Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Holla! Hope mko poa Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote. Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, X wangu nilibahatika kupata naye mtoto mmoja lakini tushaachana, mtoto anakaa na bibi yake, lakini huyu X wangu kila akituma ujumbe anataka nimjibu...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wakuu, nahitaji ushauri, Mimi ni binti nimeolewa naishi na familia, mume wangu pamoja na mdogo wangu wa kike. Tatizo ni kwamba mume wangu amekuwa na kisirani sana juu ya huyu mdogo wangu...
23 Reactions
405 Replies
19K Views
Kama nimekosea jukwaa samahanini sana, jioni ya leo nimekutana na mhalifu wangu aliyenitia hasara za hapa na pale. Sasa kwenye kumwadhibu akawa ananichora tu, amerelax, halii, hacheki, haguni...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Niaje wadau. Long time. Mimi mzima kabisa. Mengi yamebadilika since last time I posted here. Anyways tuende direct kwenye mada. Wiki chache zilizopita nilikutana na mkaka hivi mitaa ya kwetu...
24 Reactions
319 Replies
17K Views
Najua wengi mmepata Idea tofauti[emoji23] shida hii ya kuishi nyumba geti kali saa 3 usiku gate lishafungwa. Baby kanitext yupo nje na mimi nina hamu ya kumuona. Nikajiongeza nikaruka ukuta huyo...
21 Reactions
117 Replies
12K Views
UTANGULIZI. Maisha ya ndoa takatifu yanamaanisha maisha ya ndoa ambayo yanafuata na kuheshimu misingi ya dini, imani, na maadili ya kiroho. Mwanza tuangazie mambo kadhaa muhimu: 1.Uaminifu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuuu, Nimekuja Tanga leo kwa mara ya kwanza, naomba wenyeweji mnipokee na mnaoijua Tanga naomba mniambie wapi napata usingizii mzuri? Nitakuwa hapa kwa siku mbili na mambo yangu kidogo...
3 Reactions
7 Replies
618 Views
Bill Gates daughter Phoebe Gates with her boyfriend Robert Ross Robert has a Masters of Science in Computer Science from Stanford, & he started working on computers at an early age, just like...
3 Reactions
20 Replies
934 Views
Mume wangu anataka kusafiri likizo njee za nchi likizo Nina umia Sina imani na Safar yake anadai amepata mualiko toka kwa watu Walio mfadhiri masomo shule
17 Reactions
82 Replies
3K Views
Mambozz. Jamani natafuta mwanaume wa kunioa humu jf. Awe na Hela kwenye Acc yake isome 900M na kuendelea. Awe na passport na imetiwa muhuri wa nchi 5 za ulaya kuendelea. Awe na nguvu za kiume...
12 Reactions
75 Replies
5K Views
Ukisikia mtu kaua mpenzi kwa wivu wa mapenzi mara nyingi kama siyo zote ni mwanaume wa kanda ya ziwa au mikoani huko Huwezi kusikia mzaramo. Najiuliza kwann Hawa wenzetu wanawezaje kumudu stress...
28 Reactions
124 Replies
7K Views
Ukitaka kukorofishana na mtu, mwambie ukweli kuhusu mahusiano yake. Mahusiano huwa hayataki ushauri. Utamwambia vizuri tu kumsaidia, muache, kesho wapo wote na wanakusema. Kitu pekee kwenye...
5 Reactions
10 Replies
821 Views
NB.. siandiki haya Kwa sababu labda nawapendelea Wanawake , au natafuta Wanawake, la Hashaa, Nina Mke na nina Wanawake zangu Kadhaa huku nje tunasogeza life bila stress !!. Turudi kwenye...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Hello hello.. I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi) Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe:D") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so...
58 Reactions
403 Replies
16K Views
Uzinzi na uasherati una gharama kubwa mno! MOJA WAPO YA GHARAMA YA UZINZI/UASHERATI! 1. Gharama ya Vyumba vya kufanyia Uzinzi/Uasherati wenu 2. Gharama za vyakula vya watu wawili (Chako nacha...
28 Reactions
51 Replies
2K Views
Hii sio siri bali ni kitu iliyo wazi kabisa. Wanaume wasiotumia akili katika kumpenda mwanamke, ndio hao wanao lia lia kutwa nzima kwa uchungu na kuwalaani wanawake baada ya kupigwa za uso...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Hatari sana hii mambo
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom