Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Picha linaanza dem mzuriiiiii shyombe shyombee pisi ya kwenda. Mkiongea mkimya mtaratbu nikaona isiwe shida nijiweke. Kweli akanielewa Fresh tumeanza safari yetu. Onbed hana time she is like...
11 Reactions
44 Replies
3K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada nisikuchoshe tusichoshane. Mi nilikua nikiona mtu analialia kisa mapenzi nilikua namuona bwege mtunzeni, nilikua nawaza mtu anawezaje kulia au mtu anawezaje kukosa...
8 Reactions
14 Replies
635 Views
Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k Lakini zaidi sana...
3 Reactions
48 Replies
1K Views
Wana JF wenzangu naomba ushauri, Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu. Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa...
8 Reactions
134 Replies
13K Views
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani. Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na...
25 Reactions
262 Replies
14K Views
Nasemajeeee? Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi. Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa. Tumeiga...
5 Reactions
12 Replies
699 Views
Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu. Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
19 Reactions
135 Replies
5K Views
Wakuu nisiwachoshe sana ipo hivi. Mimi ni kijana wa miaka 25 katika ukuaji wangu sikuwahi sana kujihusisha na masuala mahusiano yani kufanya kwangu mapenzi huwa ni nadra. Kumaliza mwaka mmoja...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Hivi karibuni kumeibuka mjadala wa baadhi ya wanaume kukataa NDOA, (dronedrake ) muda huohuo pia kua baadhi ya wanaume wanakimbilia NDOA. Jambo hili linaibua hisia za wanaume na...
21 Reactions
309 Replies
9K Views
Niaje wazee, Ipo magic iliyojificha katika kuanza na positive vibes siku inapoanza kutoka kwa wapenzi wetu au hata watu tunaowapenda. Mpenzi wako ana uwezo wa kuifanya siku yako kuwa ya furaha...
1 Reactions
1 Replies
341 Views
Habari za jumapili wanajamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Rafiki yangu mmoja tulikuwa tunapiga nae stori, akaniambia kwenye ndoa kuna mambo mengi uwa inafika wakati mambo yanakuwa ya kinyama sana mfano kununiana, kususana na mambo yanayofanana na hayo:-...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Hello wakuu, Kwanza niseme ukweli mie sio mzuri kwenye kuandika so mtanisamehe Kwa uandishi wangu. Ilikuwa 2019 katikati, tulitangaziwa ofisini kwetu hapa mkoani, kuwa shirika litaleta member of...
24 Reactions
238 Replies
35K Views
Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
hili lidada tena bahati mbaya au nzuri lilikuwa ni li mke la mtu. pande la mdada hasa. nyuma limefunga trailer linavuta makontena mawili makubwa kabisa. halafu ni wide road.lilikuwa lina sura...
17 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari za jumapili! Zile porojo za Watu waongo kuwa mzazi ni mzazi zinaenda kufutika. Kila siku nawaambia hapa, mahusiano ya Watu yanatokana zaidi na ukaribu wao jinsi wanavyoishi na kutendeana...
2 Reactions
18 Replies
804 Views
Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
43 Reactions
361 Replies
7K Views
Watu huchanganya sana matumizi sahihi ya haya maneno ambayo hutumika kumaanisha ujumbe tofauti though huonyesha jambo lile lile. Kitendo cha mwanaume na mwanamke kuvuliana nguo na kuingiliana...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwanamke Umewahi kupiga punyeto? Umewahi kujichua? Umeshazoea si ndiyo? Unajua madhara yake? Punyeto ni nini? Punyeto ni kitendo cha kujichezea sehemu za siri ili kujisisimua na kujiridhisha...
3 Reactions
53 Replies
11K Views
Back
Top Bottom