Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ni yule aliyekuwa zezeta wa Mercy once again. Ilikuwa mwaka 2016 kuna dem flan wa kitusi walikuwa wamehamia kijijini kwetu wakitokea huko walikotoka. Sasa bahna huyo Binti ni mrefu mwembamba...
4 Reactions
64 Replies
2K Views
Kwema wakuu, Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti...
1 Reactions
8 Replies
375 Views
SIPENDI NENO CHAI, Ujue Katika Hii dunia Kila mtu anamaswaibu Aliyoyapitia au kuyaona kwa macho yake, Ujue katika mihangaiko yetu hapa duniani tunakutana na watu wengi na vitu vingi,Na kila mtu...
4 Reactions
34 Replies
977 Views
Habarini wadau nisi wachoshe ngoja niende moja kwa moja katika mada .Katika jamii mwanaume kumzidi umri mwamamke imekuwa jambo lakawaida sana katika suala zima la mapenzi na mahusiano. Lakini...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela. Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Samahani kwa kuwachosha wanajamvi, naomba ushauri wa mawazo ambao unaweza kunisaidia mimi na mwenza wangu. Nilikutana na binti ambaye bado ni bikira na nimefanya maamuzi awe wangu wa maisha...
6 Reactions
91 Replies
104K Views
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au...
15 Reactions
81 Replies
3K Views
Straight forward, aisee mwenzenu nimeona isiwetabu tuachane tu, mwanamke wangu alinitilia mashaka kuwa namucheat. Akanambia akigundua namcheat atanikata naniliu zangu usiku wewe nikaona isiwe...
5 Reactions
23 Replies
954 Views
Kwema wadau. kama mada inavyojieleza, leo nikiwa natoka mishemishe naelekea home nikakutana huyu dada akaniita nikaenda kumsikiliza kuja pale ndo ananiambia kaniota ndotoni nampelekea moto wakati...
4 Reactions
6 Replies
521 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
22 Reactions
233 Replies
12K Views
Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini. Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot.
8 Reactions
9 Replies
746 Views
Baadhi ya wanawake ambao tangu utotoni wameishi bila kumuona baba mzazi au hawakuwa na maelewano mazuri na baba zao mzazi huonyesha tabia zifuatazo ukubwani; 1. Kung'ang'ania mahusiano yenye...
7 Reactions
59 Replies
3K Views
Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote na sio kutegemea msaada kwa mwanamke?
5 Reactions
23 Replies
509 Views
Kuna daktari mmoja hapa mtaani ana ka pharmacy kake kadogo ka mchongo ambako hutumia muda wa jioni kusogezea siku. Basi bhana, ikabidi nikaonane naye kutokana na masuala mazima ya ushauri nasaha...
5 Reactions
8 Replies
715 Views
Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
11 Reactions
352 Replies
20K Views
Habarini wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Hivi nini kinakujia akilini baada ya kubadilishana namba za simu na mdada ukimcheki anaanza kukuambia nitumie vocha sms zangu...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
KAMA ULIKUWA HUJUI... Nchi ya Latvia ina idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume katika bara lote la ulaya Wanawake ni asilimia 17 zaidi ya idadi ya wanaume Yaan kwenye wanawake 117 kwa...
16 Reactions
70 Replies
3K Views
Wagwani habari za mihangaiko wakubwa shikamooni ebwana ishu ipo hivi namkubali sana yule mdada wa naigeria anaitwa chidnma najaribu kumtumia mesej insta haijibiwi natuma picha zangu kwake...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom