Kwanza omba namba zake halafu chat naye kikawaida. Kwa siku kaza usiongee naye kuhusu mapenzi wala nini, wewe chat naye au ongea naye kikawaida.
Baada ya hapo tafuta pesa halafu chukua, mfano...
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni...
Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana.
Achana na akina Wema Sepetu.
Achana na akina Mobeto.
Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya.
Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye...
Wanajukwaa,
Jana kumetundikwa thread moja, HII-HAPA, ambayo muwasilishaji anayeenda kwa jina la Pearl alieleza anavyoota sifa za wadau mbalimbali wa hapa ndani jinsi walivyo kwa hisia zake na kwa...
Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake.
Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua.
Utakuta wengine wikendi...
Nimepata full mkanda wa jinsi ambavyo Bi Suguna huko kijijini kwetu Nanjilinji alivyogoma kuzikwa. Maiti iligoma kuingia kaburini, wakaamua wairudishe kwake ili wafanye mpango wa kuchimba shimo...
Kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo akatumia gharaman ndogo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja;
Wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au...
Hi friends! I hope nyote mu wazima!! mwenzenu ninashangazwa sana na hii hali ambayo imekuwa ikinitokea kama wiki 1 sasa!
Nimekuwa nikisikia sana hamu ya kufanya mapenzi ikinipata kwa speed...
Habari zenu wakubwa!
Ningependa tujadili swala la wafanyakazi wa ndani al maaruf house girls.
Wengi wetu, hasa wenye ndoa zao na walio wafanyakazi binafsi au serikalini tumekuwa na hitaji kubwa...
Nimeleta uzi huu MMU kwa sababu unaihusu jamii, hasa wanawake ambao kwa hili ni wahanga wakubwa.
Wiki iliyopita wote tulimsikia mheshimiwa kabisa akitoa tamko kuwa mtoto wa kike aliyeko shule...
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa Tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
Hello members!
Kuna kitu kilitokea na binafsi kilinishangaza sana kwakweli ila usiniulize nikitu gani.
Ni kuhusu wingi au uchache wa shahawa za mwanaume. Ni nini husababisha mwanaume kutoa...
Naombeni ushauri juu ya kumsahau mpenzi wa zamani ambaye tulipendana sana. Huwa tunapigiana simu, kuchat kwa sms na mengine kibao tukikumbushia zamani kitu ambacho naona si kizuri kabisa ilhali...
Kuna wanawake wachache ambao wana weza kudate na maskini ila ni wachache sana ambao wanaweza kuolewa na kijana masikini.
Mara nyingi msichana ambaye ana date na masikini kuna kitu anakuwa...
Kuna wimbi la baadhi ya vijana siku hizi kupenda kutoka na wake za watu. Imekuwa kama "fashion" hivi, hata baadhi hudiriki kujisifia kuwa wana mahusiano na wake za vibosile.
Naelewa wapo vijana...
Sipende kupoteza muda, hope mkovizuri.
Nimekua na hamu ya kufanya mapenzi, lakini mazingira + muda = 0.
Nijaribu kupiga nyeto mara 2, na mara zote ninapo fikia kutema nyongo lazima nianguke.
1-...
Habarini wana Jamvi.
Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto...
Kwanza nawasalimu,
Ndugu zangu mke wangu anachofanya ni hatari sana na inaumiza , wakati namchumbia hadi ndoa hakuwahi kujamba hata siku moja, sasa baada ya mwaka mmoja kwenye ndoa hii tabia...
Habarini wanajukwa, jukwaa pendwa zaidi jf, MMU.....
MMU for real.
Yamkini zimebaki siku chache kabla ya kuanza mwaka mwingine mpya, tumshukuru M/Mungu kwa kutufikisha paka hapa tulipo na panapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.