Kuna miaka bana nilibrowse simu nkaona nichat na bidada mmoja tukakubaliana atanitembelea mkoa nilipo, tulikuwa tunaishi mikoa tofauti. basi bana ikawa imeisha iyo, wakubwa hawatongozani...
Hii movement kwanza ni haramu na imeleta madhara makubwa katika jamii yetu ya sasa kuliko faida au tija. Watoto wetu wa kike wamekuwa brainwashed kuamini vitu ambavyo kiuhalisia havipo na...
HAbar za wakati.
Nilikuwa namfukuzia Binti mmoja ambaye Kwa mwanzo tulikuwa na urafiki zaid ya mwaka na nusu ingawa alikuwa na mahusiano yake ambayo yalikuwa mkoani huko
Baada ya kumueleza hisia...
Habari,
Binafsi ni muuminini wa usafi na muonekano bomba iwe nje na hasa ndani.
Kuna katabia ka mabinti kuvaa michupi mibaya huku inaonekana kama madekio. Utakuta mdada mrembo haswaa, ila...
Zamani mwanamke aliyeachika au kutalikiana na mmewe alikuwa hatakiwi kabisa kupewa nafasi yoyote ya uongozi katika jamii.
Jamii ilifanya hivyo ili kupeleka meseji kwa wengine kuepuka kuishi...
Utafiti umeonyesha kwamba wanandoa wanaolala uchi pamoja mara nyingi wanaripoti viwango vya juu vya kuridhika katika mahusiano yao ikilinganishwa na wale wanaolala wakiwa wamevaa mavazi.
Katika...
Wakuu nawasalimu,
Je wanawake hupiga punyeto?how often?Na kinachowasukuma kufanya hivyo ni nini?huwa wanaweza kuacha haraka wakiamua au nao husumbuka kama wanaume?
Alamsiki!
Nasema hivi watu wenye furaha na amani katika kuishi ndoa ni waislamu peke yao kwanza mwanamke na mwanaume wote wanaandaliwa kiakili, busara na hekima za kuishi maisha ya ndoa.
Dini nzuri hii pia...
Nitakujuza tu yoyote unayemvulia chupi ama suruali yako kama sio mkeo wa ndoa kitendo cha kuingiza dudu lako kwake nikujuze anaondoka baraka zako
Haijalishi amevaa hajavaa condom nitakujuza NDUGU...
Wakuu,
Wakati mwingine kataa ndoa huwa wana hoja muhimu sana wasikilizwe.
Mimi nilioa miaka mitatu iliyopita,tukajaliwa kupata mtoto wa kiume mmoja,tangu mama mtoto wangu ajifungue miaka miwili...
Kwanza niombe radhi kwa kuleta uzi huu kwenye mwezi mtukufu. Hii tabia nimeivumilia lakini nimeshindwa, wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali wanatabia ya kusimama na kushikana sehemu ambazo watu...
Salaam,
Baada ya kuwaza sana na kuwazua bila kupata suluhisho la changamoto ninazopitia kwa sasa nikakumbuka kipindi nipo kambini JKT, nakumbuka afande mmoja mnoko alituambia maneno ya ajabu sana...
Mtu anaweza kukuharibia upako wa jumapili kwa request za ajabu. How come Mwanamke anaomba atumiwe video za utupu
Nianze kuinstall VPN niingie pornhub ni download X then nimtumie Mimi nimemwambia...
Salute mates...
Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae...
Za jioni,
Well kuna kamsemo kanasema kuwa starehe ya masikini ni ngono. Well napingana na hiyo kauli kwa 100% mimi naamini kuwa wanaume wengi duniani kama sio wote tunapenda SEX kuliko chochote...
Copy and Paste
πππππ
I cheated on her, and I don't even know if she knows. I came home yesterday from a business trip, and I found a big photo of my side chick in my living room. She made a huge...
Habari humu ndani natumaini mkoa poa kabisa ila kwa upande wangu siko sawa yaani Sina amani Sina Raha daaah βΉοΈ!
Ebana nisiwachoshe sana IPO hivi wiki 3 KABLA nilikuwa natoka kwa mteja kuset dish...
Katika jamii ya sasa kumekuwa na mkaranganyiko wa kifikra kutokana na kukosekana kwa elimu na mifumo sahihi inayoweza kutanabaisha mahitaji sahihi ya jinsia moja kwenda nyingine.
Mwanaume...
Msaada wadau, moja kati ya vitu ambavyo katika maisha yangu niliplan sitokuja kuishi au kuoa mwanamke ambaye kashazilishwa..Hii leo nimempatia mimba binti wa watu ambaye kashazalishwa na...