HABARI!
Poleni wadau, leo naomba msaada wa mawazo haswa yenye mtazamo wa kiimani wenye elimu ya dini KWANZA niwajuze wale wataonishauri kupeleka hili kwenye jukwaa la dini na majukwaa mengine...
Wakuu habari zenu.
Nimekuwa katika mapenzi na dada mmoja hivi sasa tunaelekea mwaka wa pili huu. Sijawahi kumkwaza kufikia hatua ya labda kuninunia week au siku kadhaa hivi. kifupi mimi ni...
Niko job of sin kuna Mfanyakazi mwenzangu kaja na fomu ya mkopo wa bank nilipojaribu kuisoma kujua mashariti Tao nimegundua kipengele cha dhumuni la mkopo ikanibidi ma Mimi nivae viatu vya...
So when I grew up, especially in school life, I had zero confidence with women. Partly due to my moral upbringing (I guess) but also I lacked experience. We were mostly supposed to stay at home...
........Hello wana JF
Mwenzenu simuelewi my bro, kipindi nilivyotaka kuolewa alipinga sana kwa kigezo bado nasoma japokuwa mie sikuona tatizo lolote kwa elimu ninayosoma haipo ngumu sana hadi...
........Wana MMU mambo zenu!! Haya leo kuna hili, wewe mdada umeolewa na mwanaume ambaye anakujali. I mean anakupa huduma zote kama chakula, malazi na mavazi. Yaani chochote unachotaka kama ana...
Hello wapendwa wanajf!!!
.......Hope you are all well, I'm so happy and thankful....God has blessed me with a healthy and beautiful baby boy.....I had a C section due to medical reasons, ila sasa...
........Hivi mtu unapozaa after 40, tena mtoto wa kwanza unapata kwenye umri huo unafikiri nini?
Siku hizi baadhi ya wanawake kwa wanaume wanapata mtoto kwenye 40 au zaidi ya hapo.......je hawa...
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali.
Wenye sura personal...
Je umewahi kupendana Na sister?Mimi kuna sister mmoja ametokea kunipenda kinyama.tulikutana mazingira fulani ya kielimu tukapeana namba kwa mawasiliano ya kawaida.baada ya shughuli kumalizika kila...
Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.
Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi...
Bila shaka wana jukwaa mpo baraabaraa kabisa.
Jamani nyinyi wnaawake najua kua kweli maisha ni magumu na sometimes mkipata chance mnatamani kutumia mbinu yoyote (ikiwemo shirk) ili kufanikisha...
Wakuu habari, poleni na majukumu ya kila siku.
Ni hivi wadau kila nikishika simu yangu nakuiona app ya JF napata hasira natamani kupigiza simu yangu chini, Maana bila platform hii huwenda...
Mambo vipi wakuu?
Kutokana na miangaiko ya utafutaji wa kila siku; imenibidi kutenga angalau siku mbili ndani ya wiki, nikashangae kwa kubadilisha mazingira ya hapa na pale; angalau nifurahie...
Majina haya ni mabaya n yanatweza utu wa mwanamke lkn yamepakwa nakshi kuyafanya yaonekane mazuri. Kamwe wanawake msiyakubali na msikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya.
Ifuatayo ni...
WASIKILIZE WATU WENYE MIAKA 40+
1.Wengi wameolewa/kuoa na ambao hawakujipangia wakiwa na miaka 20
2 .Wengi wameridhika na mafanikio ambayo sio yao
3 Wachache sana utakuta bado wanapambania ndoto...
Habar zenu wanajukwaa, bila poteza muda wacha niende direct kwa mada husika hapo juu. Ni takribani miaka 4+ sasa imefika toka nifanye mapenz na demu wa rafiki yangu wa damu sana yani mpaka sasa ni...
Huyu juma lokole anafeli sana, ametengeneza kautafiti feki, kinachoonesha makabila 10 yenye wanawake wazuri nchii hii, na kuwaweka nje ya Kumi bora wachaga.
Listi yake
1.Wairaki
2.Warangi...