Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Jumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie. Ukumbi haukua...
24 Reactions
222 Replies
11K Views
Wengi wanapo enda kuoa vigezo wanavyo zingatia ni pamoja na : Mwanamke mwenye tabia nzuri, Mcha Mungu, Mwenye heshima, Adabu na nidhamu. Mkweli, Mwaminifu, Mtiifu, mvumilivu, mwenye akili ya...
91 Reactions
253 Replies
27K Views
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume. Heshima 0 Tabia 0 Kununa nuna A+ Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka...
45 Reactions
670 Replies
34K Views
Mambo! niaje walau! Kuna hii kitu nimeisoma mahala ikanibariki mnooooooooo hivo akili yangu ikaniwazisha sio Mbaya nikishea nanyi kwani yaliyomo yamo iwe kwenye mahusiano ya aina yoyote ile kwa...
12 Reactions
75 Replies
9K Views
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
53 Reactions
157 Replies
7K Views
Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo. Ukweli...
35 Reactions
192 Replies
5K Views
Mara nyingi nimekuwa mtu wa mizaha hapa jamvini . Ila basi baada ya kushuhudia kisa Fulani mtaani ,nikaona nishee kidogo nanyi kuhusu maisha yangu ya mahusiano kidogo huenda tukapata kitu hapa...
8 Reactions
48 Replies
5K Views
Kila mwanaume asimame alipo dakika moja kuwapongeza wale mademu ambao huja kwa juu bila kuambiwa Wale mademu ambao kwenye pochi hubeba chupi ya kubadirisha wepewe laki moja na savannah 3 Wale...
124 Reactions
1K Replies
137K Views
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24...
8 Reactions
119 Replies
3K Views
Good evening members. Njia gani bora ya kuishi katika maisha ya ndoa ya mitala bila pressure na amani. Njemba ina pesa nyumba sio shida lakini haiwezi mke mmoja na inahudhuria kwenye small house...
4 Reactions
20 Replies
573 Views
Habari... Mwanaume au mwanamke ambae ndoa yako ilivunjika ikiwa bado unampenda mwenza wako...na ilishindikana kurudiana...pia mna watoto. Uliwezaje ku move on?.....
7 Reactions
75 Replies
4K Views
Mwambie mkeo umeandikisha jina la mtoto wenu kwenye hati ya kiwanja na nyumba Reaction yake rudi kwa mrejesho.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna maumivu ya aina 2 ambayo yanadumu milele kwenye ulingo wa mapenzi. 1. Mwanaume akijua watu wanamla mke wake. 2. Mwanamke ambaye amefanywa kuwa single mother.
6 Reactions
19 Replies
529 Views
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti. Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
40 Reactions
130 Replies
6K Views
Nawakumbusha: Unaponunua gari daima ni bora kwenda kwa muuzaji na kununua gari jipya kabisa. Lakini ikiwa hutaweza kununua gari mpya kabisa, basi upate moja bila wamiliki wengi wa zamani, mara tu...
0 Reactions
10 Replies
634 Views
Huu ni ushahidi mwingine kuwa umri ni namba tu kwenye mapenzi na kuzaa ni mipango na baraka za Mungu. Bibi mwenye umri wa miaka 63, Cheryl na Mume wake Quran McCain mwenye umri wa miaka 26...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Mada za kuwasema Single Mother zimekuwa nyingi sana ila watu hawajui kuwa Wanaume wenye watoto ambao washatengana na wenza wao ni Pipa na mfuniko na Masingle Mother hawana tofauti ni kitu kimoja...
10 Reactions
29 Replies
1K Views
Naomba ushauri. Nina mwanaume wangu lakini ana tabia ya ulevi uliokithiri yani kulewa mpaka asubuhi na huendelea siku inayofuata mfululizo. Kila wakati anaomba msamaha kubadilika hali ni ile...
5 Reactions
49 Replies
1K Views
Ushawahi sikia watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda. Ni lazima ukubali...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Morning members. Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi. Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
13 Reactions
173 Replies
5K Views
Back
Top Bottom