Kitendo hicho kina madhara kiafya kwao kama ilivyo kwa wanaume, hivyo kukaa kimya bila kulizungumzia hili ni kutowatendea haki.
Haya ni baadhi ya madhara anayoweza kuyapata mwanamke anayejichua...
Wakuu nimeleta mrejesho wa nyuzi ya Jana ya vipimo...Kama ilivyo ada Leo asubuh mida ya SAA nne tulikubaliana tukutane tuende Sasa hospital tukahakiki vipimo vya HIV ambavyo tulikua tumeshajipima...
Vijana wa kike na wakiume hususani mnao ishi hostels mnajichu na kusagana mno. Hali hiyo ni hatari sana kwa afya ya uzazi siku za usoni.
Hali hii inachochea na kushamiri kwa ongezeko kubwa la...
Siamini eti ni mihemuko ya kihisia ndio inatufanya tu babaike na urembo wa mwanamke maana hata mwanamke mrembo anatamaniwa hadi na mwanamke mwenzake.
Tangu hii dunia ianze tumeona jinsi mwanamke...
Habari za muda huu wana jamvi, poleni kwa majukumu na harakati za kila siku za ujenzi wa taifa na kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila kuchelewesha muda niende moja kwa moja kwenye mada...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Lugha itakayotumika inaweza Isiwe Rafiki. Hivyo msomaji kama ni una-mood swing haushauriwi kusoma andiko hili.
Ipo kasumba...
Habari.
Tunatambua nyumba za ibada zilikua sehemu ya kumshape binadamu hasa hivi vimbe vya upande wa pili , vizuri na vyenye sura na maumbo ya kuvutia maarufu kama wanawake , ndiyo maana wanaume...
MBINU TATU WANAZOTUMIA WANAWAKE KULAGHAI NA KUWADANGANYA WANAUME WAINGIE KWENYE MITEGO YAO.
Wanawake Kila kukicha wanagundua mbinu mbalimbali za kuwachota wanaume wajae kwenye akili na mifumo yao...
Habari,
I hope Tuesday zenu zaenda poa!
Nataka ku-clarify jambo moja to all the males in here....
Kuna vijimaneno maneno kuwa tunapenda pesa sana, ni wachunaji n.k. Mimi naomba niseme NI KWELI...
iko hivi mimi mchaga mgumu sana kwa cash. aisee leo nimekutana na pisi kali sana. sana sana. mzuri sana. kakamilika, (simjui)
picha linaanza.
moyo ukapata palpation kwanza kama cardiac urgency...
Na.Comred Mbwana Allyamtu-CMCA
Saturday 04/05/2024
Mpanda-Katavi
Leo nazungumza na wanaotaka kuoa, "Mary who you understand and understand who you marry", ni lazima ujue yupi wa starehe na yupi...
Mambo yasiwe mengi,
Shemejienu leo kanitolea mpya.
Tangu nimepata mtoto kama mwaka mmoja uliopita, maisha yetu ya chumbani yalibadilika, na mwanzoni haikuwa ishu kwangu wala sikunotice sababu ya...
Ujumbe wangu ni mfupi tu, kama wewe mambo ya kelele ni turnoff kubwa sana kwako, KATAA NDOA!!!
Wanawake sisi ni wapiga kelele, tuna-nag, tuna story zisizo na kichwa wala miguu, tunalalamika sana...
Wakuu,
Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na...
Habari wana JF;nilikuwa nina mpenzi wangu ni mwaka sasa ambaye yeye amesomea community dev. na nimesomea ada.kipindi tunaanza mahusiano ndio alikuwa ametoka fresh from chuo na kupata kazi karibu...
Hii inachekesha kidogo 😂😂😂
Je wewe ni aina gani ya Mke au upo katika aina gani ya mke? Hata kama hajaolewa lakini unatumaini kuwa Mke wa mtu.
1. BOXING WIVES : Hawa ni aina ya wake wanaopigana...
Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio, lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli, hiyo picha wako...
https://youtu.be/Cvpm7ckpd_M?si=XZrDOzXkE3ZHrsBO
Habari wadau kabla hujaanza kusoma vaa earphone hapo bonyeza huwa wimbo kenny g nimeu pin ili ukusadie kuzama kwenye kisa soma soma kisa...
Hello people.
Ndugu zanguni nina hali fulani hivi siielewi.
Nampenda sana shemeji yenu na kwa jinsi alivyo nimejikuta namuheshimu sana ila nahisi kama heshima imezidi hadi imegeuka woga hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.