Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jana jioni nikiwa nimereluxy nyumbani kwangu na ukizingatia wyf alikua katoka kdg,nikaanza kujiona mwepec yani ule wepec uxio wakawaida. Ghafla najiona naelea chumbani kwangu na vipepeo wa kike...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hello Umofia kwenu! Niende kwenye maada, baada ya kuwa na ubize mwingi sana nikiwa katika mizunguko yangu hapa Dodoma hatimaye, Mungu kanikutanisha na mwanamke ambaye ameniipenda siku ya kwanza...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
1. Tamaa ya utajiri Fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa...
13 Reactions
96 Replies
4K Views
Mwanachama #002 Shangazi Lisa Naomba unipostie ID yang ficha! Shangazi amini dunia hii ina mambo mengi, changamoto za ndoa hazifanani ,yakwangu imenijia vibaya! Sijajipanga kwa hili kabisa...
8 Reactions
56 Replies
9K Views
Mwanamke akiwa na mahusiano na wewe anataka ufanye vile yeye angependa (vya kumfurahisha tu). Mwanamke akikupenda anataka nawewe umpende hivyo hivyo, ukimpotezea ANAKUCHUKIA! Atajaribu...
14 Reactions
137 Replies
5K Views
Tulikuwa tunashiriki tendo sasa imetokea tumepishana kauli kai kati ya tendo. Mke wangu amechomoa neti na kuniviringisha mwili mzima.. Hapa ninapoongea nimefungwa kwenye wavu na sina ujanja...
16 Reactions
73 Replies
3K Views
Kwenye maandiko ya zamani sana ya kiebrania, kuna hadithi ya mwanamke ambae kwa sasa ndiyo amekuwa alama ya feminism na haki ya 50/50 kwa wanawake. Hadithi inaenda hivi. Kabla ya Eva kutolewa...
4 Reactions
9 Replies
993 Views
Heshima kwenu wakuu, Kuna kitu nataka tujadiliane hapa; Usafi kwenye Mapenzi. Ukikutana na mwanamke mchafu, nakuhakikishia hutazidi goli moja, na bada ya hilo goli utakumbwa na kichefuchefu wala...
22 Reactions
148 Replies
26K Views
Kwako Binti na Mwana wa Afrika. Elimu za Dunia zinafundisha watu, kuenenda kwa akili/kutumia akili zaidi. Elimu za kiroho zinahimiza Unyenyekevu/kuenenda kiroho/kutumia uwezo wa ndani wa...
3 Reactions
3 Replies
223 Views
Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani. Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of...
15 Reactions
27 Replies
4K Views
Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?" Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo...
14 Reactions
40 Replies
1K Views
Ni faida au hasara gani mtu mke au mtu mume anaeweza kuzipata endapo atakurupuka, atalazimisha au kulazimishwa kufunga ndoa kwa maana ya kuoa au kuolewa?🐒
2 Reactions
6 Replies
608 Views
Kuna wakati nawaza hivi wanaume wana ugonjwa upi kwenye makalio ya mwanamke? maana ukitaka kujua ugojwa wa mwanaume ni uwe na kalio la maana upite mbele yao hii mpaka utaona kero maana minongono...
3 Reactions
189 Replies
64K Views
Wakuu salama, Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka. Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu...
10 Reactions
70 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali. Anyone who is...
10 Reactions
163 Replies
3K Views
Issue ipo hivi.... Wife alisafiri, baada ya kurudi juzi na kama kawaida nikampokea kwa furaha tele kisha nikampeleka home na nikamuacha anahangaika na watoto pale. Picha lilianza baada ya wife...
7 Reactions
114 Replies
7K Views
Habari zenu, Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwa kipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kazi hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila...
14 Reactions
232 Replies
20K Views
Nimatumaini Yangu kuwa mu wazima Mimi ni mdada, imekuwa ni mwezi sasa tangu nifahamiane na huyu kaka na kuamua kuingia nae kwenye uhusiano aliniuliza kuhusu mtoto mwanzoni nami sikumficha...
8 Reactions
205 Replies
13K Views
Wakuunduguzanguni Sis wanaume weng tuko kwenye ulimwengu wa kuamin na kujiliwaza sana linapokuja swala la kuwafikisha hawa ndugu zetu kilelen. Unless umemsoma vzur sana mwenza wako.. yaan...
34 Reactions
236 Replies
13K Views
Back
Top Bottom