Moja kwa moja niende katika mada.
Leo asubuhi kama kawaida yangu kuna mahali huwa naenda kunywa chai, ni mgahawa wa jamaa yangu mmoja wa karibu, nimekunywa chai, nilipomaliza nikaona kuna funguo...
Wadau habarini,
Kuna mwanamke mmoja nilikuwa na mahusiano nae, baada ya miezi mitatu ananiambia ana ujauzito nilipomwuliza kwa kina akasema ni wangu. Baada ya wiki mbili akanionesha mstar...
Mahusiano yana mengi sana.
Kuna nyakati unakuwa na mtu anayekuonesha mapenzi ya dhati, anakufanyia kila kitu lakini haum'feel kabisa. Unajaribu kumkasirisha ili labda akasirike akuache lakini...
Yaani nikipewa jumatatu, jumanne, jumatano na alhamisi anakuwa amechoka, na tena inakuwa ni kimoja.
Sasa unajua mimi bado ni kijana lakini kuna wakati hili suala linanifanya nakuwa na hasira...
Habari ya asubuhi.
Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share
Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshikaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae.
Mbaya zaidi ni kwamba licha ya...
Habar wakuu,
Ni takriban miez 2 tangu nifahamiane na huyu bi dada, Kuna stori behind iliyofanya tufahamiane nae japo kuielezea hapa nitawachosha wasomaji,
Kwa mwanzoni sikuwa namzingatia maana...
Uongo dhambi.
Nasikiaga tu stori juu ya uvunjaji wa yai kwa kwenzangu tuuu. Lakini mimi bunafsi sijawahi kukutana na mwanamke mpya. Sijui kama ni ushamba, ulimbukeni ama nini.
Hata mke wangu...
MWANAMKE MWENYE TABIA HIZI NI NGUMU KUDUMU NAYE KWENYE MAHUSIANO.
1. Mwanamke mwenye mdomo, anaongea kuliko kawaida (umbea umbea)ππ« π
2. Anayeamini uchawi (ushirikina)πΆβπ«οΈβ οΈ
3. Mwanamke...
KAMA LENGO LAKO KUU NI KUZAA ILI WATOTO WAJE KUKULIPA FADHILA KWA MALEZI YAKO BASI NAKUSHAURI HAIRISHA KUWA MZAZI KWA SABABU WEWE NI MJASIRIAMALI NA SIO MZAZI.
Ni ushauri tu sio lazima ufuatwe...
Naombeni msaada,
Kwanza ni kweli bikra inaweza kutolewa bila mwanaume kumwingilia msichana na kwanini wadada wengi wanapoulizwa swali hili wanakuwa wakali sana mfano mke wangu kila nikimuuliza...
Kiukweli leo nimemkumbuka sana mama yangu,nampigia simu lakini bado nahisi sijafanya kitu.
I LOVE YOU MAMA,I wish ningekuwa na mahela nikupe kila utakacho.
Mungu akubariki hapo ulipo.
Wanasema Adui mpende.Na pia tulipe mabaya Kwa Wema hata vitabu vitakatifu vinasema.Lakini pia wanasema chuki humtesa anayehifadhi.
Naishia na ndugu X ambaye ni nguzo Sana kwenye maisha...
Habari wana JF, Nilikuwa na changamoto naitaji kushare na nyinyi ili muweze kunisaidia kimawazo,
Maana kuna kitu kinaniumiza sana katika Maisha yangu.
Mnamo Mwaka 2015
Nilikutana na binti wa...
1) Tangu uanze kujua wanaume mimi ni wangapi?
2) Aliyekutoa bikira kweli unaweza kumsahau?
3),Ulitolewa bikira ukiwa na umri gani?
4,)Mwanaume aliyekuwa nae alikukosea nini ili na Mimi nisije...
Mwaka 2012-2015 nilikuwa nchi jirani kwa mjomba wang (yaani kwao mamaangu) nikiendelea na masomo yangu..
Kulikuwepo dada mmoja.. kwa jina ngoja nimpe jina la fatuma .. for privacy.
huy mdada...
Aisee kwa kweli hawa watoto ni warembo mnooo karibia kila mchezo hakuna ngongozo hata mmoja zote ni maliasili, wote wabichi kabisaa halafu tunajua kujieleza very smart yaani. Hapa ni lazima niende...