Wakuu,
hali hii hunipata mara kwa mara panapo tokea mkwaruzano kwa Ke
ninaempenda. Hata kosa dogo tu nimekua nakasirika hadi mapigo ya moyo
huongezeka.
Je, nifanyeje ilikuepukana na hali...
Nimejiuliza sana hiki kitu na nikashindwa kupata majibu sahihi na nikaona nishee na wanaJamii wenzangu labda kuna jibu ama maelezo sahihi
Weekend iliyopita kwenye mida ya saa tano asubuhi...
Habari za uzima wanajamii,
Leo nimekuja na hili mnisaidie ushauri maana wakati wote naamini humu ndani kuna wazoefu na wenye hekima busara na ushauri wa kumrudishia hadhi mtu aliepatwa na...
Habarini wakuu na poleni na majonzi ya kumuenzi muasisi wa Taifa letu.
Hivi hii ni ishara gani mana nikifikiria hata simuelewi huyu bibi. Kuna bibi mmoja ambaye ni ndugu yake mwenye nyumba hapo...
Start each day with a kiss
Wear your wedding ring at all the times
Date once a week
Accept differences
Be polite
Be gentle
Give gifts
Do what the other person wants before he or she asks...
Wadada tuliomuapia Mungu kwa jina lake hata itokee vipi hatutakaa kamwe kutembea na mume na mtu mkuje jameni. Umekaa zako una stress za hela afu kuna mume wa mtu mtaa wajirani anaanza kukutext...
Ladies and gentlemen, habari zenu!!
Ivi kwa nini wengi wetu hatuwezi kudumu katika uhusiano bila kufanya ngono/mapenzi hadi tukioana? Hata walokole uvumilivu unawashinda jamani, yani mnatongozana...
Habari yako ndugu msomaji.
Hili ni swali la kizazi cha leo, watu wengi wamelijibu kutokana na hisia zao na sababu mbali mbali zisizo na ukweli. Leo tulijibu katika uhalisia wake.
Kabla hujajibu...
Je mwanamme au mwanamke anapaswa kumwambia mpenzi wake kila kitu au kuna mipaka ya kuangalia? kwamba kuna baadhi ya vitu ni "no no"? Je kumwambia mwenzako kila kitu ni kitu kizuri au unaweza...
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.
Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.
Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki...
Salaam wanaJF
Kama mada tajwa inavyojidhihirisha
Najua wanaume wengi tumekumbwa na misukosuko ya kimapenzi ,wengine walitaka kuua,wengine kujiua,wengine kukimbia mji,wengine kunusurika kwenda jela...
Habari za jpili!
Miaka ya nyuma TACAIDS walikuwa mstari wa mbele kufanya harakati za mapambano ya maambukizo mapya ya hiv. Kwa namna moja au nyingine ilisaidia mabinti kuogopa Mafataki.
Leo...
Zifuatazo ni Kanuni kadhaa ushikaji/Uwana, ambazo wanaume huwa nazo na kuzifuata bila kufundishwa...
Usitembee(mahusiano) na ex wa jamaa yako.
Mshkaji akimuona manzi na akampenda na kukwambia...
1. Huwezi tu kusema 'hapana' kwa mtu yeyote bila kujisikia hatia. Unajali sana na unapenda kupita kiasi.
2.Unalia ukiwa peke yako lakini haumwambii mtu kwa sababu unaogopa watu watakufikiriaje...
Wanaume wa saivi kwanza wengi hawana pesa, wavivu wanapenda kulelewa wengine wanapenda mwanamke anayefanya kazi ili msaidie katika majukumu yake kitandani ndo kabisa bao moja chali kibao kimoja...
Remove sex from a relationship you will discover that over 90% of women have nothing to offer in that relationship.
Remove money from a relationship you will discover that over 90% of women see...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.