Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Yaani hapo upo single halafu wapangaji wengine waliobaki wameoa. Na hivi ndio visa vya wake zao. Je, utahama au utavumilia?
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu...
18 Reactions
82 Replies
5K Views
Ni story fupi sana ila nimeirefusha makusudi. Inaweza kuwa ya ukweli au ya kutunga, we isome. Mwaka jana mwezi September nikiwa kwenye shuguri zangu za kikazi Arusha, nilikutana na Side (au...
26 Reactions
41 Replies
5K Views
wakuu ukweli tu usemwe huu uzungu sijui niuite uwhiteblack,,, sikuizi umetimba sana mjini hapa wenzetu wana miili iko simple lakin uku bongo kitu kiki trend wao wanazidisha sasa.. ifije mahala...
3 Reactions
12 Replies
518 Views
Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna mshikaji ana mke wake amezaa nae watoto wawil huyo wa pili ana miezi minne sasa, ila kwa sasa huyo mke yupo anaishi kwa wazazi wake...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Hii ni kwa wale wote waliozaliwa kwenye ndoa halali na iliyobarikiwa na Mungu. Hivi huwa mnajisikiaje kuzaa watoto wa zinaa hali yakuwa nyie mmezaliwa kwenye ndoa halali mnaona mnawatendea haki...
37 Reactions
283 Replies
8K Views
Jinamizi la umasikini ni jinamizi la kale sana ambalo limeshika jamii ya mtanzania kwa sehemu kubwa. Ukiweka familia 10 utakuta zenye afadhali hazizidi 2. Kihistoria, tokea awamu ya kwanza jamii...
24 Reactions
58 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu, Nakumbuka niliwahi kuambiwa na marafiki zangu mpenzi hasomeshwi, nikakaza fuvu, sikutaka kusikia kabisa. Nilijitosa nikasomesha mwanamke aliye kuaga mpenzi wangu kwanzia...
26 Reactions
74 Replies
6K Views
WANAWAKE WANAOANGUKIA KATIKA MIMBA NA MARADHI NA KUKIMBIWA HUWA WANAKUWA WAMEKOSEA HAPA Na Comrade Ally Maftah Kutokana na ongezeko kubwa la watoto wanaokosa malezi ya baba leo nina wiwa kutoa...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo kwa kweli. Niko wako Hivyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee ′tapendana kiroho Nakusihi...
2 Reactions
23 Replies
615 Views
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani. Mnapiga na picha na...
25 Reactions
237 Replies
7K Views
Imearipotiwa kwamba Mmarekani Lisa Sparks anashikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kulala na idadi kubwa zaidi ya Wanaume ndani ya saa 24 – Wanaume 919. Alifanikiwa kupata rekodi hii lakini kwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Siku ya ijumaa niliandika kuhusu dalili zinazoonyesha Mtu mwenye hisia kalili Unaweza kupitia hapa https://www.jamiiforums.com/threads/dalili-10-kwamba-una-hisia-sana.2216147/ Leo tunaangazia...
4 Reactions
3 Replies
981 Views
Ni hivi penzi bado jipya kabisa. Na kitoto cha elfu 2. Kimeomba godoro. Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya ila nyumbani kwangu Nina godoro ambalo sili tumii. Ni yale magodoro...
14 Reactions
54 Replies
2K Views
Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ? Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Naipenda hii. ID lakini ananipuuzia nikilike nyuzi zake yeye alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lakini anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu PM kafunga...
19 Reactions
224 Replies
5K Views
Kwa Wanaume wote; kuchapiwa ni Siri Yako! Kama kuna ushauri ambao sikushauri ukauombe kwa wanaume wenzako, ni huu wa kuchapiwa. Nakuhakikishia utaishia kuanikwa hadharani na zaidi utabezwa tu...
7 Reactions
50 Replies
3K Views
Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭 Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom