Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kuna mwamba juzi kadai wanawake wa siku hizi hard ware safi ila software zero ni kweli. Mtu hajapatikana hewani siku kadhaa ukimuuliza eti simu ilitumbukia chooni Nguo nyingi za wanawake hazina...
5 Reactions
25 Replies
493 Views
Kwanza tujue upendo ni nini kwa mujibu ya Biblia Takatifu. Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
ANAKUPENDA WEWE AU ANAPENDA UONGO WAKO? SWALI MUHIMU KUJIULIZA 😊 Yawezekana yupo kwako kwa kuvutiwa na majigambo yako uliyojivika na kuonekana mtu mwingine ila siku ukirudi uhalisia unakuwa sio...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Kumbuka kuwa, pamoja na kwamba unaweza kuwa mzuri sana ila bado utakataliwa....hata maembe ni matamu sana ila sio watu wote wanapenda maembe... Mananasi pia ni matamu sana lakini sio watu wote...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata. Lakini...
2 Reactions
2 Replies
259 Views
Oyaa to everyone here, i have somehow got this time to speak with every single one of you. Some, will probably be sleeping. Some will be not able to read this for whatever reason but for the ones...
10 Reactions
74 Replies
5K Views
Mimi ni Baba wa watoto watatu, nimeoa ndoa yenye miaka 12 sasa. Kuna sehemu niko nafanya kazi mke wangu naye ni mfanyakazi na ni ngumu kuhama basi tunahisi tofauti. Hapa ofisini kuna dada...
11 Reactions
91 Replies
3K Views
Ni jambo gani ambalo mpenzi wako analifanya, linakukwaza lakini yeye hajui kama linakukwaza. Tupa jiwe gizani ujumbe ufike
10 Reactions
160 Replies
3K Views
Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea...
1 Reactions
11 Replies
599 Views
Habari zenu watu wa mapenzi. Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani. Naishi mkoa tofauti na ambao familia...
28 Reactions
129 Replies
3K Views
Tarehe 15/8/2024 chama cha mapinduzi huko jijini Mwanza kimefanya jambo la aibu ,dhihaka na kejeli mbele ya wazalendo wa nchi hii kwa kuwachangisha masikini ili eti msaliti Lisu apate gari...
0 Reactions
4 Replies
354 Views
Uzi huu nimeuandaa baada ya kusoma post flani inatrend jukwaani muda huu kuna dada yetu anahisi mme wake anatumia ushirikina kujua mawasiliano yake ya watu anaoongea nao, Huenda ni kweli lakini...
58 Reactions
140 Replies
23K Views
ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu, na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na...
3 Reactions
7 Replies
216 Views
Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media. Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha...
15 Reactions
44 Replies
804 Views
Nimepoa maghetoni leo mapema now kigiza kimeingia wacha nikasake chakula sasa No friends No girlfriends No Love Only me wacha tusake pesa
6 Reactions
139 Replies
1K Views
Wakuu, Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa. Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia. Sasa miezi kadhaa naona...
40 Reactions
113 Replies
3K Views
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya. Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
15 Reactions
129 Replies
8K Views
Kama unatarajia kuoa kijana,na mke anakuzid kipato; (I) Hiyo ndoa haiwezi kudumu sana kama utamtegemea mwanamke Ii) Hata kama mwanamke anayo kazi kubwa,make sure matumizi yake unagharamia...
6 Reactions
13 Replies
590 Views
1. Punguza Tamaa Zako Za Ngono Ukiendekeza Tabia Hii Itakupelekea kutembea Na Watu Mbalimbali. Hali Hiyo Siku Moja Itakupelekea kupata Magonjwa ya zinaa /Kwa Wewe Binti Mimba Na Hata UKIMWI. Akili...
14 Reactions
19 Replies
600 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…