Habari zenu wakuu?
I hope mko poaa wanajukwaa.
Mwaka 2020 niliandika post hii kuhusu binti mmoja ambaye alikua na ujauzito wangu lakini mimi kama muhusika nilionesha kutilia shaka ujauzito huo...
Wasalam wakuu.
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wadada kuwa na maringo. Unakuta mwanamke miaka 40 kupanda unatongzwa halafu anaweka maringo. Mkae mkijua wanaume wa sasa sio wakizamani ukiringa...
Iko hivi!
Huyu mwamba Ali kuwa na Mpenzi wake ambaye Mwanachuo. Mwamba ni alisha maliza chuo kitambo kwa anapiga zake kinanda kwenye moja ya church hapa Town. Mwaka wa pili mwanzoni Manzi akadaka...
Pale unaposikia mapenzi ya wanawake wa kitanga (sio hawa waliochakachuliwa na maisha ya kimjinimjini) wale orijino yanachanganya wanaume ukadhani labda watu wanatania, ni kweli.
Mwanamke...
Habari wakuu ..!
Mimi naona kwa jinsi vitendo vya ubakaji ,kulawiti watoto wadogo ,na unyanyasaji wa kingono kwa watoto vinavyozidi kutamalaki kwenye jamii zetu ,ifike hatua serikali itoe SoMo...
Natoa mwongozo kwa wanaume wenzangu ambao tupo uchumi wa kati yani gari, nyumba, kazi.
1 : Usithubutu kumpenda mdada wa kuokota hapa dar au mji wowote ule mkubwa.
2 : Usithubutu kumpenda msichana...
Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume
Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake)...
Katika maisha kuna mambo mbalimbali tunapitia kama binadamu, mengine ya furaha lakini pia mengine ni ya huzuni na ya kutisha....
Hivi ulishawahi kujikuta katika hali, kitendo au mazingira ya...
Je ni mara ngapi unahitaji mtu akupende? Je ni mara ngapi unasema nakupenda? ni mara ngapi unasema tupendane? au umewahi kusikia kauli hii "Upendo"
Kauli hii ina maana gani? na ulio wasikia...
Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuoni Arusha (IAA – Institute of accountancy Arusha) , nilikuwa na miaka 22
Miaka hiyo nilikuwa natumia ID nyingine humu JF, JF...
Wakuu...habarini za weekend mimi binafsi ni mzima wa afya, wakuu ninapitia changamoto ya kunyimwa tunda na demu wangu kiasi kwamba nimejaribu njia zote nimeona haya mahusiano ni heri yakaisha tu...
Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi.
Sababu ni hizi
𝗪𝗶𝘃𝘂
Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza...
Shemeji yangu amemuoa binamu yangu, na wanaishi mkoani. Kaja Dar kufuatilia issue zake kadha wa kadha.
Kwa bahati mbaya siku chache alipata ajali ya pikipiki, amevunjika mguu na Leo kaingizwa...
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
Yaani pisi zimekuwa nyingi mpaka unahisi shetani anakutafuta, pisi zipo full ni ww tu tafuta pesa
Acha kabisa kubaka watoto watoto Linda mototo wa mwenzio Deal na hzi pisi za kumwaga 18+,
Zamani wakati nakua niliambiwa Wanawake kutoka kanda ya ziwa Ndiyo Wanawake wenye heshima kwa Hii Tanzania hususani kabila la Fulani Fulani la hayati kumbe bwana sio nilikuwa najidanganya tu.Hili...
Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini...
Mimi ni kijana na tatizo langu ni kwamba mboga yangu ni ndogo sana, sasa mara nyingi kwa kweli inani kwaza na muda mwingi nateseka sana kwa mawazo. Mademu wengi waminiacha
wengine wamekuwa sio...
Mwanaume nina swali ndugu zangu ivi unaeza ukashare mtaji na mchumb wako kufungua biashara yoyote? Na kama ukiweza unaeza unatumia mikakati gani ili usichanganye mapenzi na biashara
Kuna member mwenzetu mmoja alisema Katika Uzi wake kuwa " mume wake hashiki Simu yake,ana mruhusu kwenda sehemu yoyote na akienda sehemu Bila kuaga wala haulizwi".
Na madam huyu alisema angependa...