Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Shalom, Naripoti toka Dodoma City Kisa kiko hivi huyu msela wangu ni mtu smart, mpole, na mwelevu kiasi, elimu yake ya kawaida, hana maneno mengi, anaishi maisha ya kawaida kabisa...
5 Reactions
61 Replies
2K Views
My Take Wale mliooa walokole njooni mtoe uzoefu wenu Kwa Vijana 👇👇
11 Reactions
92 Replies
5K Views
Hii ni true story alinihadithia rafiki yangu Mm na mpenz wangu Tupo kwenye love kwa miaka 4 sasa na nimeamua kumuoa,kitu ambacho kinanisumbua ni huyu mdogo wake wa kike, shemeji yangu huyu...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Anonymous member LEO NIMEPELEKEWA MOTO BARAA!! Pls hide my name. Aiseee mara moja moja tunapeana stori za kijinga jamani sio kila mara tunakua too serious. Sometimes we have to be silly. Leo...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Hakuna uamuzi wa busara katika maisha yako kama kuwaruhusu wanaotaka kuondoka waondoke, hii itakupa machungu kwa muda fulani lakini baadae utapona. Usianze kubembeleza na kusaga meno kwasababu tu...
13 Reactions
14 Replies
575 Views
Hali ya simanzi imetanda katika kijiji kimoja huko Kapsabet kaunti ya Nandi Nchini Kenya baada ya Mwanajeshi wa Kikosi cha Ulinzi cha Kenya (KDF) kumkata sehemu za siri kisha kumuua Kasisi wa...
4 Reactions
14 Replies
741 Views
Licha ya kuwa wivu una hasara nyingi, lakini pia miongoni mwa faida za wivu ni kuchochea hisia, hamasa, nguvu na hamu zaidi ya kimapenzi.. Fikra, mawazo, nguvu, akili na uwezo wote wa muhusika...
5 Reactions
11 Replies
620 Views
Habari wa ndugu leo nataka niulize nijue kwa sisi wanaume ikitokea mmeachana na demu ile kujipa moyo tunasema "Muhimu nimepiga" 😁 Sasa kwa nyinyi wanawake huwa mnasemaje 😁
2 Reactions
7 Replies
350 Views
Stori isiwe ndefu. Mke wangu mtumishi na mimi mtumishi. Anatiwa ujinga na wenzake kila siku, tuna viwanja viwili na kimoja tumejenga. Leo nimempelekea hati za viwanja vyote na akae navyo. Na...
118 Reactions
390 Replies
34K Views
Kama unataka kuona rangi rangi kwenye maisha yako Ole wako uoe Tanga, labda uoe wasambaa the rest makabila yaliobakia ni kupe tu nakuambia utafilisika kama hauna akili mzuri dadeki hawa Wanawake...
1 Reactions
5 Replies
399 Views
Moyo wangu uko tayari kupenda tena ila kinachonipa mawazo ni wapi nitampata mwanaume nitakaempenda kwa dhati, nina tatizo na kuwaamini wanaume wa Dar ila pia sitaki mapenzi ya mbali sababu...
44 Reactions
725 Replies
61K Views
Katika mazingira fulani, hua panapotokea ukavu au kukauka kwa sehemu za siri wakati wa tendo la ndoa.. Je, usahihi na usalama wa afya ya tendo lenyewe ni kutumia mate au mafuta kulainisha sehemu...
7 Reactions
121 Replies
7K Views
Shalom, Mishaa mishangazi na maisha matamu, amua utakavyo mapenzi ni maisha kupanga ni kuchagua Usibebe mizigo inayokuzidi akili yako. Tuendelee na maisha matamu Wadiz
6 Reactions
15 Replies
592 Views
Nimeachana na Baba wa mtoto wangu mwaka wa tatu sasa. Likizo hii akaomba nimpeleke mtoto kwake maana tayari kaoa. Nilipo mpeleka nikamkuta mke wake yeye alikuwa bado kurudi, basi nikamkabizi Kisha...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Hellow Kwa majina naitwa washasimu washasimu ni mtoto wa tatu kwenye familia yetu kati ya watoto wa 5 na hii ndio historia yangu kwa ufupi MAISHA YANGU YA UTOTO Maisha yangu ya utoto kati ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisikiliza washauri wa masuala ya ndoa Jinsi wanavyoelezea changamoto za na namna ya kukabiliana nazo yaani kama wao wapo sahihi kwenye ndoa zao, badala yake hao motivation speaker ndio...
19 Reactions
148 Replies
3K Views
Hapo zamani kidogo, nikiwa naishi gheto za Kariobangi, kulikuwa na mrembo mmoja mtaa wa pili aitwaye Shani. Shani alikuwa binti wa kisura, rangi ya kopo, anachoma shoti mpaka maboy wa mtaa...
12 Reactions
27 Replies
1K Views
Nilikua nimekaa mahali mida ilikua imekwenda kidogo. Sasa akaja jamaa akapaki hapo. Zikapita dakika kumi akatoka mwanamke na mtoto mdogo wa kiume. Akaingia ndani ya usafiri wa jamaa wakaongea...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind. This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...
3 Reactions
4 Replies
406 Views
MWANAMKE AMBAYE HAJIJALI NA HAJALI HAWEZI KUKUJALI WALA KUJALI WATOTO WAKO Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Unaweza ukawa kijana smart na mwenye bidii ya kutafuta maendeleo. Lakini...
8 Reactions
14 Replies
822 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…