INTRODUCTION:
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania...!!
BODY
Tarehe 18/04 Mtukufu Rais wetu alitengua uteuzi wa DED wa Mafia Bwana Kassim Seif Ndumbo, ila wajuzi wa mambo wanasema, kosa...
Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?
Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela...
Habari,
Napenda kuuliza hivi kwa wadada na wanawake wote kwani huyu mwanamke wangu huwa anapenda kunituma mm ndio nimfatie hiki kifaa maana anadai akifika dukani huwa anaishiwa pozi kusema mangi...
Moja kwa moja kwenye mada.
Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu...
KAKA usiigize mahaba kwa kutaka ngono kila wakati, kuwa halisi; mapenzi ya dhati ni zaidi ya ngono. Mtu wako anataka kuwa karibu naye.
Ngono ni rahisi kupata, lakini kufanya mapenzi kunahusisha...
Ni ajabu sana ya miaka hii vijana wanahisi wapo tayari kwa commitment kubwa ya ndoa kirahisi rahisi wakijua ndoa ni plug and play game kumbe bila kujua ni plug and not play until you do overhaul...
Tulioana miaka kadhaa iliyopita na tumejaaliwa watoto wawili. Tulioana mke wangu akiwa na mtoto mmoja aliyezaa akiwa kwao. Miaka ya mwanzoni uchumi uliruhusu kutoa huduma hata kwa mtoto wake...
Kama tayari ameshampa hamis, sheby bodaboda, frank, Qboy, dj dully, pius, zero iq, devi, jembe, chid, rasta, baba kevi, george, cadabra n.k iweje akuambie wewe sex mpaka ndoa.!
No room to that...
HOW TO DESTROY A GOOD MARRIAGE IN JUST ONE MONTH
To destroy a good marriage is very easy than you think, it does not cost anything. I listed here things you can do to destroy a great marriage by...
Unajua hata kama huoni kuwa masingle mothers wanafaida basi. Ila wao kwako wanafaida nyingi.
Kuzaa nakupata mtoto ni hazina ya mbeleni na sasa . Kuitwa mama fulani ni raha sana . Mwanamke...
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu.
Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja...
Ukweli ni kwamba, Hakuna njia kuu ya kukuwezesha kuthibitisha moja kwa moja kama mtu anakupenda kwa dhati, lakini zipo ishara chache za kitabia zitakazoweza kukusaidia kutambua kilichopo katika...
Habari za muda huu,
Kama ilivyo ada na kawaida kwa sisi wanaume, tunapaswa kuendelea kukumbushana mambo ya msingi kwa ajili ya kutunza afya zetu za akili na uchumi, ili walau tuishi maisha marefu...
Kuna mwanamke mmoja alitishia sana mtaa kutokana na uzuri wa sura na rangi ya mwili aliyonayo. Kati ya Predators waliovizia vizia nami nilikuwa mmoja wao
Nilipoona binti mwenyewe ni aina ya staki...
Jambo?
Ewe kijana nakuhisi sana isije kutokea ukawekeza hisia kwa mwanamke maskini ambae hana hofu ya Mungu.
Wanawake maskini wasiokuwa na hofu ya MUNGU wengi ni washirikina, Malaya na wanatabia...
Mimi ni kijana mwenye miaka 20 toka nizaliwe sijawahi kuyafurahia mapenz ngoja niwape historia yangu kidogo kwenye mapenz mwaka 2019 nilienda kufanya kazi kwa kaka yangu Morogoro wilaya ya Malinyi...
Hili tukio limetokea mtaani kwetu bhana,
Kuna jamaa this week alienda kuipa taarifa familia yake kuwa anataka kuoa na kumtambulisha mwenza wake kwa familia yao, sasa wakati anaulizwa maswali na...