Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kuna wanawake wakati wanaolewa waliwatukana wasioolewa na kuwaona wabaya na kuwachukulia wana mikosi Kuna wanawake wakati wanaolewa waliwaona waliozalia nyumbani kama vile wana tabia mbaya...
3 Reactions
2 Replies
487 Views
Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko. Jana jioni mida ya saa moja nikiwa...
39 Reactions
263 Replies
18K Views
Hello wakuu, Greetings, Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao...
6 Reactions
66 Replies
2K Views
Kama Una tatizo la kutafuta vitu au watu n.k fahamu tu kuwa hauna power tena unachohitaji nikuweka power vizuri. Kila kitu kinavutwa iwe pesa, mpenzi, good life n.k You don't need to chase...
9 Reactions
12 Replies
612 Views
Ni vyema tukajulishana vitu vichache vichache ila vina umuhimu mkubwa. Wanaume mnao tarajia kuingia katika ndoa au mliopo katika ndoa changa msiweke expectations kubwa sana ndani ya ndoa kwamba...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Ukifika jeshi kabla ya kuanza mafunzo kuna ile introduction to Depo, kwenye introduction to Depo mutazungushwa maeneo yote ya kambi , mutapewa miiko na amri zote. Ili baadaye ukikosea ujue kabisa...
6 Reactions
16 Replies
653 Views
“Wanawake mjiheshimu, achenikuita wanaume zenu malaya, mwanaume hawezi kua malaya, kua na madodo mengi ni haki yake ya msingi as long as yeye anayaka”. “Wanaume ondoa dhana potofu ya umalaya...
0 Reactions
4 Replies
389 Views
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza kuna mdada nilikutananae wiki iliyopita kwa kifupi nilimwelewa nikamwomba namba akanipa tukayajenga fresh akakubali baada ya hapo nikaomba nionane nae sehemu...
5 Reactions
55 Replies
2K Views
Humu ferooz kalia sana kwa Boss Juma nature ndio kama yule mwanao kabisa wa damu ana hasira mbaya na boss kwa uhuni aliokufanyia. Alafu mchizi solo thang ana poza hasira kwa mwanae ferooz...
11 Reactions
104 Replies
4K Views
Mi nimekoma..UMALAYA UMALAYA UMALAYA UMALAYA utatuua. Basi mi nilikuwa nafanya kazi kwenye stationary ya mtu na hapo stationary kuna M-Pesa. Basi kuna mubaba akawa anakuja kutoa hela mara atoe...
43 Reactions
165 Replies
13K Views
Habari wakuu, Kwa hapa terminator naona nimerterminatiwa, hizi shanga wanazovaa wadada viunoni kazi yake na matumizi yake hasa ni yapi? Maana kila nikikutana na hizi mada majibu yake nakuta...
2 Reactions
60 Replies
9K Views
hii inawahusu wanaume mabachela ambao wanapambana ila pesa ni kikwazo, linapokuja swala la mahari jamii nyingi za Tanzania hazina mchezo kabsa kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno...
1 Reactions
1 Replies
352 Views
linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m...
1 Reactions
10 Replies
399 Views
Hali ni mbaya Sana kwa mkoa wa Tanga sijawahi kuona kiwango cha watu kuona Kama umalaya ni kazi yaani kwa watu wengi wa Tanga hususani wilaya ya Tanga,pangani na mkinga Kwao umalaya ni kazi yao...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Siku moja niliamua kutembelea akaunti yangu moja ya mtandao wa kijamii, baada ya kuingia 'inbox' nikakutana na sms (jumbe) nyingi za wadada na wamama mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali za Afrika...
15 Reactions
108 Replies
2K Views
Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa! Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi...
3 Reactions
18 Replies
542 Views
1. They are selfish. 2. They are more likely to have a side family, child, multiple family or end the marriage for stupid reasons. 3. They are emotional damaged. They don't care of other...
19 Reactions
217 Replies
9K Views
USIFANYE WATOTO WAKO WACHUKIE WAJOMBA NA BABA ZAO WADOGO KWA MATATIZO YAKO 😊 1.Ukishindwa kuwasomesha wakulaumiwa ni wewe sio wajomba. 2 Wakikuta milo yako ni ya kubahatisha wa kulaumiwa ni wewe...
12 Reactions
21 Replies
668 Views
Unaweza kushangaa ikiwa hufahamu hili, Ikiwa mwanamke atapenda ufujaji na matumizi yako mabovu ya fedha basi kuwa na hakika ya kuwa uko na mwanamke mjinga na malaya! Wanawake makini na wenye...
9 Reactions
22 Replies
798 Views
Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
1 Reactions
16 Replies
506 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…