Wanaume wengi tunayumbishwa na pisi kali tunazozimiliki, wengi tumejikuta tumeshindwa ata kumiliki mashine ya kupukuchua mahindi kwa sababu ya kuhudumia pisi kali.
Migogoro imekuwa ni mingi ndani...
Mazoea hayo ni tatizo la akili, au ikifika umri wanaanza hiyo michezo au kimila hio inakaaje?
Kisheria ni kosa ndugu kutoka kimapenzi, ila kesi hizi zinaweza kuwa ni nyingi.
Nothing to hide here.
She's my everything the air I breathe my bread when am feeling hungry.
I will cross the ocean for her, I will go bring her the moon, al be her fortress tall and strong. And...
Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya...
Weekend smart Wana JF
Moja kati ya ndoto zangu Mimi ni kuoa albino,Hawa watu Huwa wananivutia sana Kila ninapowaona, tatizo tu huku mijini daslam hawaonekani.
Kweli niliwahi kwenda kahama ila...
Wapendwa,
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima na mnaelea kwa raha kwenye bustani zenu za mapenzi. Napenda kuwapongeza sana wanaowapenda (Wapenzi wenu) na ninyi mnaopendwa kwani kwa pamoja mna-make...
Wakuu people's
Yale majizi 👉 kidumu
Aisee nilikwenda duka moja kupata huduma nikamkuta mdada mmoja tukazungumza hapa na pale nikaomba namba basi tukaanza mawasiliano na nikamuweka wazi kwamba...
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Nahitaji maoni ya wadau
Je, kuoa uliyemzidi umri au kuoa aliyekuzidi umri au mnayelingana ipi hapo ni nzuri na salama kwa afya ya akili kwa mwanaume
Na kwa...
Nimekuwa nikidate na mkaka mmoja kwa mda wa mwezi, asa jana nikasema ngojea nimpeleleze maana alinitia shaka ana point nyepesi nyepesi mlugaluga. Hakuna mtu anataka kudate mwanaume kama zezeta...
True story,
Tangu nimezaliwa mpaka Sasa nishakuwa kwenye mahusiano serious ×3 ukiachana na zile chapa ilale ambazo nimepita mpaka sikumbuki idadi ya nliopitanao, Na kwa Sasa Niko single Wala...
Wakuu naombeni ushuri wenu Wakuu naona nazidi kumkosea mungu kwa Haya ninayoyafanya na pia napoteza pesa nyingi Sana kwenye kula mbususu Wakuu natamani kuacha ila sijui nitaanzia wapi aisee...
Hivi inakuwaje mwanaume mzima kutwa kulialia kwa mwanamke...hii imekaaje wadau kuna mapenzi kweli hapa au mwanaume anataka kamserereko?
Mawazo yenu ni muhimu
Huku mikoani ni rahisi sana kufumaniana kwa mlio kwenye ndoa au mahusiano sababu ya ufinyu wa maeneo mfano gest, bar, sehemu za starehe nk.
Mikoani ukichepuka eneo uliopo ni rahisi kujulikana...
Sikujua laiti ningejua, najuta.
Wakuu nilikutana na huyu binti miaka kadhaa iliyopita mimi nikiwa nimepangiwa kazi mkoa fulani katika mihangaiko yangu nikakutana na huyu binti nilitokea kumpenda...
Katika circle yangu Sijawahi kuona watu wakiwa na mahusiano na watu wenye ulemavu wa aina yoyote. Si albino wala vilema ila hua nakutana nao wenye watoto.
Karibuni mtupe mrejesho mliowahi...
Habari wanaharati wenzangu! Juzi tarehe 16/06/2024 ilikuwa ni siku ya Wababa duniani. Sasa tukiwa bado na lile vibe la kukumbukwa 😂🤣 sio vibaya ujipime hapa ili ujue kama wewe ni real au ndio wale...
aomba nishee ka story kangu, ila wanawake 🙌. Bana nakumbuka nimemaliza chuo, sasa nilikuwa na pisi iko mwaka wa mwisho. Sasa home ilikuwa ni karibu na chuo nilikomaliza kusoma na yeye ndio alikuwa...
Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu.
Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao.
Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu...