Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Heloe JF, Kuna kitu napitia kizito kidogo, Mimi ni binti wa makamu nilibahatika kupata mtoto, lakini kuna maugomvi ya hapa na pale yalisababisha kuachana na baba mtoto, mtoto alichukuliwa na...
1 Reactions
7 Replies
878 Views
Jamani, niwaambie ukweli ndugu zanguni sisi wanawake tumetofautiana, hilo mkae mkilijua tuko na tabia hizi: Mwanamke anaweza kukupenda kwaajili ya uzuri wako tu (muonekano) mwanamke wa aina hii...
6 Reactions
18 Replies
719 Views
Binafsi nimezaa na mwanamke mmoja mbaye ameajiliwa na Jeshi moja wapo miongoni mwa majeshi hapa nchini. Huyu mwanake amekuwa na nyodo sana kutokana na kazi yake anayoifanya! Huyu mwanamke anaijua...
21 Reactions
103 Replies
4K Views
Tunapoongelea maswala ya mahusiano, haijalishi tunaonana au hatuonani, lakini tunafahamiana. Zama zile za kukutana Kebby's na Leo Tupo Hapa, zilitufanya tuwe kama ndugu huku kukiwa na Arusha...
39 Reactions
788 Replies
29K Views
Hello JF... Wewe ni mtu muhangaikaji kama wengine hapa mjini. Mtu anakulilia shida hasa ni nduguzo. Unamsaidiaga mara kwa mara pale unapokuwa nacho. Ila shida ni moja siku ukisema bana sina. Hapo...
6 Reactions
19 Replies
598 Views
WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME. Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini. Kutokujua nini...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
HABARI NJEMA KWA WANAUME NA WANAWAKE WANAIHITAJI MKE AU MME Kama wewe ni manadada unatamani kuolewa lakini hakuna WANAUME walio serious kukutongoza ili wakuoe Sasa tatizo Hilo linatatuliwa Kwa...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Duniani kuna majambo na vijambo. Basi bwana juzi nikiwa natoka kwenye mishe zangunza kijamii nikapita Atm. Eneo hilo kuna Parking so nikajump kidogo pale na kuweka Mkweche wangu. Eneo hilo hilo...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Usipoweka mipaka mwanamke wako hatokuheshimu. Na mwanamke asipokuheshimu hawezi kukupenda. Wengi wapo kwenye mahusiano yasiyo na mapenzi. Sababu mwanaume hana mipaka. Ukiwa na mipaka mwanamke...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafiri miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo peke yangu...
14 Reactions
60 Replies
3K Views
Nikiwa maeneo ya Sinza (Palestina), nikiwa nazungusha zangu Vipichu Mdangio, ghafla nasikia honi nzito nyuma yangu, ile kupisha tu, Range la maana Plate E linakatiza upande wangu. Nikiwa katika...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Huu ni mkweli mchungu sana kwetu wanaume. Mwanamke wako unayemuona kwamba ni mtiifu na mwadilifu, ana kijamaa Fulani hivi huenda hata sio Cha level yako, kinamgonga tu kimasihara.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari za Jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
14 Reactions
150 Replies
5K Views
Mfano mtu mlishatengana alafu UKa move on kuendelea na maisha lakini ukaanza Ku HEAL Ila sasa baada ya muda anakuwa anakutafuta tafuta utatumia mbinu gani ili aondoke kwenye maisha yako?
6 Reactions
24 Replies
831 Views
1. Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake.. 2. Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake... 3. Mkumbushe...
2 Reactions
1 Replies
398 Views
𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗲𝗻𝘂 𝘄𝗮𝗸𝘂𝘂... Poleni na majukumu. Bila kupoteza muda 1kwa1 kwenye mada kama kichwa kinavyosema, Ni changamoto gani uliipitia katika ndoa/muhusiano yako ambayo ilitaka kuvunja...
0 Reactions
4 Replies
287 Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
86 Reactions
363 Replies
14K Views
Wakuu hatimaye nimefikia uamuzi wa kumuacha rasmi baada ya kuishi nae almost miaka mitano..Rejea uzi nataka kumuacha ila sina pa kuanzia. Ipo hivi; Nilileta kisa humu ndani kuomba ushauri juu ya...
21 Reactions
70 Replies
3K Views
Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kilele kwa upungufu wa nyege au matatizo mengine ya kimaumbile, tukiachilia mbali suala la kukeketwa. Baadhi ya wanawake hufikia...
8 Reactions
70 Replies
21K Views
Katika maisha yangu tangu utotoni hadi wakati huu wa ujana wangu nimekuwa karibu sana na mambo ya imani za kishirikina. Haimaanishi kama mimi ni mchawi wala mganga wa kienyeji ila tu ukaribu na...
9 Reactions
133 Replies
41K Views
Back
Top Bottom