Kama uzi unavyojieleza hapo juu nataka kufaham ni kabila gani la hapa Tanzania ambalo wanawake wao wana Lips nene/pana kama walivyo wanawake wa Ki ivory coast ?
Nataka kufaham tu, kama hulijui...
Imeshanitokea mara nyingi hii kitu na inapeleka mahusiano yangu mengi nayavunjika sana.
Yaani upo na mwenzako faragha ila ili ufike mshindo unaanza kufumba macho na kuvuta hisia ya demu mwingine...
Siku ya leo ni balaa . Vichwa vingi vinawaza uzinifu tu. Bora hata uwe busy ukiwa jobless ni kama unabeba na upwiru wa wenzako unakutesa kinoma kisha huna hata buku tatu ukachungulie mitaa ile ...
Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani.
Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa...
Nina watoto 7 kutoka kwa wanawake wanne wote watoto nawalea kawaida yangu siamini mwanamke kulea mwanangu kwasbb ya kupachika chuki, na ubaguzi ila nilicho dhibitisha kwamba wanangu wote vitabia...
''Kwa experience yangu mimi naweza kusema niliolewa na mtoto wa Mama, Mume wangu alikuwa mama anachosema ndiyo kinaendesha ndoa yetu, sisi tunaishi Dar lakini maelekezo tuishije yanatokea mkoani...
Nimegundua familia nyingi sana ya sisi wa Afrika, kuwa kuna kauli mama hawezi ziongelea, kumwambia mumewe hata kama sio sawa, n.k
Baba anapochukua maamuzi hata kama sio sawa mama huwa hana kauli...
Habarini wapendwa kuna kitabu ambacho kilikubadilisha mtazamo wako juu ya mapenzi, ndoa, familia na mahusiano,? share na sisi ulichokipata humo.
Tupe mtazamo wako mpya uliopata kutoka kitabuni
Ndoto ni kuwa na Mwanamke Nesi, Mwalimu au Askari ikishindikana hapo basi mwaajiriwa katika sekta yoyote ile sometimes maisha hayakupi kile unachotaka huu mwaka wa sita toka nimekuwa na hiyo ndoto...
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia?
Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda...
Wivu kwa maana rahisi ni kutojiamini muda wote unahisi kuna watu wenye sifa zaidi yako watakuibia mpenzi wako, Wivu hukoleza mapenzi.
Kutojiamini ni wivu uliopitiliza kiasi yaani muda wote...
Mimi nimekuwa mlevi wa kutupwa wa wanawake wenye makalio makubwa, hata nikiingia sehemu yoyote nikiona mwanamke mwenye makalio makubwa huwa nahisi kama nataka kuchanganyikiwa kwa wakati huo [emoji23]
Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki.
Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa".
Swali...
Mtaani kuna mambo yanafurahisha sana mimi napenda kula hasa asubuhi nile supu juice ya passion ama parachich na Mihogo ama Maharage na mayai pia napenda kushabikia yanga team napenda kucheza mziki...
Shalom,
Nitoe taarifa na niombe ushirikiano kwa wale ambae tunapenda hao viumbe wa size hizo taarifa fupi ya uzoefu ni kwamba ni watamu sana na wanajua kuisikilizia vizuri na ukiwa fundi wa...
Huyu ni msichana ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili
Pamoja na changamoto za hapa na pale za kimahusiano lakini tulijitahidi kuwa pamoja kwa kipindi chote hicho.
Kuna...
Shalom,
Naomba wadau wa kuchukua namba za viumbe pendwa mnaanzisha project ila finishing mnashindwa tatizo lenu nini hasa?
Wazee wa incomplete projects Maneno mengi vitendo na finishing zero...
Iko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake
Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi...
Habari,
Wakati unaanza kupiga punyeto unaona nikitendo kizuri na cha furaha sana kisicho na garama kabisa ila baada tu ya kumaliza kupiga punyeto na kumwaga wazungu gafla unajikuta moyo unaanza...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.