Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Baada ya kukagua nyumba yao, wenye nyumba wanaweza kuchagua kuibomoa au kuirekebisha. JE, NDOA yako imefikia hatua hiyo? Huenda mwenzi wako amekosa kuwa mwaminifu au ugomvi wa kila mara umefanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Naomba tushauriane mambo makuu yafuatayo: 1. Jinsi ya kuwakamata/kuwavuta wateja, naambiwa ukiwawekea wahudumu wanawake wazuri lazima wajae. 2. Jinsi ya kudhibiti mapato kutokana na wizi au...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Ukomavu haupimwi kwa umri, ni mtazamo unaojengwa na uzoefu. Hapa kuna sifa 10 za mtu aliyekomaa. Hufurahi kuwa peke yao: Wanastarehe wakiwa peke yao na hawahitaji marafiki au watu karibu nao...
3 Reactions
4 Replies
400 Views
Ngono ni tamu lakini Inaweza kuharibu hatima yako kuna baadhi ya wanaume wanakuwa na Wanawake wengi. Ngono ni kukutana kiroho sio kila msichana ana roho nzuri, wengine ni pepo, wengine wana sumu...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna watu wanajikuta wanajibu kila tuhuma zinazosambazwa kuhusu wao ila kama wangefahamu akili za wanaowasambazia wangekaa tu kimya UKIWASIKILIZA VIZURI UNAGUNDUA YAFUATAYO 1. Wanaongea kwa...
1 Reactions
2 Replies
261 Views
Nimeona nitoe tahadhari, Tanzania ni kubwa na tamaduni tofauti. Kwa kilichotokea huko Goba, Dar kiwe funzo Kwa wanawake wa mjini kujia tamaduni za wanaume ngangari na wagumu hasa kutoka Kanda ya...
12 Reactions
56 Replies
2K Views
Kuna kaka (baba) mmoja anakopesha kwa riba, akawa ana date dada mmoja mke wa mtu.... Yule dada na mumewe wakapata dharura, akashauri mumewe wakope pesa kwa mchepuko (mumewe hajui kama mkopeshaji...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
5 Reactions
72 Replies
3K Views
USIJIINGIZE KWENYE MAHUSIANO UKIANZA KUONA DALILI HIZI Na Comrade Ally Maftah Changamoto nyingi zinawakumba watu kwenye mahusiano huwa dalili zinakiwa zimeshaonekana mapema tu.na dalili hizo ni...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Kipindi kile nipo Form One nilikuaga nikipiga nyeto naweza unganisha bao mbili mfululizo. Yaani nikirusha wazungu, mashine hailali naweza endelea hadi narusha tena. Lakin tangu nivuke miaka 18...
5 Reactions
86 Replies
12K Views
wakuu kila sehemu ninayofika mademu wanachanganyikiwa hasa wale warembo sana yani unakuta kama nimeenda sehemu kupata huduma mademu wote wahilo eneo wanaojihisi niwarembo hasa wanajipitisha...
3 Reactions
22 Replies
977 Views
Hii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata...
3 Reactions
20 Replies
994 Views
Hotep Hotep Wakushi wote humu ndani. Ni natumaini YANGU kuwa mu buheri wa siha muruwa kabisa. Ama baada ya salaam amazing, dhumuni la waraka huu ni kuwashirikisha kisa cha Mama mkwe wangu na...
10 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakuu nina miezi miwili bila bila niko kwa ndoa. Niko na mashaka.
11 Reactions
158 Replies
6K Views
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata...
69 Reactions
148 Replies
7K Views
Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwema ndugu zangu, leo nikiwa naelekea kuwapelekea wateja picha mtaani, nimekutana na binti mmoja akiwa na watoto wawili. Nikiwapita hadi mbele kidogo, nikashangaa kuna dogo ananifata na...
3 Reactions
2 Replies
465 Views
Habari za jioni. Nilipataga msichana mrembo kama malaika nakiri mimi mwenyewe nilijisifu kumpata mtoto anavutia mpaka nikawa na wivu kama nyegere. Ghafla akapatwa na wazimu akaenda kwa mwingine...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
Back
Top Bottom