimi na mke wangu tuna...
Uchunguzi huu nimeufanya mara kadhaa sasa nimejiridhisha kuwa mwanaume huwa anabalehe kwa mara ya pili akifika umri wa miaka 40.
Katika umri huu mwanaume anakuwa kama teenager wa miaka 16...
Habari wakuu
Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi (...
Hello how are you all!!!!!
Leo nimekumbuka hiki kisa.
Ilikuwa mnamo mwaka 2012 nimemaliza darasa la 7. Ilikuwa mwezi wa 10 kama sijasahau, huko mkoa mashughuli kwa ulimaji wa tumbaku.
Baba...
Habari wadau.
Wanawake sijui akili zao huwa wanazipeleka wapi .
Ipo hivi kutokana na mimi kuwa mpenzi wa mpira.Sasa nimekuwa na kawaida ya kwenda ukumbi fulani ambapo kuna baa hapohapo.
Nikifika...