Kuna mdogo wangu alifariki akaacha mtoto wa miezi 3 mwaka 2000 yule mtoto akalelewa na Mama alipofikisha miez 8 akachukuliwa na Mdogo wangu wa mwisho akaishi nae alipofikisha mwakana nusu yule...
Dear Comrades, kidumu chama la wana wenye akili timamu KATAA NDOA!!!πππ
Jana imetoka hukumu ya Kesi ya mauaji ya mwanaume wa kitanzania aliyefanya mauaji ya mkewe na kisha kumchoma kwa gunia...
Nipo zangu facebook juzi kwanza nikaona messeji inbox inaanza na "hi" kucheki nikaijibu baada ya muda huyo mtu akatuma friend request nikaona ni rafiki tu kama marafiki wengine nimechat nae...
Soko la mahusiano au soko la mapenzi (sexual market) ni soko la kufikirika (virtual market) ambalo wanawake na wanaume huingia na kutoka wakitafuta kubadilishana mahitaji mbali mbali ya kihisia...
Huyu dada namfaham kwa miaka mingi sana kama 6 sasa. ni dada mzuri kwa sura na umbo ana rangi nzuri ana shughuli zake binafsi na katika shughuli zake huko ndo tulikutana na kuwa marafiki...
Hii ni kwasababu kila mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.
Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu.
Poleni kwa Kazi wakuu, najua kila mtu anayo kazi yake ilimradi mwenyewe ukiwa umeikubali na inakufanya uwe busy. Nimekua nikijiuliza, hivi ni kitu gani mwanamke anakihitaji hasa kwa mwanaume ili...
Habari ya usiku wapendwa,
Yako wa yamesalia masaa machache ili kuanza safari ya mapumziko na kusheherekea sikukuu za Krismasi na mwaka Mpya 2017, basi nikiwa naandaa vitu vya safari leo nikiwa na...
Huyu msichana wangu wa zamani nina miaka 10 sijaonana. Amepanga kuja kunitembelea na kukaa siku 3 cha kushangaza na kinachonitia wasiwasi ni pale nilipomugusia suala la mgemgedo akanambia tena...
Habari wakuu,
Mimi nawauliza dada zetu wanaobahatika kufika elimu ya chuo kikuu,
kwanini ukipata boyfriend unaamua kutega mimba pasipo hata kuangalia uyo mtu amejipanga vipi yani kiufupi mnatupa...
Kutokana na uzoefu wangu hapa duniani nimegundua kuwa wanaume wa ki-Tanzania wana jua majukumu yao. Wanahakikisha mambo ya nyumbani yametulia kabla hawajaanza kujifikiria wenyewe.
Si ajabu...
Habari zenu wana JF,
Niingie kwenye mada, binti yangu yupo kidato cha pili sasa hivi na ana miaka 14. Leo asubuhi hii ameenda shule. Mimi na mama yake tumeachana kwa hiyo watoto nakaa nao mimi...
Jamani naombeni ushauri wenu wakuu maana nimechunguza kila mwanamke ambaye anauwezo ni vigimu sana kumkuta na familia yake.
Post sent using JamiiForums mobile app
Asalaam,
Shukrani kwa wote,
Mlotusaidia kuchagua jina, nilileta uzi hapa unaosema; Tumpe jina gani binamu yangu kati ya haya
Shukrani za dhati ziende kwenu mliochangia kulingana na mada...
Aisee! Mke wangu anapenda sana kuimba na pindi akipata muda tukipumzika ananiimbia nyimbo nzuri za mapenzi hadi najisikia raha sana.Kwa kuboresha kipaji chake nikaamua kumnunulia guitar akafurahi...
Huu ubinafsi wa kiwango cha juu sana
Una watoto watatu wa kwako ila unasema huamini katika kuwa mahusiano na mwanaume mwenye mtoto.
Ama unapenda mwanaume awe baba kwa watoto wako ambaye ulizaa...
Msichana akiwa mtoto mkubwa kwenye Familia, ameolewa na anaishi DSM na familia yake. Kwao wamezaliwa watoto saba, kitinda mimba amemaliza form IV, majibu yalivyotoka combinations hazi kubalance...
Leo nimeshangaa kusikia kuwa juzi kwenye tamasha fulani la muziki huu wa kizazi kipya jamaa fulani kapigwa na mpenzi wake wa kike wote ni wasanii mpaka jamaa akawa analia kama mtoto.
Nadhani...